Guardiola na Man City wachapwa na Bayern

Manchester City, wakicheza mechi yao ya kwanza ya kujiandaa kwa msimu mpya chini ya meneja mpya Pep Guardiola, wamechapwa bao moja na klabu ya zamani ya meneja huyo Bayern Munich.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Kama Guardiola akijiunga na Man City, kocha wa Man City Manuel Pellegrini anatajwa kuamua hivi …

Ni siku kadhaa zimepita toka kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola atangaze kuwa hatoendelea kuifundisha FC Bayern Munich, baada ya msimu kumalizika, bali ataendelea kutafuta changamoto mpya sehemu nyingine ila sana ana husishwa kwenda kujiunga na klabu ya Man City ya Uingereza, kwani ndio nchi ambayo ana mpango wa kwenda […]

The post Kama Guardiola akijiunga na Man City, kocha wa Man City Manuel Pellegrini anatajwa kuamua hivi … appeared first on...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Man City 2-Man Utd 1: Ndivyo ilivyosomeka, Rekodi nyingine ya Guardiola dhidi ya Mourinho

Ubishi umemalizika, majigambo yamepotea na matokeo yameandikwa. Manchester City ya Guardiola imewatia minyororomashetani wekundu ndani ya dimba lao la Old trafford wakiongozwa na kocha wao Jose Mourinho. Magoli ya Manchestre City yamefungwa na Kevin de Bruyne na Kelechi Iheanacho, wakati la kufutia machozi la United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic

f6

 

The post Man City 2-Man Utd 1: Ndivyo ilivyosomeka, Rekodi nyingine ya Guardiola dhidi ya Mourinho appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola..

Kabla siku haijaisha mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee stori 5 za soka zilizoingia katika headlines siku ya December 17, kuna mengi yamezungumzwa katika stori za soka December 17 ikiwemo stori za kufukuzwa kwa mara ya pili kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho. Hizi ndio TOP 5 ya stori za soka December 17. […]

The post TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola …

Mkongwe wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Lothar Matthaus amebidi aweke wazi anachofikiria kuhusu kocha wa sasa wa klabu hiyo Pep Guardiola. Matthaus amekiri kuwa na mashaka na upendo wa kocha huyo kwa klabu ya FC Bayern Munich. Mashaka ya staa huyo wa zamani wa FC Bayern Munich Matthaus yamekuja kutokana na Pep Guardiola kutangaza kuwa ataondoka […]

The post Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola … appeared first on...

 

3 years ago

Mwananchi

Guardiola akaribishwa Man City

Mwenyekiti wa Manchester City, Khaldoon Al Mubarak amesema Pep Guardiola ataiweka timu hiyo kwenye chati Zaidi.

 

3 years ago

Global Publishers

Man City wapigwa na Bayern Munich bao 1- 0

3672A6FB00000578-3699974-Bayern_s_American_forward_Julian_Green_deputising_absent_senior_-a-50_1469044340011 3672B65B00000578-3699974-City_s_Spanish_winger_Jesus_Navas_struggled_to_find_a_way_past_B-a-51_1469044340014 Wachezaji wa  Bayern Munich na  Man City wakiwania mpira wakati wa mechi hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo  mechi ya kirafiki iliyochezwa  Allianz Arena jijini Munich, Ujerumani. Matokeo ni Bayern Munich imeichapa Man City  bao 1-0.

3672E1E800000578-3699974-Juan_Bernat_keeps_marker_Pablo_Maffeo_at_arm_s_length_close_to_t-a-55_1469044340030 3672ED5100000578-3699974-image-a-66_1469045360546 3673003E00000578-3699974-image-a-72_1469045679849
Bayern Munich (4-3-3): Ulreich; Rafinha, Feldhahn, Martinez (Friedl 66mins), Bernat (Gotze 66); Lahm, Alonso (Dorsch 46), Alaba (Ozturk 46); Green, Benko (Shabani 83), Ribery (Hagler 46).
Unused subs: Starke, Tarnat, Hausler, Pohl.
Goal: Ozturk...

 

3 years ago

BBCSwahili

Guardiola:Kazi ya Man City haitaniathiri

Mkufunzi wa timu ya Bayern Pep Guardiola amesema kilabu ya Manchester City haitaathiri kazi yake katika kilabu ya Bayern Munich msimu huu.

 

2 years ago

BBCSwahili

Guardiola amtaka Alves Man City

Matajiri wa jiji la Manchester klabu ya Man City huenda wakamgeukia beki wa Juventus Dani Alves kumsajili katika mkakati kuimarisha safu yao ya ulinzi

 

3 years ago

Mwanaspoti

Guardiola apiga marufuku Internet Man City

SOKA maridadi linalochezwa na Pep Guardiola linaanzia mbali. Linaanzia katika masharti magumu ambayo yanawanyima raha wachezaji, lakini hawana budi kuyafuata. Ndio maagizo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani