Guatemala kuhamisha ubalozi wake kwenda Jerusalem

Rais wa Guatemala Jimmy Morales m,aemrisha ubalozi wa nchi hiyo nchini Israel kuhamishwa kwenda Jurusalen.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Raia Mwema

Nia ya Marekani kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem ipo palepale

Washington (CNN)

WAKATI ikiendelea kuwa na nia ya kuhamisha ubalozi kwenda Jerusalem, utawala wa Trump unatarajiwa kuwa waangalifu juu ya muda wakati ukielekeza nguvu zake katika masuala muhimu katika mahusiano ya Marekani na serikali ya Israel na kushauriana na washirika juu ya njia ya kufuata, mwanadiplomasia ya ngazi za juu amesema.

Ikulu ya White House imethibitisha kwamba Rais Donald Trump amemwalika Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu huko Washington mapema mwezi Februari katika...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Guatemala kuhamishia ubalozi wake Jerusalem

Rais wa Guatemala Jimmy Morales ameamrisha ubalozi wa nchi hiyo nchini Israel kuhamishwa kwenda Jerusalen.

Katika ujumbe kupitia Facebook, Bw. Morales alisema kuwa hatua hiyo ilichukuliwa baada ya kuzungumza na waziri mkuu Benjamin Netanyahu.

Wiki iliyopita Guatemala ilikuwa moja ya nchi tisa zilizopiga kura kupinga azimio la Umoja wa Mataifa la kuitaka Marekani kufuta hatua ya kuitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.

Donald Trump alitishia kupunguza misaada kwa nchi ambazo zilipiga kura...

 

2 years ago

Raia Mwema

Maseneta wa Republican wawasilisha muswada kuhamisha ubalozi wa Marekani kwenda Jerusalem

Ted Cruz, Seneta kutoka Texas.

WASHINGTON D.C., MAREKANI (CNN)

Wabunge wa Baraza la Seneti kutoka chama cha Republican wamewasilisha muswada wa kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israeli na kutaka kuhamisha ubalozi wan chi hiyo kwenda mji mkuu wa Israel Jerusalem.

Mpango huo tata, ambao Rais Mteule Donald Trump alikuwa akiusema sana wakati wa kampeni, una unaweza kusababisha misuguano zaidi baina ya Wapalestina na Wasraeli.

Muswada huo uliwasilishwa katika siku ya kwanza...

 

1 year ago

BBCSwahili

Je,ubalozi wa Marekani utahamia Jerusalem?

Ikulu ya White House imethibitisha kuwa rais Donald Trump atazungumza leo juu ya kutangaza rasmi kuhamishia kwa ubalozi wa Marekani Jerusalem

 

11 months ago

VOASwahili

Ubalozi wa Marekani wahamia Jerusalem

Marekani imehamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem.

 

4 months ago

VOASwahili

Brazil kufungua ubalozi Jerusalem

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Brazil itahamishia ubalozi wake Jerusalem baada ya tarehe rasmi muamuliwa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani Israel, kuhamia Jerusalem?

Ikulu ya Marekani imesema itaanza mazungumzo kuuhamisha Ubalozi wake nchini Israel kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem.

 

1 year ago

VOASwahili

Ubalozi wa Marekani kuhamia Jerusalem 2019

Ubalozi wa Marekani utafunguliwa mjini Jerusalem kabla ya mwisho wa mwaka 2019, makamu rais Mike Pence amesema.

 

1 year ago

VOASwahili

Uturuki yapanga kufungua ubalozi Jerusalem mashariki

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Jumapili ana matumaini ya kufungua ubalozi wa Uturuki katika taifa la Palestina ndani ya Jerusalem Mashariki

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani