Gesi ya Mtwara kusambazwa Tanga, Morogoro

Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania linatarajia kufanya upembuzi yakinifu katika mwaka wa fedha ujao ili kuanza kuuza gesi itokayo Mtwara katika mikoa Tanga Morogoro na Dodoma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

NISHATI: Bei yachelewesha gesi kusambazwa nyumbani

>Mpango wa kusambaza gesi katika nyumba wanazoishi watu ambako bomba hilo linapita jijini Dar es Salaam umekwama kuanza kutokana na mvutano wa bei baina ya Pan Africa Energy (T) Ltd na Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC).

 

3 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

2 years ago

MillardAyo

Baada ya gesi ya Mtwara, hifadhi kubwa zaidi ya gesi yagunduliwa Tanzania

bbc 34777

Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalamu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania, ugunduzi huo umefanyika katika eneo la bonde la ufa la Tanzania. Wakitoa taarifa kwa wanahabri huko Japan, watafiti […]

The post Baada ya gesi ya Mtwara, hifadhi kubwa zaidi ya gesi yagunduliwa Tanzania appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

Habarileo

Gesi zaidi yagundulika Mtwara

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWIZARA ya Nishati na Madini iko kwenye mchakato wa kukamilisha uandaaji wa sheria tatu, zitakazowasilishwa bungeni wakati wowote, zenye lengo la kuweka uwazi katika maeneo yote yanayohusu mikataba ya uchimbaji wa madini na gesi.

 

3 years ago

Mwananchi

Mradi wa gesi Mtwara-D’Salaam wakamilika

Mradi wa kuchakata gesi asilia kutoka Madimba Mtwara-Songosongo hadi Dar es Salaam umekamilika na kuwezesha uzalishaji umeme katika mitambo ya Kinyerezi, Ubungo, Tegeta na kuingizwa kwenye gridi ya Taifa.

 

4 years ago

Mwananchi

Gesi Mtwara kero kwa wavuvi

Utafutaji wa mafuta katika kina kirefu cha bahari mkoani Mtwara bado unaendelea licha ya baadhi ya makampuni kuendelea kubaini gesi badala ya mafuta.

 

4 years ago

Habarileo

RC Mtwara ahofia hujuma katika gesi

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph SimbakaliaMKUU wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia ameeleza wasiwasi wa nchi kuhujumiwa iwapo biashara ya gesi itaachwa mikononi mwa wageni pekee.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Gesi, mafuta vyagundulika Morogoro

KAMPUNI ya Swala energy ya hapa nchini, imefanikiwa kuona viashiria vya gesi na mafuta ghafi katika wilaya ya Kilosa, kijiji cha Kilombero mkoani Morogoro,anaandika Christina Haule. Hayo yamesemwa na Mhandisi Felix Nanguka katika semina ya waandishi wa habari Morogoro, iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Injinia Nanguka amesema utafiti huo ulianza mwaka ...

 

4 years ago

Mwananchi

Pinda ‘kuinadi’ gesi ya Mtwara, mafuta Qatar

Waziri Mkuu Mizengo Pinda anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Qatar na kazi kubwa ni kutafuta wawekezaji katika sekta ya mafuta na gesi pamoja na maeneo mengine ya kiuchumi ikiwemo utalii na fursa za biashara.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani