GLOBAL TV: MAZISHI YA MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Godfrey Bonny afariki dunia

Kiungo wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amefariki dunia alhamisi hii huko nyumbani kwao Mbeya.

Mchezaji huyo alikuwa amelazwa kwa muda mrefu hospitali ya Rungwe-Tukuyu Mbeya alikokuwa akipatiwa matibabu.

Wakati akicheza soka, Bonny aliwahi kuvitumikia vilabu vya Tanzania Prisons na Yanga kwa vipindi tofauti pamoja na timu ya taifa ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...

 

4 years ago

Michuzi

matapeli walamba email ya Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele (pichani) anawaarifu ndugu, jamaa na marafiki pamoja na jamii ya Tanzania kwa jumla kwamba email address yake ya maya@yahoo.comimeibwa na matapeli na kuanza kutumika vibaya (phishing) kwa kudai kuwa yeye yupo Ukraine na amekumbwa  na matatizo hivyo anaomba msaada wa pesa haraka.


Mbaya zaidi, katika email yake hiyo Ally Mayay Tembele aliwahi kuambatanisha nyaraka nyeti kadhaa ikiwemo pasipoti ambazo wezi hao wanazitumia kama alama...

 

2 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS GODFREY BONY YU HOI KITANDANI NA HAJITAMBU, WADAU WAOMBWA KUMSAIDIA

Kiungo wa zamani wa timu ya Yanga, Tanzania Prisons na Taifa Stars, Godfrey Bony, amelazwa katika Hospitali ya Rungwe mkoani Mbeya huku akiwa hana fahamu.
Akizungumza na Mwandishi wetu Dada wa mchezaji huyo aliyejulikna kwa jina la Neema Boniface, alisema kuwa Bony alianza kuumwa ugonjwa usiojulikana miezi mitatu iliyopita na mpaka sasa bado haijajulikana anaumwa ugonjwa gani.
"Alikua anaumwa lakini alikua na nguvu zake, alikua anatoka anaenda kwenye shughuli zake, wakati mwingine anaenda...

 

4 years ago

Vijimambo

MCHEZAJI EMERSON ALIYELETWA YANGA KWA MAJARIBIO HAJAWAHI CHEZA HATA MECHI MOJA KWENYE TIMU YAKE YA ZAMANI

 Huyu ndie mchezaji mpya wa Yanga, Emerson de Oliveira Neves Roque aliyeletwa na kocha Mbrazili wa Marcio Maximo kufanyiwa majaribio ili azibe pengo la Jaja. Roque, kwa muji wa taarifa za mtandao wa Int.Soccerway.com hajacheza hata mechi moja katika timu yake ambayo imemsajili kama mlinzi lakini huku analetwa kujaribiwa nafasi ya kiungo.Timu anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6.

Habari kwa hisani ya...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mchezaji Juma Abdul wa Yanga achaguliwa kuwa mchezaji wa Aprili w VPL

Beki wa kulia wa timu ya soka ya Young African ya Dar es Salaam, Juma Abdul (kulia pichani juu) )ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili, 2016 baada ya kura zake kuwashinda Donald Ngoma ambaye pia anakipiga Young Africans na Hassan Dilunga wa JKT Ruvu ya Pwani.

Katika rekodi za Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) iliyoketi Jumamosi Iliyopita, imeonesha kwamba Abdul alicheza mechi zote tano za Ligi Kuu kwa mwezi Aprili ambapo pia aliifungia timu yake bao katika harakati za kuwania ubingwa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mchezaji wa zamani atimuliwa Zimbabwe

Chama cha kandanda nchini Zimbabwe kimemtimua mwanakamati Edzai Kasinauyo kutokana na madai kuwa alipanga matokeo ya mechi.

 

3 years ago

Mtanzania

Mchezaji wa zamani Coastal kumrithi Mayanja

mayanjaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa klabu ya Coastal Union unatarajia kumkabidhi majukumu ya timu hiyo mchezaji wake wa zamani, Mbwana Bushiri, baada ya kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Jackson Mayanja.

Kikao cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo kilichokutana juzi, kilifikia uamuzi wa kumtimua kocha huyo raia wa Uganda kutokana na timu hiyo kufanya vibaya katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea.

 

Abushiri aliyewahi kuichezea timu ya Taifa ya Tanzania...

 

4 years ago

BBCSwahili

Mchezaji wa zamani kuwania urais Fifa

Mchezaji wa zamani wa Ufaransa,David Ginola kupambana na Sepp Blatter urais Fifa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani