GOR MAHIA WAIPA KICHAPO SIMBA SC...SAFARI YA LIVERPOOL BASI TENA

Moja kati ya siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Bongo ni leo June 10 2018, kwani ndio ilikuwa siku inayochezwa mchezo wa fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup 2018 kwa kuzikutanisha timu za Simba SC dhidi ya Gor Mahia.
Game ya fainali ilichezwa katika uwanja wa Afraha Nakuru nchini Kenya lakini kikubwa ukiachilia mbali zawadi ya Kombe na pesa, zawadi ya Bingwa kwenda katika jiji la Liverpool England katika uwanja wa Goodson Park iliongeza hamasa na mvuto wa game...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Azam, Gor Mahia zaitega Simba

Asali ni tamu, lakini inapowekwa kwenye ncha ya kisu humpa wakati mgumu mtu kuilamba au kutoilamba kwani japo huitamani, lakini pia anaweza kujikuta akikatwa na kisu.

 

5 years ago

Mwananchi

Simba, Gor Mahia dimbani leo

Simba inashuka uwanjani leo kuikabili Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku ikiwakosa wachezaji wake sita walio katika vikosi vya timu za Taifa.

 

2 years ago

TheCitizen

Ex-Gor Mahia coach salutes Simba

Simba SC goalkeeping coach Idd Salim is thrilled with the Msimbazi Reds’ performance in the just concluded Vodacom Premier League season.

 

5 years ago

Mwananchi

Simba yarudi Dar kuikabili Gor Mahia

Timu ya Simba inarudi jijini Dar es Salaam kesho kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, huku kocha Patrick Phiri akitarajia kuwatumia washambuliaji wake wapya wa kigeni Mkenya Raphael Kiongera na Mganda Emanuel Okwi.

 

5 years ago

GPL

SIMBA NI BALAA YAILAZA BAO TATU GOR MAHIA

Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha timu ya Gor Mahia mabingwa wa Kenya.…

 

10 months ago

BBCSwahili

Gor Mahia yaichapa Simba 2-0 mchezo wa fainali kombe la SportPesa

Gor Mahia imetetea ubingwa wake kwa kuichapa Simba ya Tanzania magoli 2-0 kwenye michuano ya SportPesa iliyofanyika nchini Kenya

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YAITUNGUA GOR MAHIA BAO 3-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Kennedy Opiyo katika chezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.
 Ramadhani Singano 'Messi' akichuana na beki wa Gor Mahia ya Kenya.
Golikipa...

 

4 years ago

Mwananchi

Ni Azam vs Gor Mahia

Azam imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame mwaka 2015 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Jumapili baada ya kuifunga KCCA ya Uganda kwa bao 1-0, kwenye mchezo wa nusu fainali uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani