HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA

 Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa kazini. Wakazi zaidi  750 kutoka katika wilaya hiyo wamepata ajira katika kiwanda hicho kinachotajwa kama mkombozi mkubwa wa umaskini kwa wilaya ya Tunduru. Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiendelea na kazi. Daraja  linalojengwa na serikali chini ya wakala wa ujenzi mjini na vijijini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

habari toka wilayani mpanda mkoa wa katavi

 Mkuu wa wilaya ya Mpanda Mhe. Paza Mwamlima (kaunda suti nyeusi juu kushoto mstari wa pili) akiwa katika kijiji cha Mwese na baadhi ya vijana wajasiriamali wakipewa mafunzo juu ya kujikwamua kimaisha

Mkuu wa wilaya ya Mpanda  Mhe. Paza Mwamlima akiwa katika kijiji cha Kalema katika mwambao wa ziwa Tangayika ambako amekemea uvuvi haramu na kusimamia kuchomwa kwa  nyavu na vyandarua ambavyo vimekamatwa na idara ya uvuvi vikitumika kuvulia samaki. Picha na pasco emmanuel katona,...

 

3 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma atembelea wilaya ya Tunduru

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge akikagua daraja la Mto Nampungu wilaya ya Tunduru. Daraja hili lenye urefu wa mita 100 limekamilika kujengwa. Barabara hiyo ya Namtumbo - Tunduru (km 193) inajengwa kwa kiwango cha lami na itakamilika mwezi Oktoba 2016. Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge akiongea na wananchi wa Tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru alipofanya ziara ya Kijazi kukagua shughuli za maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Juma...

 

11 months ago

CCM Blog

RC RUVUMA AFANYA ZIARA Y A KUSTUKIZA NA KUMBAMBA MTU AMBAYE AMEANZISHA UCHIMBAJI WA MADINI KATIKATI YA MTO MUHWESI WILAYANI TUNDURU

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme amefanya ukaguzi wa kushitukiza katika kijiji cha Muhuwesi Wilayani Tunduru akiwa na Kamati zote za ulinzi na usalama mkoa na wilaya na kugundua uwepo wa  Mchimbaji anayejenga vibanda na kambi kubwa inayotarajia kujishulisha na uchimbaji pamoja na uwepo wa  mitambo kwa ajili ya kuanza kuchimba madini mbalimbali katikati ya Mto Muhuwesi

 RC Mndeme amesena kitendo hicho ni uvunjifu wa sheria ya Hifadhi ya Maji no 11 ya mwaka 2009 kifungu cha 34 ,na...

 

1 year ago

Michuzi

WANANCHI WILAYANI NANYAMBA MKOA WA RUVUMA WAANZA UJENZI WA ZAHANATI KWA NGUVU ZAO

Serikali imewahakikishia wakazi wa halmashauri ya mji wa nanyamba mkoani Mtwara kuanza kupata huduma ya upasuaji miezi mitatu ijayo kufuatia kuanza ujenzi wa kituo cha afya katika halmashauri hiyo Wakazi wa halmashauri hiyo kwasasa wanalazimika kusafiri kwenda halmashauri ya jirani ya tandahimba au Mtwara jambo ambalo wamekuwa wakilalamikia kwamba linaongeza gharama za matibabu.

 

3 years ago

Michuzi

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA WA RUVUMA YA WATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA NEW FORCE WALIOLAZWA HOSPITAL YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA

Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa ruvuma ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa ruvuma Dokta Binilith Mahenge amewatembelea majeruhi wa ajali ya basi la New Force waliolazwa katika Hospital ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma wakipatiwa matibabu.

 

2 years ago

Michuzi

MKOA WA RUVUMA UMEANZA MCHAKATO WA UANZISHWAJI WA BENKI YA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA.

MKOA wa Ruvuma umeanza mchakato wa uanzishwaji wa Benki ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.Uanzishwaji wa benki ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma ni utekelezaji wa maagizo ya Waziri Mkuu ambaye ameagiza kila mkoa hapa nchini uwe na Benki ya wananchi ili kusogeza huduma za kifedha kwa wananchi. Utafiti uliofanyika mwaka 2013 unaonesha kuwa ni asilimia 15 tu ya watanzania wanaotumia huduma za kibenki huku asilimia 85 wakikosa huduma hizo.Habari kamili tizama hii video

 

2 years ago

Michuzi

MJUMBE WA HALIMASHAURI KUU CCM NA MNEC WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA(MB) AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM MKOA WA RUVUMA KATIKA OFISI CCM MKOA WA RUVUMA

Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB) akingalia burudani ya ngoma ya Mganda ambayo ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya kumkaribisha katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa RuvumaMjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)amemkabidhi kadi ya CCM Bwana Musa Ndomba ambaye amerudi CCM mwanzo alikuwa mwana chama wa Chadema na Diwani wa Kata ya Tanga manispa ya songea na mwenyekiti wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani