Guardiola: Singeshinda kombe, Barcelona na Bayern wangenifuta

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amesema angekuwa amepigwa kalamu na klabu zake za hapo awali za Barcelona na Bayern Munich kama angekamilisha msimu bila kupata kikombe chochote.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola …

Mkongwe wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Lothar Matthaus amebidi aweke wazi anachofikiria kuhusu kocha wa sasa wa klabu hiyo Pep Guardiola. Matthaus amekiri kuwa na mashaka na upendo wa kocha huyo kwa klabu ya FC Bayern Munich. Mashaka ya staa huyo wa zamani wa FC Bayern Munich Matthaus yamekuja kutokana na Pep Guardiola kutangaza kuwa ataondoka […]

The post Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola … appeared first on...

 

3 years ago

BBCSwahili

Guardiola na Man City wachapwa na Bayern

Manchester City, wakicheza mechi yao ya kwanza ya kujiandaa kwa msimu mpya chini ya meneja mpya Pep Guardiola, wamechapwa bao moja na klabu ya zamani ya meneja huyo Bayern Munich.

 

3 years ago

Mtanzania

Ancelotti: Guardiola ameniachia kazi nyepesi Bayern

carlo-ancelottiMUNICH, UJERUMANI

KOCHA wa Bayern Munich, Carlo Ancelotti, amedai kuwa ameachiwa kazi nyepesi na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pep Guardiola ambaye amejiunga na klabu ya Manchester City.

Ancelotti amesema kuwa anaamini atafanikiwa katika klabu hiyo ya Bayern Munich kutokana na Guardiola kuweka njia ya mafanikio ya klabu hiyo.

Guardiola akiwa katika klabu hiyo ya Bayern, alifanikiwa kutwaa mataji saba katika misimu mitatu ambayo aliitumikia ikiwa pamoja na kutwaa taji la Bundesliga.

Ancelotti...

 

2 years ago

Mwananchi

Bayern Munich wapania mataji kumfunika Guardiola

Beki wa Bayern Munich, Rafinha amesema anaamini kwamba timu yake ipo kwenye kiwango kizuri cha kunyakua mataji katika msimu huu ukilinganisha kipindi ambacho timu hiyo ilikuwa chini ya Pep Guadiola.

 

3 years ago

Dewji Blog

Rasmi: Ancelotti kuchukua nafasi ya Guardiola Bayern Munich

151220161033-guardiola-ancelotti-split-exlarge-169

Carlo Ancelotti (kulia) na Pep Guardiola (kushoto).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita viongozi wa klabu ya Bayern Munich walikuwa wakifanya mazunguzmo na kocha wa sasa wa timu hiyo, Pep Guardiola ambaye alionekana kutohitaji kuendelea kuifundisha klabu hiyo ya Ujerumani huku tetesi zikisema kuwa anataka kwenda kufundisha timu za Wingereza hatimaye klabu ya Bayern Munich imempata mrithi wa Guardiola.

Kocha wa zamani wa Real Madrid,  Muitalia Carlo Ancelotti...

 

4 years ago

BBCSwahili

Ni vita ya Barcelona na Bayern Munich

Kocha Pep Guardiola anarejea Nou Camp kuiongoza Bayern dhidi ya Timu yake ya zamani Barcelona kwenye Nusu Fainali ya Uefa champions ligi.

 

4 years ago

BBCSwahili

Barcelona yaidhalilisha Bayern 3-0 UEFA

Lionel Messi na Neymar waliibuka shubiri kwa Bayern baada ya Barcelona kuchomoza na ushindi wa 3-0 nusu fainali ya UEFA

 

4 years ago

Vijimambo

BARCELONA YAITANDIKA BAYERN MUNICH 3-0

Mlinda mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer akijaribu bila mafanikio kuuzia mpira uliopigwa na mshambuliaji mahiri wa FC Barcelona, Lionel Messi uliokwenda moja kwa moja nyavuni huku mabeki wake wakiwa hawana la kufanya.Mshambuliaji wa FC Barcelona, Neymar akiifungia timu yake bao la tatu nala ushindi huku mlinda mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer akiwa hana ujanja. Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Nou Camp, FC Barcelona wamewatandika wageni wao Bayern Munich jumla ya mabao 3-0...

 

4 years ago

BBC

Bayern Munich 3-2 Barcelona (agg 3-5)

Morocco's Mehdi Benatia scores for Bayern but cannot prevent Barcelona from reaching the Champions League final.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani