FULL TIME VPL: KAGERA SUGAR 2 v 3 AZAM FC, NAHODHA JOHN BOCCO AIPAUSHINDI AZAM FC NA KUPANDA JUU NAFASI YA NNE!

Wachezaji wa Azam Fc wakimpongeza Nahodha wao John Bocco dakika ya 86 baada ya kuwapachikia bao la ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Vodacom VPL leo kwenye Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Mjini. Bao hilo limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam kuibuka na pointi  tatu muhimu  baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo ulifanyika leo Mkoani Kagera.Kikosi cha Azam Fc kilichoanza dhidi ya Kagera Sugar leo kwenye Uwanja wa Kaitaba
Timu zilivyokuwa zinaingia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Zanzibar 24

Bocco aibebea Azam Kaitaba: Ubaoni Azam 3-2 Kagera Sugar

BAO lililofungwa na nahodha John Bocco ‘Adebayor’ dakika ya 86, limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kuibuka na pointi zote tatu baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba. Bukoba, mkoani Kagera jioni ya Jana.

Bao hilo linamfanya Bocco kufikisha mabao matano kwenye msimu huu wa ligi akizidiwa mabao mawili na Shiza Kichuya wa Simba, anayeongoza kileleni kwa mabao saba.

Mabao mengine ya Azam yalifungwa na Mudathir Yahya na...

 

3 years ago

Michuzi

FULL TIME: KAGERA SUGAR 2 vs 1 RUVU SHOOTING, TEMI FELIX, MANGOMA NA MBARAKA WAIPANDISHA KAGERA NAFASI YA TATU!

Mbaraka Yusuf alikunjuka zikiwa zimebaki dakika chache mpira kumalizika na kumchambua beki wa Ruvu Shooting na kuziona nyavu za Ruvu Rooting ambapo mpaka wakati huo Kipa hakuwepo langoni mwake. Ushindi huo wa Kagera Sugar umewapandisha juu nafasi ya tatu wakiwa na pointi 24. Ligi hii ya Vodacom sasa inaenda mapumziko ya msimu wa kwanza wa 2016/2017. Kipindi cha pili Temu Felix aliisawazishia bao Kagera Sugar na Kisha baadae Seleman Mangoma akapachika bao la pili na kufanya Kagera Sugar...

 

3 years ago

MillardAyo

Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni

IMG_0079

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, vilabu vya Azam FC na Dar Es Salaam Young Africans, vilishuka dimbani kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara. Takwimu zinatajwa kuwa Yanga na Azam FC kabla ya mchezo wa leo wamekutana jumla ya michezo 15 kila timu […]

The post Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

Michuzi

VPL: KAGERA SUGAR YATOSHANA NGUVU NA AZAM FC KWENYE UWANJA WA KAIATABA LEO


Na Faustine Ruta, BukobaTIMU ya Kagera Sugar imelazimishwa sare ya 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.Matokeo hayo yanaiongezea pointi moja Azam FC na kufikisha 34 sawa na mabingwa watetezi, Yanga SC ambao hata hivyo wana mchezo mmoja mkononi.Kagera Sugar yenyewe inafikisha pointi 14 baada ya kucheza mechi 18 na sasa inajinasua mkiani ikirudi nafasi ya 15 kwa wastani wa mabao tu baada ya kulingana kwa pointi na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ligi Kuu ya VPL kuendelea tena leo, Simba dhidi ya Kagera Sugar, kesho Yanga dhidi ya Azam FC

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inatarajiwa kuendelea tena Jumamosi ya leo Oktoba 15, 2016 kwa michezo mitatu ambako Simba inayoongoza katika msimamo wa kuwania taji hilo katika timu 16 itaikaribisha Kagera Sugar ya Kagera kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Na.73, mwamuzi atakuwa Hussein Athuman kutoka mkoani Katavi ambako pembeni atasaidiwa na Joseph Bulali wa Tanga na Silvester Mwanga wa mkoani Kilimanjaro wakati Soud Lila wa Dar es Salaam atakuwa...

 

3 years ago

MillardAyo

FULL HD: Magoli ya mechi ya FA ya Yanga vs Azam FC May 25 2016, Full Time 3-1

2X6A9536

May 25 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, vilabu vya Yanga na Azam FC vilikutana kucheza mechi ya fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), katika mchezo huo Azam FC ilifungwa magoli 3-1, magoli ya Yanga yakifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 9 na 47 huku Deus Kaseke akipachika goli la mwisho, […]

The post FULL HD: Magoli ya mechi ya FA ya Yanga vs Azam FC May 25 2016, Full Time 3-1 appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

MillardAyo

CONFIRMED: Azam FC wamelizana na John Bocco

Siku moja baada ya mitandao ya kijamii kuandika kuwa mshambuliaji wa Azam FC John Bocco amejiunga na Simba, taarifa ambazo bado hazina uhakika wowote, leo May 26 Azam FC wamethibitisha kuachana na John Bocco. Azam FC leo kupitia kwa afisa habari wake Jafari Idd Maganga wameweka wazi kuwa John Raphael Bocco hatoendelea kuitumikia Azam FC […]

The post CONFIRMED: Azam FC wamelizana na John Bocco appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Uliikosa mechi ya Yanga Vs Kagera Sugar April 3 2016? magoli ninayo hapa, Full Time 3-1

3 (1)

April 3 2016 Yanga walikuwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kucheza dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Uliikosa mechi ya Yanga Vs Kagera Sugar April 3 2016? magoli ninayo hapa, Full Time 3-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Michuzi

AZAM FC YAILAMBA KAGERA SUGAR 2-0

 Shaban Ibrahim akimshika bukta Didier Kavumbagu. Uniwezi..... Kavumbagu akimtoka Shaban Ibrahim. Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (kulia) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.Golikipa wa Kagera Sugar, Agathony Anthony akiokoa moja ya hatari langoni mwake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani