Guardiola kukutana na Barcelona Ligi ya Mabingwa Ulaya, Arsenal na PSG

Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yamepangwa usiku wa Alhamisi ya Agosti, 25 katika halfa ambayo inataraji kuambatana na kutangazwa kwa mchezaji bora Ulaya kwa mwaka 2016.

Kundi ambalo linaonyesha kuwavutia watu wengi ni kundi D ambalo lina timu za Barcelona, Manchester City, Borussia Monchengladbach na Celtic.

Sababu ya kundi hilo kuwavutia watu wengi ni kutokana na kumkutanisha kocha wa zamani wa Barcelona ambaye kwa sasa anafundisha Manchester City, Pep Guardiola na hiyo ikiwa siyo mara...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

BARCELONA, PSG ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Lionel Messi akishangilia na wachezaji wenzake wa Barcelona baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 67. Pablo Zabaleta wa Man City akitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.…

 

2 years ago

BBCSwahili

Lyon walaza PSG 7-6 na kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya upande wa wanawake

Lyon walikuwa wamewaondoa mabingwa wa ligi ya Uingereza wa mwaka 2016 Manchester City hatua ya nusu fainali nao PSG wakawatoa Barcelona.

 

4 years ago

GPL

BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao. BARCELONA imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufungwa mabao 3-2 na Bayern Munich usiku huu jijini Munich nchini Ujerumani. Thomas Muller akiifungia Bayern bao la tatu usiku huu. Barcelona imefuzu kwa jumla ya mabao 5-3 baada ya kupata ushindi wa 3-0 katika mechi yao ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Bayern huko Hispania.… ...

 

4 years ago

GPL

BARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Barcelona wakisherehekea ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Juventus. KLABU ya Barcelona imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Juventus mabao 3-1 katika fainali iliyopigwa nchini Ujerumani usiku wa kuamkia leo. Mabao ya mabingwa hao yaliwekwa kimiani na Ivan Rakitic, Luis Suarez na…

 

3 years ago

StarTV

Ligi Ya Mabingwa:Arsenal, FC Barcelona, Juventus na Bayern vitani leo.

 

Kivumbi cha ligi ya mabingwa barani ulaya 16 bora  hatua ya mtoano kuunguruma tena leo kwa mechi mbili za timu vigogo za Arsenal kuivaa FC Barcelona kwenye uwanja wa Emirates, na Juventus Turin  ya Italia dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani kwenye uwanja wa Olimpico.

Gumzo kubwa ni mechi kati ya Arsenal  The Gunners dhidi ya Mabingwa watetezi FC Barcelona huku kocha Arsene Wenger  akibainisha kuwa pamoja na mchezo utakuwa mgumu kwa pande zote mbili  anaamini lolote linaweza kutokea dimbani...

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal wapewa Barca ligi ya mabingwa Ulaya

Arsenal ya Uingereza imepangwa na Barcelona ya Uhispania kwenye hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

4 years ago

Vijimambo

FC BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA JUMLA YA MABAO 5-3

Timu ya soka ya Bayern Munich ya Ujerumani usiku wa kuamkia leo wameshuhudia wakishindwa kufuzu kucheza fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya baada ya kujikuta wakiondolewa na FC Barcelona kwa jumla ya mababo 5-3. 
Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena uliofurika mashabiki wenye pumzi ya kushangilia bila kuchoka, Bayern waliokuwa na kibarua cha kuifunga Barcelona mabao 4-0 ili wasonge mbele hatua ya fainali, walijikuta wakimaliza dakika 90 za mchezo huo wakiwa na ushindi...

 

4 years ago

GPL

BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani