HABARI NA MATUKIO UGHAIBUNI: KIFO CHA MWANASARAKASI MOHAMMED IDI MOHAMMED (“MOHDY”)

Na Freddy MachaSarakasi ni kati ya sanaa hatari na za kusisimua sana.  Kwa sasa Ulaya wapo vijana na watu wa makamo mbalimbali waliohamia toka Afrika 
Mashariki (hasa Kenya na Tanzania) wakitumbuiza kadamnasi kwa sarakasi, Uingereza, Ureno,  Ujerumani na Hispania.Nchini Hispania kuna visiwa vya Grand Canary ambapo Watanzania wachache hurukaruka kuvutia maelfu ya watalii.
 Moja yake ni Lanzarote. Hapa  Mtanzania Mohammed Idi Mohamed aliyehamia  baada ya kuishi Ujerumani kwa kipindi. Mohdy,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Kifo cha Mohammed Ali chazua siasa Marekani

Kifo cha Muhammed Ali kimezua malumbano makali katika ulingo wa kisiasa miongoni mwa wagombea wa kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu nchini Marekani.

 

1 year ago

Zanzibar 24

UN yamteua Mohammed Chande Othman kuongoza jopo la  uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa UN

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, (UN), Antonio Guterres amemteua Jaji Mkuu mstaafu  wa Tanzania, Mohammed Chande Othman kuongoza jopo la  uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa UN, Dag Hammarskjöld.

Hammarskjold aliyekuwa katibu mkuu wa pili wa UN alifariki dunia Septemba 18 1961 katika ajali ya ndege iliyotokea huko Ndola, Zambia, wakati akiwa katika safari ya kikazi ya kuhamasisha amani Zaire, kwa sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Uteuzi wa Jaji Othman huo ni kwa mujibu...

 

2 years ago

Bongo5

Adhabu ya kifo dhidi ya Mohammed Morsi yatenguliwa

Mahakama ya juu nchini Misri imetengua adhabu ya hukumu ya kifo dhidi ya Rais wa zamani wa nchi hiyo aliyeondolewa madarakani Mohammed Morsi.
_82452397_8a2dd6f9-2c28-4027-8e07-b285a4e0b354

Morsi alihukumiwa adhabu ya kifo kwa ushiriki wake wa kuvunja gereza na wafungwa kutoroka kulikofanywa mwaka 2011 wakati wa vuguvugu la mabadiliko lililoikumba nchi hiyo.

Alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwaka 2012, lakini aliondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi dhidi ya utawala wake kufuatia maandamano makubwa yaliyofanyika nchini humo...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mohammed Morsi ahukumiwa kifungo cha maisha

Mahakama ya Misri imempatia kifungo cha maisha jela aliyekuwa rais wa Kiislamu Mohammed Morsi baada ya kukamilika kwa kesi yake ya upelelezi.

 

3 years ago

Global Publishers

Mohammed Morsi wa Misri Ahukumiwa Kifungo cha Maisha

morsi

Mohammed Morsi.

MAHAKAMA nchini Misri imemhukumu kifungo cha maisha jela aliyekuwa rais wa Misri, Mohammed Morsi baada ya kukamilika kwa kesi yake ya upelelezi.

Morsi ni miongoni mwa washtakiwa wanaoshutumiwa kwa kutoa nakala za siri kwa taifa la Qatar.

Wakili wa Morsi ameeleza kuwa aliachiwa huru kwa upelelezi lakini akapewa hukumu hiyo kutokana na kuliongoza kundi haramu.

Mohammed

Hata hivyo kiongozi huyo wa zamani ana uwezo wa kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo wa mahakama uliotolewa wakati ambapo...

 

3 years ago

Michuzi

Mdau Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) aka nondozzz china

 Mdau Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) akiwa na mhitimu mwenzake wa PhD ambao wametunukiwa vyeti vyao jana na Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo jana.  Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) akiwa na wahitimu wenzake wa PhD baada ya kula nondozzz zao  Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo jana.  Mdau Juma Mohammed...

 

3 years ago

RFI

Kenya yampendekeza balozi Amina Mohammed kuwania kiti cha uenyekiti wa AU

Nchi ya Kenya imewasilisha jina la waziri wake wa mambo ya kigeni na biashara za kimataifa, Amina Mohammed, kuwania nafasi ya mwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika.

 

3 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Zipo hapa dakika 42 za mkutano wa Mohammed Dewji “MO” na waandishi wa habari kuhusu Simba

Shabiki na mwanachama wa Simba ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group), Mohammed Dewji amekutana na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari zaidi ya 35 nchini na kuzungumza nao kuhusu mipango yake kama akifanikiwa kupata nafasi ya kuwekeza katika klabu ya Simba kwa kununua hisa asilimia 51.

MO Blog ilikuwa “live” ikionyesha mkutano huo kupitia kurasa zake za Facebook na Twitter lakini kutokana na baadhi ya wapenzi wa mtandao wetu...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Naibu Waziri Mohammed Ahmada awaondoa hofu wanakijiji cha Mgonjoni Unguja

Naibu Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano Zanzibar Mohammed Ahmada amesema Wizara yake haijasahau agizo la Rais wa Zanzibar la kutengenezwa barabara kwa kiwango cha fusi kijiji cha mgonjoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja.

Akizungumza na Zanzibar24 amesema kufuatia malalamiko ya wananchi wa eneo la kijiji hicho  kuhitaji huduma muhimu za maendeleo ikiwemo barabara,kituo cha afya,Maji na umeme Serikali tayari imesha tekeleza ahadi hizo ambapo sasa  ujezi wa barabara umekwama kutokana na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani