Gormahia ya Kenya,Simba ya Tanzania kivumbi hii leo kombe la SportPesa

Gormahia na Simba watoana Jasho uwanja wa Afraha Nakuru Kenya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

BBCSwahili

Simba ‘wanguruma’ kombe la SportPesa Super Cup Kenya, Yanga na JKU wa Zanzibar hoi

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Simba wametolewa jasho naa Kariobangi Sharks ya Kenya kabla ya kuibuka mshindi kwa mabao 3-2 ya penalti.

 

11 months ago

BBCSwahili

Gor Mahia yaichapa Simba 2-0 mchezo wa fainali kombe la SportPesa

Gor Mahia imetetea ubingwa wake kwa kuichapa Simba ya Tanzania magoli 2-0 kwenye michuano ya SportPesa iliyofanyika nchini Kenya

 

11 months ago

BBCSwahili

Simba wafika fainali Kombe la SportPesa kwa kuwalaza Kakamega Homeboyz

Mabingwa wa ligi ya Tanzania bara Simba wametinga fainali ya michuano ya Super Cup ya kampuni ya Sportspesa baada ya kuwacharaza Kakamega Homeboyz wa Kenya.

 

12 months ago

BBCSwahili

Singida United wajiunga na Simba nufu fainali kombe la SportPesa Super Cup

Klabu ya Singida United ya Tanzania Bara imeishinda AFC Leopards ya Kenya kwa mabao 4-2 ya penalti na kufuzu kwa nusu-fainali ya mashindano ya kandanda ya SportPesa Super Cup.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Solksjaer: Bahati haitatusaidia dhidi ya Barcelona, kivumbi hii leo Camp Nou

Manchester United kuvaana na Barcelona usiku wa leo.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Simba SC, Yanga watua Kenya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup 2018

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/18, Simba SC Jana Mei 31 2018 wametua nchini Kenya wakifuatiwa na Kikosi cha klabu ya  Yanga walioondoka nchini majira ya saa 10:45 jioni kwaajili ya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup 2018 huko nchini Kenya.

Kikosi cha Yanga ambacho baadhi ya nyota wake hawajaonekana uwanjani hapo akiwemo Ibrahim Ajib kimeondoka kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri zaidi ingawaje kocha wa klabu hiyo, Zahera Mwinyi amedai kuwa michuano hiyo ni kama maandalizi...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Good news kwa Simba SC kutoka SportPesa imetangazwa leo

May 12 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Stand United na kumalizika kwa Simba kupata ushindi wa magoli 2-1, kampuni ya michezo ya kubashiri ikiwa na viongozi wa Simba walitangaza kuingia mkataba wa udhamini wa timu hiyo. Simba SC wameingia mkataba […]

The post VIDEO: Good news kwa Simba SC kutoka SportPesa imetangazwa leo appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Simba yatinga robo fainali ya Kombe la FA kwa kuichapa idadi hii ya goli Singida United.

IMG-20160228-WA0012 (1)

Jumapili ya February 28 Kombe la FA Tanzania liliendelea kwa klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa 16 bora dhidi ya klabu ya Singida United katika dimba la Taifa Dar Es Salaam. Simba ambao waliingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya kupata majeraha ya kufungwa na Yanga katika mechi zao mbili […]

The post Simba yatinga robo fainali ya Kombe la FA kwa kuichapa idadi hii ya goli Singida United. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Habarileo

Simba, Coastal vitani leo Kombe la FA

TIMU ya Simba leo inashuka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Coastal Union Robo Fainali ya Kombe la FA. Mchezo wa leo licha ya Coastal Union kuonekana haifanyi vizuri katika Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini kocha wa Simba, Jackson Mayanja amesema Coastal Union sio timu ya kuidharau na lolote linaweza kutokea.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani