Global TV Live: Itakuwa Ikirusha Moja kwa Moja Mapokezi ya Yanga Wakitoka Comoro

Mapokezi hayo yataoneshwa hapa kuanzia saa 5:30 asubuhi hii====>GLOBAL TV ONLINE

Gari la Yanga likiwasili Uwanjani hapo kwa ajili ya kuwapokea Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara.

Mwandishi wa Global Publishers, Musa Mateja akizungumza na mashabiki wa Yanga.

Mashabiki wakimiminika kwa ajili ya kuwapokea wachezaji wa Yanga.

PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

Save

Save

Save

Save

The post Global TV Live: Itakuwa Ikirusha Moja kwa Moja Mapokezi ya Yanga Wakitoka Comoro appeared...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Instagram kuja na video za moja kwa moja (Live Stream)

Mtandao wa kijamii wa Instagram hivi karibuni umezindua video za matangazo ya moja kwa moja ama live stream.

Ukifuata nyayo za mtandao mwenza wa facebook ambao unaomiliki Instagram,You Tube pamoja na programu ya moja kwa moja ya Twitter ya Periscope.

Instagram imezindua programu hiyo inayoruhusu wateja wake kuweka matangazo ya moja kwa moja wakati wowote.

Mtu yeyote anayetazama anaweza kutoa maoni yake kwa kuweka emoji ambazo hujitokeza katika video hiyo ya moja kwa moja.

insta-live-2

Inaonekana kuwa ya...

 

2 years ago

Global Publishers

Fuatilia LIVE Matangazo ya Moja kwa Moja ya Bunge Kutoka Dodoma (Jioni)

The post Fuatilia LIVE Matangazo ya Moja kwa Moja ya Bunge Kutoka Dodoma (Jioni) appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Malunde

Live : MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA UCHAGUZI KENYA LEO AGOSTI 8,2017


<<HAPA>> KUFUATILIA MOJA KWA MOJA MATUKIO YANAYOENDELEA UCHAGUZI WA KENYA
Kwa mara nyingine tena, Uhuru Kenyatta na Raila Odinga, wanashindania uongozi wa taifa la Kenya baada ya kukabiliana tena Machi 2013.
Rais Kenyatta ni mwana wa rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta naye Bw Odinga mwana wa makamu wa rais wa kwanza Jaramogi Oginga Odinga.
Familia hizo zilianza kwa kuwa marafiki wa kufa kuzikana wakati wa Kenya kujipatia uhuru wake. Jaramogi alipewa fursa ya kuwa kiongozi wa kwanza wa...

 

2 years ago

Michuzi

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja (Live!!!) yatakayowajia kutoka Ikulu Dar es Salaam hivi sasa.

Matangazo haya yanahusu uteuzi wa viongozi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Matangazo haya yatarushwa kupitia Televisheni ya Taifa - TBC1, Redio - TBC Taifa na tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz

 

2 years ago

MillardAyo

Kwanini Yanga imechelewa kwenda Comoro na kusafiri siku moja kabla ya mechi

Timu ya Yanga ambayo ni Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara watasafiri asubuhi ya February 11 2017 kuelekea Moron Comoro ikiwa ni siku moja tu kabla ya kucheza game yao ya round ya kwanza wa klabu Bingwa Afrika vs Ngaya Dembe. Tumezoea kuona timu zinasafiri mapema kwenda sehemu itakapochezwa mechi na wapinzani wao ili […]

The post Kwanini Yanga imechelewa kwenda Comoro na kusafiri siku moja kabla ya mechi appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Barnaba: Albamu yangu itakuwa na nyimbo 10 moja ya dini

Barnaba amefunguka kuwa albamu yake mpya itakuwa na nyimbo moja ya dini.

Muimbaji huyo ambaye tangu mapema mwaka jana aliahidi kuachia albamu mwaka huu, amekiambia kipindi cha E News cha EATV kuwa albamu hiyo itakuwa na nyimbo kumi moja wapo ikiwa ni wimbo huo wa dini.

“Nina mpango wa kutoa albamu tarehe nane mwenzi wa nane yenye jumla ya nyimbo kumi. Kati ya hizo nyimbo kumi, Lover Boy itakuwa ndani na nyimbo moja itakuwa ya dini na nyimbo nyingine itakuwa bonus ya mashabiki zangu,”...

 

3 years ago

MillardAyo

Pichaz za Tunda Man alivyoanza kazi ya Ubalozi kwa kutoa laki moja moja kwa wakinamama

3

Mkali wa Bongo Fleva anayemiliki headlines na Air Time kwa hit single yake ya ‘Mama Kijacho’ Khalid Ramadhani maarufu kama Tunda Man amerudi kwenye headlines February 6 baada ya kuanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake ya ubalozi wa kampeni ya Amsha Mama. Tunda Man ameanza shughuli zake za kibalozi kwa kuwatembelea wakina mam wafanyabiashara wadogo […]

The post Pichaz za Tunda Man alivyoanza kazi ya Ubalozi kwa kutoa laki moja moja kwa wakinamama appeared first on...

 

1 year ago

Michuzi

FUATILIA HAPA MOJA KWA MOJA: CAG AKIWASILISHA RIPOTI YAKE KWA RAIS DKT. MAGUFULI

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja muda huu ambapo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) anawasilisha ripoti yake kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani