GAVANA WA BENKI KUU AZUNGUMZIA HALI YA UCHUMI NCHINI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

HAKUNA MDORORO WA UCHUMI NCHINI – GAVANA WA BENKI KUU PROF. NDULU

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Benno Ndulu amesema kuwa hakuna mdororo wa uchumi nchini bali uchumi wa Tanzania umeendelea  kukua kwa kiwango cha asilimia 5.5 kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka 2016.Aidha, amesema kuwa Tanzania ni kati ya nchi kumi bora za Afrika ambazo uchumi wake unakua kwa kasi ya haraka.Prof. Ndulu ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya uchumi nchini.“Kwa mujibu wa Takwimu ya Ofisi ya...

 

3 years ago

Bongo5

Uchumi wa Tanzania bado ni imara – Gavana wa Benki Kuu

Gavana wa benki kuu ya Tanzania BOT, Prof Benno Ndulu, amesema hali ya uchumi nchini imeendelea kuridhisha japo katika robo ya kwanza ya mwaka huu kasi ya ukuaji wa pato la taifa imefikia asilimia 5.5 ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 5.7 ya kipindi kama hicho mwaka 2015.

5r5a1909

Ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari katika moja ya kumbi za BOT alipokuwa na mada inayohusu kushuka kwa uchumi na aliweza kutoa ufafanuzi

“Hali ya ukuaji ya uchumi Tanzania bado ni nzuri na Tanzania bado ni...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU GAVANA BENKI KUU TANZANIA (BOT) AFUNGUA SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UCHUMI NA FEDHA MKOANI MTWARA

ki01Bw. Julian Raphael Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani (AIC) akifungua semina ya siku tano ya waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi inayofanyika katika ukumbi wa BOT Mtwara., Waandishi wa habari watapata ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu masuala ya uchumi, Kama vile Mabadiliko ya Mfumo mpya wa Kuandaa sera ya Fedha, Mapitio ya Maendeleo ya Uchumi nchini, Kikanda na Kimataifa BDuniani, Mifuko ya Dhamana kwa wajasiliamali na mengine mengi.
Akizungumza...

 

3 years ago

MillardAyo

Alichokizungumza Gavana wa BOT kuhusu hali ya Uchumi na Deni la Taifa

bot-1

Leo September 30, 2016 Gavana wa Benki Kuu Tanzania Profesa Benno Ndulu ametoa taarifa ya hali ya ukuaji wa pato la taifa kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2016 pamoja na hali ya madeni ya ndani na nje ambayo serikali imeanza kuyalipa kwa kutumia fedha za ndani. Gavana Ndulu amesema serikali imeanza kupunguza madeni ya serikali […]

The post Alichokizungumza Gavana wa BOT kuhusu hali ya Uchumi na Deni la Taifa appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

BBCSwahili

Gavana wa Benki kuu ya Kenya ''Hajaoa''

Wabunge nchini Kenya wazua kihoja baada ya Gavana mteule wa benki kuu ya Kenya kukiri kuwa hajao licha ya kuwa na umri wa miaka 54

 

1 year ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AAGANA NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) ANAYEMALIZA MUDA WAKE PROF. BENNO NDULU PAMOJA NA KUKUTANA NA GAVANA MTEULE WA (BOT) PROF. FLORENS LUOGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...

 

4 years ago

BBCSwahili

Gavana wa benki kuu akataa anasa Kenya

Gavana wa Benki kuu ya Kenya Patrick Njoroge amekataa jumba la kifahari baada ya kuteuliwa kuchukua wadhifa huo

 

2 years ago

CHADEMA Blog

SHEHE PONDA AMJULIA HALI TUNDU LISSU NAIROBI , AZUNGUMZIA HALI YA KIUSALAMA NCHINI

Mkutano wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda na waandishi wa habari, umevamiwa na polisi waliokuwa wanataka kumkamata ili kuzuia mkutano huo usifanyike.Hata hivyo, polisi hao walioingia katika hoteli ulikofanyika mkutano huo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, walishindwa kumpata Sheikh Ponda kwani tayari alikuwa amemaliza kuzungumza na waandishi hao na

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani