Guardiola ampigia simu Messi kwa Siri, amshauri asiondoke Barcelona

Lionel_Messi_2205072bPEP Guardola amemshauri mshambuliaji Lionel Messi kubakia Barcelona akimtaka nyota huyo wa Argentina kuwa mtulivu na kuonyesha imani kwa mipango ya kocha wake wa sasa, Luis Enrique.
Wiki iliyopita mchezaji huyo aliyewahi kunyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka mara nne, aliweka wazi kuwa huenda akaondoka Camp Nou baada ya kukiri kuwa hajui atakuwa wapi msimu ujao.
Mabingwa wa Ligi Kuu England, Manchester City wamekuwa wakihusishwa na mpango wa kumwaga fedha ili kumnasa mchezaji huyo,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Zidane ampigia magoti Ronaldo asiondoke

 Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amemuomba staa wa klabu yake, Cristiano Ronaldo kuendelea kubaki Santiago Bernabeu licha ya madai ya nyota huyo kutaka kuondoka katika dirisha hili kubwa la majira ya joto.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Matokeo Ulaya: Messi amvua nguo Guardiola, Ubaoni Barcelona 4 Man City 0

Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 19 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi, moja kati ya michezo ilikuwa ukitazamwa na wengi ni kati ya Barcelona na Manchester City.

Barcelona ambao walikuwa nyumbani walimdhalilisha kocha wao wa zamani Pep Guardiola kwa kumpa kichapo cha 4-0, Messi akipiga hat-trick, Arsenal nao waliiadhibu Ludogorets Razgrad ya Bulgaria 6-0, wakati Mesut Ozil nae akipata hat trick.

Lionel Messi kaziniLionel Messi kazini

Mlinzi wa Man city Claudio Bravo...

 

3 years ago

Mtanzania

Barcelona yamkomalia Mascherano asiondoke

 Javier Mascherano

Javier Mascherano

BARCELONA, HISPANIA

MABINGWA wa Ligi Kuu nchini Hispania, Barcelona, wanakomaa na beki wao, Javier Mascherano, asiondoke kujiunga na beki mwenzake, Dani Alves, katika klabu ya Juventus.

Tayari beki wa pembeni wa klabu hiyo ya Barcelona, Alves amejiunga na mabingwa wa nchini Italia, Juventus, kwa mkataba wa miaka miwili hivyo Mascherano alikuwa anatarajia kuambatana na mchezaji huyo Juventus.

Mkurugenzi wa michezo klabu ya Barcelona, Ariedo Braida, amesema kwamba hakuna...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMPIGIA SIMU RC MAKONDA NA KUMPONGEZA KWA KAZI ANAYOIFANYA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii. 
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amempongeza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda kwa juhudi anazofanya katika ziara yake kwa kusikiliza kero za Wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam. 
Rais Magufuli ambaye alimpigia mkuu huyo wa mkoa wakati alipokuwa akisikiliza kero za Wananchi katika Kata ya Mbezi Luis eneo la Malamba Mawili ambako aliweza kumsisitiza kuwa aendelee kutumbua watu huko huko aliko. 
 “Endelea hivyo kutembelea...

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Kwa nini Lionel Messi ndio changamoto inayomkumba Pep Guardiola na Man City

Where the quadruple will be won and lost by Manchester City boss Pep Guardiola, according to BBC football pundit Alan Shearer.

 

3 years ago

MillardAyo

Huu ndio mpango ambao Adidas wangependa utokee kwa Pep Guardiola na Lionel Messi

Gazeti maarufu la michezo Hispania la Marca, January 12 limepamba headlines zake za gazeti kwa kumuandika kocha anayetajwa kuwa ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola na mshindi wa tuzo tano za Ballon d’Or Lionel Messi. Gazeti hilo limewaandika Messi na Pep Guardiola kuwa Adidas inataka kuwaona wakijiunga na klabu ya Man United msimu ujao. Adidas […]

The post Huu ndio mpango ambao Adidas wangependa utokee kwa Pep Guardiola na Lionel Messi appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Yaya Toure akubali yaishe, ampigia goti kocha Guardiola amrejeshe kikosini

Baada ya kiungo Yaya Toure kuona hali inazidi kuwa ngumu ya nafasi yake katika kikosi cha Manchester City kinachoongozwa na Pep Guardiola amemua kufanya maamuzi ambayo anaamini yanaweza kubadilisha uamuzi ya Guardiola.

Toure ameamua kumwomba msamaha kocha Guardiola ili aweze kurejea katika kikosi cha kwanza na kuweza kupata nafasi ya kucheza kama ilivyokuwa kwa misimu iliyopita kabla ya kuwasili Pep.

“Nataka niombe msamaha kwa ajili yangu na wote ambao wananiwakilisha,” amesema Yaya...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Pep akata tamaa ya kumsajili Messi aliyesajili kwa miaka mingi zaidi Barcelona

Ndoto za Pep Guardiola kumnasa Lionel Messi kwenye kikosi chake cha sasa cha Manchester City zimezimika tena hata bila ya kuacha majivu baada ya bosi wa klabu hiyo ya Etihad kufichua kwamba Muargentina huyo atasaini mkataba klabuni Barcelona ambao utamfanya tu azeekee huko Nou Camp.

 

3 years ago

MillardAyo

Kama utapata nafasi ya kutembelea jiji la Barcelona, Messi anafunguwa mgahawa kwa ajili yako (+Pichaz)

14580672100121

Jina la Lionel Messi sio geni duniani kote kutokana na umahiri wake na urafiki wake mkubwa na tuzo za Ballon d’Or kwa ndio mchezaji anayeongoza kwa kutwaa tuzo hizo mara tano, headlines za March 22 ni kuwa staa huyo ameamua kutanua wigo wa kipato chake. Messi kwa kushirikiana na kaka yake Rodrigo wameandikwa kuwa wapo […]

The post Kama utapata nafasi ya kutembelea jiji la Barcelona, Messi anafunguwa mgahawa kwa ajili yako (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani