Gari dogo aina ya Toyota Vitz limegonga basi la mwendokasi Magomeni jijini Dar es Salaam.

Gari dogo yenye namba za usajiri T967CXX Toyota vits limegonga basi la mwendo kasi lenye namba za usajiri T59 DGV Golden Dragon ambalo lilikuwa likitokea kimara kwenda kivukoni ambapo dereva wa gari dogo alipelekwa hospitali kwaajili ya matibabu huku baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wamesema 

Day n Time: JUMAPILI SAA 2:00 USIKUStation: ITV

Ippmedia

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Video: Ajali za mabasi ya mwendokasi bado ni kikwazo, gari dogo lagonga basi la mwendokasi Dar

Licha ya elimu kuendekendelea kutolewa kuhusu matumizi sahihi ya barabara za mwendo kasi, lakini bado uelewa wa madereva umekuwa mdogo ambapo weekend hii kumetokea ajali ambayo ilihusisha gari dogo aina ya Toyota Vitz limegonga basi la mwendokasi Magomeni jijini Dar es Salaam

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

Channelten

Ajali ya mabasi ya Mwendokasi, Chanzo ni gari dogo kugonga basi la haraka

kasi

Usafiri wa mabasi yaendayo haraka jijin dar es salaam uliparaganyika kwa zaidi ya saa mbili baada ya kutokea ajali katika eneo la shekilango barabara ya morogoro iliyohusisha mabasi matatu yaendayo haraka na gari moja ndogo ambayo yaliziba barabara na kusababisha mabasi kutoendelea na safari zake na kuzua mzozo kati ya abiria na madereva.

 

Charles Daudi ni mmoja kati ya walioshuhudia ajali hiyo ambaye amesema chanzo kilikuwa ni gari ndogo kugonga basi moja la mwendo haraka na kufuatia...

 

2 years ago

Michuzi

wanafunzi 34 na mwalimu mmoja katika gari aina ya Noah jijini Dar es salaam leo

Askari wa Usalama barabarani jijini Dar es salaam leo wamekamata gari aina ya NOAH ikiwa imebeba watoto 34 pamoja na mwalimu wao na kufanya jumla ya watu 35 katika gari Wanafunzi hao ni wa darasa la kwanza na pili kutoka shule za Diamond, Olympio, Kisutu, Maktaba na Bunge. Gari hiyo imekamatiwa eneo la mzunguko wa  Gerezani  likielekea Vijibweni-Kigamboni.Dereva na wahusika wa gari hiyo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.

 

3 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BE FORWARD YAKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA IST KWA MSHINDI JIJINI ARUSHA KATIKA PROMOSHENI YA JISHINDIE IST


DSC00871Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake,  Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la TanzaniaDSC00877Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
DSC00875Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe Hazina...

 

1 year ago

Michuzi

AJALI YA BASI NEW FORCE NA BASI DOGO TOYOTA HIACHE YASABABISHA VIFO VYA WATU WATANO NA KUJERUHI TISA KULAZWA WODINI HOSPITALI YA RUFAA YA MOROGORO

Na John Nditi wa Globu ya Jamii, MorogoroWATU watano wakiwemo wanawake wanne na mwanaume mmoja ambaye ni dereva basi ndogo aina ya Toyota Hiache yenye namba za usajili T 962 BSE aliyetambuliwa kwa jina la Jackson Adam wamefariki dunia papo hapo baada yakugongana na basi  la  New force New lenye namba T 346 DLY likitokea  Dar es Salaam kuelekea Tunduma na kusababisha majeruhi  ya watu wengine tisa na kulazwa  hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich...

 

2 years ago

MillardAyo

VideoFUPI: Rais Magufuli alipoendesha Basi la Mwendokasi Dar es salaam

President Magufuli leo January 25 2017 ameweka baraka zake kwenye mradi wa Mabasi yasifirishayo abiria kwa urahisi Dar es salaam maarufu kama ‘Mwendokasi‘ ambapo shughuli nzima ilifanyika mtaa wa Gerezani Kariakoo. JPM aliweka baraka zake zaidi kwa kuchukua time yake kukaa kwenye Usukani na kuendesha moja ya Mabasi hayo kama inavyoonekana kwenye hii video hapa […]

The post VideoFUPI: Rais Magufuli alipoendesha Basi la Mwendokasi Dar es salaam appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Dewji Blog

Gari aina ya TOYOTA Kluger inauzwa

IMG-20141021-WA0003

MODEL NI YA MWAKA 2002 TOYOTA KLUGER

UWEZO WA ENGINE NI 2360 CC

IMETEMBEA KILOMITA 170000

BEI NI MILIONI 17 MAELEWANO YAPO

MAWASILIANO NI 0713242888

 

5 years ago

Dewji Blog

Gari aina ya Toyota Verossa inauzwa

IMG-20140907-WA0009

Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chini

SPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NI

MAKER: TOYOTA

MODEL: VEROSSA

YoM:      2001

CC:       1980

Odo:   65,944KM

Color : BURGUNDY

KWA MAWASILIANO

0713327106/0756673327

 

 

1 year ago

Michuzi

Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro

 Wasamaria wema akiwemo Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Kituo cha ITV , Mkoa wa Morogoro, Hussein Nuha wakitoa msaada wa kusaidia mmoja wa majeruhi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ambaye ni dereva wa gari Toyota Noah namba ya usajili T 782 DKV  inayofanya safari zake mji wa Ruaha   Kilosa - Mikumi baada ya gari hiyo kupinduka  eneo la Kijiji cha Lumango, katika  kona kali ya barabara ya Kilombero- Mikumi  katika ajali hiyo hapakutokea kifo chochote na majeruhi wote...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani