Grace Mugabe kuhudhuria mkutano wa SADC licha ya kusakwa na polisi

Polisi wameweka ulinzi mkali kwenye mipaka ya taifa hilo kuhakikisha kwamba Bi. mugabe hatotoroka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

BBCSwahili

Grace Mugabe arudi Zimbabwe licha ya kutafutwa na polisi Afrika Kusini

Mwamitindo Gabriella Engels 20, alimshtumu Bi Mugabe kwa kumpiga baada ya kumpata akiwa na watoto wake wawili wavulana ndani ya chumba kimoja cha hoteli huko Sandton

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AREJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC, JIJINI HARARE, ZIMBABWE, MUGABE AKABIDHI RASMI CHUO CHA UTUNZAJI AMANI

 Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, akimkabidhi Katibu Mtendaji wa SADC, Dkt Stargomena Tax, mfano wa funguo kama ishala ya makabidhiano ya Kituo cha Mafunzo ya Utunzaji Amani katika nchi za SADC, wakati wa Mkutano wa dharura uliofanyika jana Aprili 29, 2015 kwenye Hoteli ya Rainbow jijini Harare, Zimbabwe.Kufuatia makabidhiano haya, Chuo hiki sasa kitakuwa kinamilikiwa na SADC na matumizi yake yatahusisha vyombo na wataalamu mbalimbali wanaohusika na masuala ya utunzaji amani ndani ya nchi...

 

1 year ago

Dewji Blog

Mama Samia Suluhu kuhudhuria mkutano wa SADC Double Troika

Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika unaojulikana kama (SADC Double Troika) unaowahusisha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika umeanza usiku huu katika ukumbi wa Grand- Lozitha mjini Mbababe Swaziland.

Katika mkutano huo, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dakta JOHN POMBE MAGUFULI ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama inayojulikana...

 

1 year ago

Dewji Blog

PICHA: Makamu wa Rais, Samia Suluhu akiwasili Swaziland kuhudhuria Mkutano wa SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  amewasili mjini Mbabane – Swaziland leo alhamisi ya Machi, 16 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).  

Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mfalme Mswati III mjini Mbabane – Swaziland, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amepokelewa na Viongozi mbalimbali ambao wameongozwa na Waziri wa Utumishi wa Umma wa Serikali ya Swaziland Owen...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MBABANE SWAZILAND LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Mbabane – Swaziland leo 16-Mar-2017 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). 
Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mfalme Mswati III mjini Mbabane – Swaziland, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amepokelewa na Viongozi mbalimbali ambao wameongozwa na Waziri wa Utumishi wa Umma wa Serikali ya Swaziland Owen...

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AREJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC, JIJINI HARARE, ZIMBABWE

 Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, akimkabidhi Katibu Mtendaji wa SADC, Dkt Stargomena Tax, mfano wa funguo kama ishala ya makabidhiano ya Kituo cha Mafunzo ya Utunzaji Amani katika nchi za SADC, wakati wa Mkutano wa dharura uliofanyika jana Aprili 29, 2015 kwenye Hoteli ya Rainbow jijini Harare, Zimbabwe.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wenzake walioshiriki katika Mkutano wa dharura wa SADC, mara baada...

 

2 years ago

MillardAyo

Majibu ya Zitto kuhusu kufanya mkutano wa chama licha ya zuio la polisi

zitti

August 25 2016 Jeshi la Polisi lilipiga marufuku mikutano yote ya kivyama ndani na nje ili kuzuia machafuko waliyodai yanaendelea kujitokeza katika kipindi hiki. Jana September 5 2016 Chama cha ACT-Wazalendo kilikutana katika kikao chake cha kawaida kujadili mambo mbalimbali ya chama. Leo September 6 2016 chama hicho kimekutana na waandishi wa habari kwa ajili ya […]

The post Majibu ya Zitto kuhusu kufanya mkutano wa chama licha ya zuio la polisi appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Mwananchi

Samia Suluhu mgeni rasmi mkutano wa polisi wanawake SADC

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa polisi wanawake kutoka  Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)

 

7 months ago

BBC

Zimbabwe crisis: Who is Grace Mugabe?

Zimbabwe's first lady, or "Gucci Grace" to some, was tipped to be the country's next president.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani