Gesi asilia kusambazwa, kupunguza matumizi ya kuni, mkaa

SUBIRA Mgalu, Naibu Waziri wa Nishati amsema, serikali imeanza kutekeleza mradi wa kusambaza gesi asilia katika miji ya Mtwara, Lindi, Pwani na Dar es Salaam ili kupunguza matumizi ya kuni na mkaa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mgalu ametoa kauli hiyo leo tarehe 15 Mei 2019 bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Kibiti, Ally ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TAASISI ZA UMMA ZINAZOTUMIA MKAA NA KUNI KUBADILISHIWA MATUMIZI NA KUTUMIA GESI

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba(wa kwanza kulia) akiongea na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa akitoa tamko  kuhusu Taasisi za Umma zinazotumia mkaa na kuni kubadilishiwa matumizi na kutumia gesi jijini Dar Es Salaam.

 

2 years ago

Channelten

Matumizi ya Kuni na Mkaa hatari ya Mazingira

Wananchi wametakiwa kutumia nishati ya gesi na mafuta ili kuepukana uharibifu wa mazingira unaosababishwa na matumizi ya kuni katika utekelezaji wa shughuli za kinadamu hari itakayosaidia kulinda sheria ya mazingira na kunusuru vyanzo vingine vinavyotegemea misitu .

Akiongea katika uzinduzi wa mkutano wa wadau wa nishati uliondaliwa na shirika la uhifadhi wa mazingira duniani WWF mwakilishi wa naibu katibu mkuu wizara ya nishati Paul Kiwele amesema wizara ya nishati na madini imejitahidi...

 

2 years ago

Channelten

Matumizi ya mkaa na kuni, Serikali yazuia taasisi zake kutumia nishati hiyo

Carrying 150 kg sacs of charcoal on their backs, these men in Mozambique's Sofala province sometimes ride for 2 days to the closest city where they can sell their loads.

Serikali inakusudia kuanza kuachana na matumizi ya kuni na mkaa kwenye taasisi za umma zenye kukusanya watu wengi hususan shule, vyuo, magereza, kambi za jeshi na vituo vya afya.

Uamuzi huo unaokusudiwa kukamilika hadi mwishoni mwa mwaka huu una lenga kudhibiti matumizi ya mkaa na kuni kwenye taasisi za umma na hivyo kuokoa kiwango cha ukataji miti kinachotumika kwa ajili ya nishati kwenye taasisi za umma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Muungano na Mazingira...

 

3 years ago

Habarileo

Mpango wa matumizi ya gesi asilia waja

SERIKALI imebainisha kuwa Mpango Mkakati wa matumizi ya gesi asilia nchini, upo katika hatua ya mwisho ya kupitiwa na kujadiliwa na wadau na baada ya hapo, utawasilishwa rasmi kwa wananchi, ili kupata maoni yao juu ya matumizi bora ya gesi hiyo.

 

3 years ago

Habarileo

Matumizi ya gesi asilia yaokoa dola bilioni 7

NCHI imeokoa Dola za Marekani bilioni 7.4 kuanzia Julai mwaka 2004 mpaka Juni 2015 kwa kutumia gesi asilia badala ya nishati nyinginezo kama petroli na mafuta ya ndege, ambazo zingeagizwa kutoka nje ya nchi.

 

3 years ago

Mwananchi

Tanzania kusimamia matumizi gesi asilia kwa miaka 30

Wadau mbalimbali wa sekta ya gesi na mafuta wamekutana jijini Dar es Salaam leo kujadili Mpango Mkakati wa Matumizi ya Gesi Asilia inayopatikana hapa nchini.

 

3 years ago

Michuzi

Wizara ya Nishati na Madini waandaa mpango mkakati wa matumizi ya Gesi asilia.

Naibu Katibu Mkuu wa Nishati na madini, Profesa James mdoe akizungumza na waandishi habari katika juu mkakati mpango wa gesi asilia leo jijini Dar es salaam.
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.WIZARA ya Nishati na Madini iko katika hatua ya mwisho ya kutengeneza mpango mkakati wa matumizi ya gesi asilia.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara na Nishati na Madini, Profesa James  Mdoe amesema mpango huo ni kuangalia matumizi ya gesi asilia kwa ndani...

 

4 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Kitwanga afungua semina kuhusu matumizi ya gesi asilia nchini

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga akifungua rasmi semina kuhusu matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Balozi wa Japan Tanzania, Masaki Okada akizungumza na wadau na wataalamu wa gesi asilia (hawapo pichani) waliohudhuria semina ya matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena ya jijini Dar es Salaam.Wataalamu na wadau wa gesi asilia kutoka Japan na Tanzania wakimsikiliza Naibu Waziri wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani