Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MARTIN KADINDA NA MARAFIKI WA WEMA WASHINDA MAHAKAMANI HUKU AKISEMA YEYE SIO MENEJA WAKE MSANII HUYO KWA SASA

 Aliyekuwa meneja wa wema Martin Kadinda akiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam  pamoja na wanasheria
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Mbunifu wa mitindo maarufiu nchini, Martin Kadinda amesema kuwa yeye sio meneja wa msanii Wema Sepetu kwa sasa bali amefika mahakamani hapo kama rafiki wa karibu wa msanii huyo.Kadinda amesema hayo katika maongezi maalum na mwandishi huyu  juu ya uhusiano wake na Wema Sepetu kwa sasa hasa mara baada ya kuhusishwa na tuhuma za...

 

2 years ago

MillardAyo

Alichokiandika Darassa baada ya dereva kukamatwa akicheza wimbo wake huku akiendesha gari

screen-shot-2016-12-06-at-8-41-46-pm

Msanii wa Bongofleva Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na hit single ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Muziki’ ameamua kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ile video iliyosambaa ikionesha vijana wakicheza wimbo wake  huku dereva akiacha  gari likienda. Vijana hao wamekamatwa na polisi na Darassa ameamua kutoa mawazo yake kuhusiana na kitendo hicho ambacho kimewafanya vijana hao […]

The post Alichokiandika Darassa baada ya dereva kukamatwa akicheza wimbo wake huku akiendesha gari appeared first...

 

5 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...

 

4 years ago

GPL

GARI AINA YA BMW‏ INAUZWA

  Muonekano wa gari aina ya BMW.…

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Gari jipya alilopewa zawadi Hussein Tshabalala wa Simba SC

dsc_3896

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe aliamua kumpa zawadi ya gari beki wa pembeni wa klabu hiyo Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ baada ya kuridhishwa na uwezo wa mchezaji huyo ambaye amefanya vizuri msimu uliopita kiasi cha kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa Ligi Kuu Tanzania bara. Hans Poppe ameamua kumpa Tshabalala gari aina […]

The post VIDEO: Gari jipya alilopewa zawadi Hussein Tshabalala wa Simba SC appeared first on millardayo.com.

 

5 months ago

Zanzibar 24

Mchumba wa Diamond atambulisha gari lake aina ya BMW

Ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita tangu msanii Diamond Platnumz kukutana na mpenzi wake ambaye ni raia wa Kenya Tanasha Dona,

Tanasha ameamua kuitambulisha na kuionesha hadharani gari yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanadada, Tanasha ameioesha hadharani gari yake hiyo aina ya BMW yenye rangi ya blue.

Tanasha akiwa na Diamond

Tanasha ameitambulisha gari hiyo na kuandika:-
Miss my BEAST baby blue

 

2 years ago

Global Publishers

Video: Harmorapa Azawadiwa Gari la Bei Mbaya na Meneja Wake

The post Video: Harmorapa Azawadiwa Gari la Bei Mbaya na Meneja Wake appeared first on Global Publishers.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani