Gumzo la Mfalme Mswati wanaume kuoa wake wawili laibukia kwenye Bunge la Afrika

Serikali ya nchi ya Eswatini imekanusha taarifa zinazoenea kwa kasi mtandaoni kuwa Mfalme Mswati III ametoa agizo la wanaume nchini humo kuanzia Mwezi Juni 2019 kuoa wanawake wawili au zaidi la sivyo unatupwa jela. 

Akizungumza leo asubuhi Jumatano Mei 15,2019 katika Bunge la Afrika linaloendelea jijini Johannesburg,nchini Afrika Kusini,Mbunge wa Eswatini, Mhe. Mike Temple amesema ni vyema taarifa hizo zikapuuzwa kwani zina lengo la kumchafua Mfalme Mswati

“Mhe.Rais wa Bunge la...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

6 days ago

Malunde

GUMZO LA MFALME MSWATI WANAUME KUOA WAKE WAWILI LAIBUKIA KWENYE BUNGE LA AFRIKA…UKWELI HUU HAPA

Mbunge wa Bunge la Afrika kutoka Eswatini akizungumza katika Mkutano wa Bunge la Afrika unaoendelea Jijini Johannesburg,Afrika Kusini leo - Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog ****Serikali ya nchi ya Eswatini imekanusha taarifa zinazoenea kwa kasi mtandaoni kuwa Mfalme Mswati III ametoa agizo la wanaume nchini humo kuanzia Mwezi Juni 2019 kuoa wanawake wawili au zaidi la sivyo unatupwa jela. 

Akizungumza leo asubuhi Jumatano Mei 15,2019 katika Bunge la Afrika linaloendelea jijini...

 

5 days ago

CCM Blog

MFALME MSWATI ALAZIMISHA WAVULANA WALIOPEVUKA KUOA HARAKA TENA WANAWAKE WAWILI-WAWILI KUFUATIA IDADI YA WANAWAKE KUWA KUBWA MNO KULIKO WANAUME NCHINI MWAKE.

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango/jela wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Mwezi Juni, 2019.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.
Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha...

 

6 days ago

Malunde

MAFURIKO YA WANAWAKE YAIKUMBA ESWATINI..MFALME MSWATI AAGIZA KILA MWANAUME AOE WAKE WAWILI LA SIVYO UTUPWE JELA!

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango/jela wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Mwezi Juni, 2019.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.
Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha...

 

3 years ago

Bongo5

Story kuwa serikali ya Eritrea imetoa amri wanaume kuoa wake wawili lasivyo kufungwa jela ni ya uongo

Eritrea

Bila shaka katika pita pita zako kwenye mitandao ya kijamii umekutana na picha za utani kuhusu wasichana warembo wa Eritrea na kwamba wanaume wa nchi zingine Afrika wanapanga kukata ndege kwenda nchini humo.

Anybody knows where the Embassy of Eritrea is??? **Asking for a friend**😩😩😩pic.twitter.com/my4O8cCHxB

— IG @DjGitts (@DjGitts) January 26, 2016

Utani huo ulianza baada ya mtandao wa SDEKenya kuandika habari kuwa serikali ya Eritrea imetoa amri kuwa wanaume wa nchi hiyo wanatakiwa kuoa wake...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kenya:Wanaume huru kuoa wake wengi

Rais Uhuru Kenyatta ametia saini Sheria inayoruhusu wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja bila ya kumuomba idhini mke wa kwanza

 

2 years ago

BBCSwahili

Wanaume maskini kuzuiwa kuoa wake wengi Nigeria

Spika wa bunge katika jimbo lililo kaskazini mwa Nigeria la Kano, amesema kwa umma utaombwa kutoa maoni yake kuhusu mswada wenye lengo la kuwazuia wanaume maskini kuoa zaidi ya mke mmoja.

 

2 years ago

BBCSwahili

Sheria ya kuzuia wanaume kuoa wake wengi kutangazwa Nigeria

Mmoja wa viongozi wakuu wa kiislamu nchini Nigeria anasema kuwa atatangaza sheria ambayo itawazuia wanaume kuoa zaidi ya mke mmoja.

 

5 years ago

Michuzi

MKE WA MFALME MSWATI ZIARANI ZANZIBAR.

Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula kulia akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Fumu Ali Garo kuhusu Mmea wa Mchaichai na faida zake wakati alipotembelea katika Shanba la Viungo Kizimbani ikiwa ni Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar. Mmea wa Mmanjano kama Unavyoonekana ambao ni miongoni mwa mimea yenye faida kubwa ambao hupatikana sehemu ya Kizimbani Zanzibar. Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula Katikati akipata maelezo kuhusu Mmea wa...

 

5 years ago

Habarileo

Mke wa Mfalme Mswati II kufungua Sabasaba

MAONYESHO ya 38 ya kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vywa Mwalimu Nyerere Kilwa yaliyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba yaliyoanza jana yanatarajia kufunguliwa rasmi Jumatano ijayo na Malkia wa Swaziland, Nomsa Matsedula.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani