Fursa za ufadhili wa masomo kutoka SUZA

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha sayansi cha Norway (NMBU) pamoja na chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinatangaza nafasi za ufadhili wa masomo (scholarship) kwa ngazi ya shahada  ya uzamili  katika Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa mwaka wa masomo 2017/18

Kwa maelezo zaidi kuhusiana na nafasi hizo bonyeza hapa

 

 

 

The post Fursa za ufadhili wa masomo kutoka SUZA appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za ufadhili wa masomo kutoka Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)

CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR

suza
TANGAZO LA UFADHILI WA MASOMO YA UZAMIVU KATIKA FANI YA ELIMU

(PHD IN EDUCATION)

CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA) KUPITIA MRADI WAKE WA TRANSLED UNAOFADHILIWA NA SHIRIKA LA NORAD KINATANGAZA UFADHILI WA MASOMO YA UZAMIVU KATIKA FANI YA ELIMU KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.

MUOMBAJI ATAKAECHAGULIWA KUENDELEA NA MASOMO YA CHUO NA KUKUBALIWA NA SUZA KUTOKANA NA MAHITAJI ILIYONAYO, MASHARTI YA MKATABA ATAKAOFUNGA NA SUZA NA MASHARTI YA...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi mpya za ufadhili wa masomo kutoka Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)

THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR

suza
P. O. Box 146, Zanzibar – Tanzania
Tel: + 255 24 2230724/2233337/2234063 Fax: + 255 24 2233337
Website: http://www.suza.ac.tz
OFFER OF SCHOLARSHIPS FOR THE ACADEMIC SESSION 2016/2017

The State University of Zanzibar (SUZA) intends to offer Undergraduate scholarships at Kassel University in
Germany for candidates wishing to undertake Bachelor of Science in Organic Agriculture.
After completion of their studies, qualified candidates will serve as academics in...

 

2 months ago

Michuzi

TAARIFA YA FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600               
               20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za mafunzo ya muda mrefu...

 

3 years ago

Michuzi

4 years ago

Michuzi

Waliopata Ufadhili wa masomo China waagwa

Serikali ya China kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetoa ufadhili wa nafasi kumi (10) za masomo kwa watanzania katika ngazi ya shahada ya uzamili na uzamivu katika fani ya mafuta na gesi.
Katika shahada ya uzamili wamechaguliwa watanzania 9 kati ya 46 walioomba ufadhili ambapo katika shahada ya uzamivu amechaguliwa mtanzania mmoja kati ya wanne waliowasilisha maombi.
Msaada huu wa masomo umetolewa na Serikali ya China kwa Tanzania kufuatia juhudi za Wizara ya Nishati na Madini...

 

2 years ago

Michuzi

China kutoa Ufadhili wa masomo Makaa ya Mawe

Teresia Mhagama na Zuena MsuyaImeelezwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China itatoa ufadhili wa masomo kwa watanzania ili  kujifunza masuala ya makaa ya mawe kupitia Vyuo mbalimbali vya nchi hiyo ili kuongeza idadi ya  wataalam hao nchini.

Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam na Balozi China nchini Tanzania Dkt.Lu Youqing wakati  wa kikao chake na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kilicholenga katika kujadili uendelezaji wa makaa mawe nchini ambayo ni moja ya chanzo...

 

5 months ago

Michuzi

WANAOOMBA UFADHILI WA MASOMO CHINA, JAPAN WATAHADHARISHWA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKURUGENZI Mtendaji wa Elimu Solutions (T) Limited Neithan Suedy amesema ni vema Watanzania hasa wanafunzi nchini kuwa makini na matapeli wanaochukua fedha za wanafunzi kwa kigezo cha kuwatafutia vyuo vikuu nje ya nchi. 
Amesema wanaungana na Balozi wa Tanzania nchini China kuonya tabia ya baadhi ya mawakala kuchukua fedha za wanafunzi na kisha kushindwa kuwapeleka Kwenye vyuo ambavyo wanaahidi kuwapeleka au kuwapeleka na kusababisha wanafunzi wakifika huko...

 

3 years ago

Michuzi

Watanzania walionufaika na Ufadhili wa Masomo nchini Japan waagwa

 Balozi wa Japani nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga Watanzania walionufaika na ufadhili wa masomo wa mpango wa ABE Initiative  wakati wa hafla fupi ya kuwaaga  iliyofanyika nyumbani kwake mapema janaKaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa sita kutoka kulia) na Balozi wa Japan nchini Bw. Masaharu Yoshida (wa tano kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watanzania wakionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE Intiative baada ya hafla fupi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani