FUTARI YA PAMOJA DMV

 WaTanzania wa DMV wakiwasili kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Kiislamu DMV(TAMCO) wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan. Hii ilifanyika siku ya Jumamosi June 9, 2018 Silver Spring, Maryalnd. Picha na Vijimambo na Kwanza production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio.WaTanzania waliojumuika pamoja na marafiki zao wakipata ukodak moment kwenye futari ya pamoja.
Rich Maka kutoka Massachusetts (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa TAMCO DMV Ally Mohammed...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

2 years ago

Michuzi

MHE. BALOZI WILSON MASILINGI KATIKA FUTARI YA PAMOJA YA WANA DMV, MAREKANI

Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Col. Aldoph Mutta (kushoto) akimlaki Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumamosi June 17, 2017 siku Mhe. Balozi alipokua mgeni rasmi kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Waislam DMV (TAMCO) Silver Spring, Maryland.Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi akipokewa na mwenyekiti...

 

4 years ago

Vijimambo

UKAWA WASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa akishiriki futari iliyoandaliwa na Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni wakati wa kikao cha Viongozi Wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na wabunge wa umoja huo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati mbalimbali ya ushindi kuelekea uchaguzi mkuu. Kushoto kwake ni Mbunge wa CUF, Ali Khamis Seif (Mkoani) na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa NLD Zanzibar, Ahmad Hemed. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe...

 

4 years ago

Vijimambo

RATIBA YA FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC


                           Assalam Alaykum, Wa Rahmatullah, Wa Barakatuhu

Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington DC Metro (TAMCO) unawakaribisha kwenye Kufuturu Kwa Pamoja Kila Jumammosi na Jumapili za Mwezi wa Ramadhani.
Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:-Jumamosi, June 20th, 2015 – Glenmont Park Activity Building
Address: 3201 Randolph Road, Wheaton, MD 20906Jumapili, June 21st, 2015 – July 12, 2015 (Siku Zote Zilizobaki):
Indian Springs-Terrace Park Activity...

 

4 years ago

Vijimambo

RATIBA YA FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC- TAMCOAssalam Alaykum, Wa Rahmatullah, Wa Barakatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington DC Metro (TAMCO) unawakaribisha 
kwenye Kufuturu Kwa Pamoja Kila Jumammosi na Jumapili za Mwezi wa Ramadhani.
Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:- 
Jumamosi, June 20th, 2015 – Glenmont Park Activity Building 
Address:  3201 Randolph Road, Wheaton, MD 20906
Jumapili, June 21st, 2015 – July 12, 2015  (Siku Zote Zilizobaki):
Indian Springs-Terrace Park Activity Building
Address:  9717 Lawndale...

 

2 years ago

Michuzi

AZANIA BENKI YAPATA FUTARI PAMOJA NA WATEJA WAKE

 Mkurugenzi mkuu wa Benki ya Azania ,Charles  Itembe akizungumza na wateja na wafanyakazi wa benki hiyo wakati wa futari iliyoandaliwa na benki yake katika ofisi za Aznia Benki Mawasiliano Tower.  Mkurugenzi mkuu wa Benki ya Azania ,Charles  Itembe, akisalimiana na watoto wa kituo cha Yatima cha Vingunguti wakati wa wakati wa futari iliyoandaliwa na benki yake katika ofisi za Azania Benki Mawasiliano Tower. Mkuu wa kitengo cha Maendeleo ya Biashara Benki ya Azania , Othman Jibrea akiwa...

 

3 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Aandaa Futari ya Pamoja wa Dini Ikulu, Dar

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika foleni na wageni wake kwenda kuchukua chakula wakati wa kufuturu katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Ndg. Ramadhani Madabida akifuatiwa na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ na wagemi wengine wakipakua chakula katika futari ya pamoja ya viongozi...

 

4 years ago

Michuzi

WAISLAM WAJUMUIKA NA WATANZANIA WENZAO KATIKA FUTARI YA PAMOJA STOCKHOLM, SWEDEN

 Shekhe akitowa mawaidha katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Waislamu jijini Stockholm, Sweden, leo  Sehemu ya waumini wakiwa katika hafla hiyo jijini Stockholm Mgeni rasmi katika hafla ya futari hiyo, Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe Dorah Msechu (wa pili kulia) akiwa na sehemu ya waumini waliohudhuriaMgeni rasmi katika hafla ya futari hiyo, Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe Dorah Msechu, akitoa salamu na shukurani kwa Jumuiya ya Waislamu nchini humo kuandaa futari y...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani