Giroud aiongoza Arsenal kuilaza Leicester

Mchezaji wa ziada Olivier Giroud alifunga kichwa kizuri katika ushindi wa kushangaza baada ya Arsenal kutoka nyuma na kuilaza Leicester

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Wayne Rooney aiongoza Everton kuilaza Gor Mahia Tanzania

Wayne Rooney ameiongoza klabu yake mpya Everton kuishinda klabu ya Kenya ya Gor kwa kufunga bao zuri katika mechi ya kirafiki iliodhaminiwa na kampuni ya Sportpesa.

 

10 months ago

BBCSwahili

Alexis Sanchez aisaidia Arsenal kuilaza Fc Cologne

Alexis Sanchez aliisaidia Arsenal kutoka nyuma na kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya Ujerumani Cologne katika mechi ya Yuropa iliocheleweshwa kwa saa moja kutokana na matatizo ya mashabiki

 

3 years ago

Mwananchi

Giroud ahesabiwa saa Arsenal

Licha ya kung’ara na kuivusha klabu yake, Arsenal dhidi ya Olympiakos, Jumatano usiku kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini mshambuliaji Olivier Giroud ameambiwa jambo ambalo litamnyima usingizi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsenal kuwakosa Giroud na Debuchy

Mshambuliaji wa Arsenal Mfaransa Oliver Giroud ataukosa mchezo wa ligi dhidi ya Southampton na kuwa majeruhi.

 

2 years ago

Bongo5

Arsenal kumkosa Oliver Giroud

Mchezaji wa klabu ya Arsenal, Mfaransa Oliver Giroud ataukosa mchezo wa EFL Cup dhidi ya Southampton na kwa kuwa majeruhi.

3acc9dc600000578-0-image-m-28_1480419216259

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ameuambia mtandao wa klabu hiyo kuwa Oliver Giroud atakosekana napia amezungumzia kuhusu mchezaji Debuch ambaye amesema kuwa alifanyiwa vipimo lakini bado majibu hayatoka.

Mshambuliaji Lucas Perez anatarajiwa kuanza baada ya kupona maumivu ya enka yaliyomuweka nje kwa wiki tano.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia...

 

2 years ago

Mtanzania

Olivier Giroud aibeba Arsenal Old Trafford

arsenals-olivier-giroud-celebrates-after-the-gameMANCHESTER, ENGLAND

MICHUANO ya Ligi Kuu nchini England iliendelea jana kwenye viwanja mbalimbali, huku mchezo ambao uliteka hisia za watu wengi ni kati ya Manchester United ambayo ilikuwa kwenye uwanja wa nyumbani wa Old Trafford dhidi ya wapinzani wao, Arsenal, ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1.

Ni wazi kwamba, Manchester United walichezea shilingi chooni kutokana na kulazimishwa sare hiyo. United walikuwa wa kwanza kupata bao, ambalo liliwekwa wavuni na kiungo mshambiliaji,...

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsenal kileleni baada ya Giroud na Sanchez kuitikisa Sunderland.

Klabu ya Arsenal imekwea hadi nafasi ya kwanza kwenye ligi ya England baada ya kupata ushindi wa mechi yake ya saba kwa kuilaza Sunderland 4-1 ugani Light.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Wenger atangaza hataki kusikia Giroud anaondoka Arsenal

Kocha Arsene Wenger amesema bado klabu hiyo inamhitaji Olivier Giroud kuichezea klabu hiyo kwa ajili ya msimu ujao licha ya kutofanya vizuri msimu uliopita.

 

3 years ago

Bongo5

Olivier Giroud aingia kwenye vitabu vya rekodi za Arsenal

2F56C70800000578-0-image-m-23_1450049724758

Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya tafifa ya Ufaransa Olivier Giroud baada ya kufunga wikiend hii amefikisha idadi ya magoli 50 katika ligi ya EPL goli hilo la mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Aston Villa baada ya Alan Hutton kumvuta Theo Walcott kwenye eneo la box.

2F56C70800000578-0-image-m-23_1450049724758

2F59569700000578-3358700-image-a-40_1450051755102

Giroud alifunga mkwaju huo wa penati na kufikisha magoli 14 msimu huu na kuwa mchezaji wa saba wa Arsenal kufunga magoli 50 kwenye ligi ya EPL wakati yeye ikimchukua michezo 113 kufikia rekodi hiyo.

2F56C0DB00000578-0-image-a-24_1450049738140

Wachezaji...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani