Guardiola: ushindi dhidi ya Barcelona ni mafanikio makubwa

Meneja wa Manchester City Pep Gurdiola anasema ushindi wa klabu hiyo wa mabao 3-1 dhidi ya Barcelona na ushinidi mkubwa kwa klabu yake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Guardiola ilitubidi kubadili mbinu dhidi ya Barcelona

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amekiri kuwa ilimlazimu abadili mbinu dhidi ya Barcelona katika mechi ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne usiku.

joseph-guardiola-manchester-city-barcelona-uefa-champions-league-01112016_1j1h7o927tipt1otkhcby85ykg

Guardiola awali alitamka kuwa ataendelea kung’ang’ania falsafa yake ya pasi nyingi kutokea nyuma, lakini mfumo wa kucheza moja kwa moja uliisaidia City kujipatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Barcelona.

Hata hivyo, Muhispania huyo alieleza kuwa mfumo huo wa uchezaji uliwawezesha kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kuzua mashambulizi ya...

 

4 years ago

Michuzi

Mapambano dhidi ya Ujangili nchini yaonesha mafanikio makubwa

Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema kuwa hatua za Serikali za kupambana na ujangili nchini zimeonesha mafanikio makubwa. Akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe James Lembeli (pichani) alisema kuwa pamoja na mafanikio mengine hatua hiyo imefanikiwa kukamata silaha 2000. Alisema hadi kufikia mwaka 2013, hali ya ujangili wa tembo ilikadiriwa kufikia tembo 30 kwa siku, lakini Serikali ilichukua hatua ya...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Messi, Rakitic waiongoza Barcelona ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Real Madrid

Bercelona imewafunga mahasimu wao Real Madrid kwenye mechi ya Kombe la Michuano ya Kimataifa (ICC) iliyochezwa usiku wa kuamkia leo Jumapili Miami nchini Marekani.

 

3 years ago

MillardAyo

Ronaldo kasherekea ushindi dhidi ya FC Barcelona akiwa na nguo ya ndani tu !!! (+Pichaz&Video)

1q

Baada ya uwepo wa tambo za mashabiki wa soka wa pande za Real Madrid na FC Barcelona kwa zaidi ya wiki moja kuhusu mchezo wa marudiano wa EL Clasico, usiku wa April 2 ilikuwa ni zamu ya kupata majibu ya tambo za mashabiki wa pande zote. Ukiachana na ushabiki, takwimu za karibuni za vilabu hivyo zilikuwa […]

The post Ronaldo kasherekea ushindi dhidi ya FC Barcelona akiwa na nguo ya ndani tu !!! (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

FC Barcelona hawajakubali kufungwa mara mbili mfululizo Nou Camp, huu ndio ushindi wao dhidi ya Atletico

32E02B8800000578-3525212-image-a-70_1459891180157

Michezo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya ilichezwa usiku wa April 5 2016 katika viwanja vya Nou Camp ulizikutanisha timu za FC Barcelona dhidi ya Atletico Madrid na katika uwanja wa Alianz Arena ulichezwa mchezo wa FC Bayern dhidi ya Benfica. Mchezo wa FC Barcelona dhidi ya Atletico Madrid unatajwa kupata watazamaji […]

The post FC Barcelona hawajakubali kufungwa mara mbili mfululizo Nou Camp, huu ndio ushindi wao dhidi ya Atletico appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Ushindi wa 7-1 wa Barcelona umeishusha daraja Osasuna, Real akipata ushindi wa 6-2

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa El Clasico April 23 kati ya Real Madrid waliyowakaribisha wapinzani wao wa jadi FC Barcelona katika uwanja wao wa Santiago Bernabeu na Madrid kupoteza kwa magoli 3-2, usiku wa April 26 Real Madrid walikuwa ugenini kuwakabili Deportivo wakati Barcelona wakiikaribisha Osasuna katika uwanja wa Nou Camp.   Kwa sasa […]

The post Ushindi wa 7-1 wa Barcelona umeishusha daraja Osasuna, Real akipata ushindi wa 6-2 appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Mwananchi

Guardiola arejea Barcelona

Uswisi Ni kama kocha Pep Guardiola amerejeshwa Barcelona kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baina ya Bayern Munich na Barcelona unaoitwa fainali.

 

3 years ago

BBCSwahili

Guardiola: Barcelona ni ''mashine''

Barcelona ni ''mashine'' ambayo huenda ikatawala mechi dhidi ya Manchester City siku ya Jumatano kulingana na Guardiola

 

4 years ago

BBCSwahili

Guardiola aapa kuinyamazisha Barcelona

Bayern Munich imesema kuwa itang'ang'ana hadi dakika ya mwisho kubadilsha matokeo ya 3-0 dhidi ya Barcelona wakati timu hizo zitakapokutana leo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani