GEITA GOLD MINE(GGM) YASHIRIKI MAONYESHO YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI DODOMA

Kampuni ya Dhahabu ya Geita(GGM) imeshiriki maonyesho ya  usalama na afya mahala pa kazi kwenye viwanja vya Jamhuri  mjini Dodoma.Maonyesho hayo yameratibiwa na wakala wa usalama na Afya mahala pa kazi(OSHA) kuelekea maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahala pa kazi Duniani.Akizungumza kuhusu ushiriki wa Geita Gold Mine(GGM) kwenye maonyesho hayo,Ofisa mawasiliano mwandamizi wa Geita Gold Mine(GGM)  Bw Theophil Pima amesema kuwa kampuni ya GGM ni mdau wa usalama na afya mahala pa kazi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, na Watu wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama, akipata maelezo kutoka kwa Kaimu meneja wa Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bi Amina Ally alipotembelea banda la SSRA wakati wa Maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi OSHA yanayoendelea mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro. Maafisa wa SSRA wakitoa ufafanuzi juu ya Masuala yanayoihusu Sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa...

 

4 years ago

Michuzi

SSRA yashiriki maonesho ya Siku ya Usalama na Afya mahala pa kazi, mjini Dodoma

Ofisa Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Fulgence Sebera akimpatia zawadi Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho hayo, mjini Dodoma, yaliyofanyika kuanzia 26 - 28 April 2015. Ofisa Mwandamizi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Utawala na Rasilimaliwatu, Amina Ally (kushoto) akimuaga Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk....

 

3 years ago

Michuzi

SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI YANAYOENDELEA MKOANI DODOMA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi Cheti cha Ushiriki Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika wakati wa kilele cha Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi yanaondelea mkoani Dodoma.Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi....

 

3 years ago

Michuzi

GEITA GOLD MINE wins “An Overall Winner” Award in Dodoma

Geita Gold Mine (GGM) has be-come the overall winner for mining sector during the exhibitions to mark the World Day for Safety and Health at Workplace organized by Occupational Safety and Health Authority (OSHA) in Jamhuri Stadium at Dodoma.
Presenting the award to Geita Gold Mine (GGM), Guest of Honor Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliamentary affairs, labor, employment, Youth and Disabled Ms. Jenister Mhagama congratulated GGM and advised them to keep on...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI JENISTA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, KWENYE MAONYESHO YA USALAMA MAHALA PA KAZI

WAZIRI wa NCHI ofisini ya WAZIRI Mkuu, Jenista Mhagama(wakwanza kulia), na naibu wake, Dkt. Abdallah Possi.(wapili kulia), walipotembelea banda la WCF, kwenye maonyesho ya Siku ya Usalama na afya mahala pa kazi mjini Dodoma Aprili 28, 2016.Kushoto ni afisa uhusiano mwandamizi wa WCF, Sebera Fulgence.WCF inashiriki maonyesho hayo yaliyoratibiwa na OSHA kwa ushirikiano na TUCTA, ikiwa ni sehemu ya maadhimishi ya Siku ya wafanyakazi Duniani(Mei Mosi).Afisa uhusiano mwandamizi wa WCF, Sebera...

 

5 years ago

Michuzi

Wanafunzi wapatiwa mafunzo ya usalama na Afya mahala pa kazi na barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Usalama, Afya na Mazingira wa Vodacom Karen Lwakatare. Meneja wa Mamlaka ya Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) kanda ya Pwani Jerome Materu akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALA PAKAZI (OSHA) LA ZINDULIWA MJINI BAGAMOYO

Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi linaloshughulikia Usalama na Afya mahala pakazi (OSHA) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dkt. Makongoro Mahanga (wa tatu kulia walioketi) mara baada ya kufunguliwa kwa Kikao cha Baraza hilo,jana kwenye Hoteli ya Millennium Mjini Bagamoyo. Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dkt. Makongoro Mahanga akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA), Dkt. Akwilina Kayumba baada ya kuzindua...

 

5 years ago

GPL

WANAFUNZI WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI NA BARABARANI‏


Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya usalama na afya mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na  Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Oyster Bay jijini Dar es salaam. Kushoto ni Meneja wa OSHA kanda ya Pwani Jerome Materu na Mkuu wa Idara ya Usalama,...

 

3 weeks ago

Malunde

WCF YASHINDA TUZO KATIKA MASUALA YA AFYA NA USALAMA MAHALA PA KAZI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi Tuzo na Cheti Bw. Masha MshombaMkurugenzi Mkuu wa WCF. Mfuko umekuwa Mshindi katika masuala ya afya na usalamakazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Tuzo hiyo imetolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani, 2019.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe....

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani