Habari Picha:Waandishi wakizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Unguja

Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Karym akiuliza maswali katika Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir kuhusiana na kuanzishwa Mabaraza ya Wadi na Kamati za Mashauriano za Shehia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir akifafanua jambo wakati akijibu maswali katika mkutano na...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya NchI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja. Baadhi ya Makamanda wa Idara mbali mbali za SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

2 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS,TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud akisoma kazi za Mpango kazi wa mwaka...

 

2 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA (SMZ)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za...

 

4 years ago

Vijimambo

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum na Idara zake mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Haji Omar Kheir (hayupo pichani)...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili ofisi ya rais tawala za mikoa

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi ya Muhandisi Ujenzi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwenda kuangalia majina yao katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 12 Aprili, 2018.

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao wanaombwa kufika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini kwa ajili ya kufanyiwa usaili siku ya Jumanne ya tarehe 17 Aprili, 2018 saa 2:00 za...

 

4 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani Geita...

 

3 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AMUAPISHA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo akimuapisha Radhia Rashid Haroub kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Bi. Radhia Rashid Haroub baada ya kumuapisha rasmin leo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za kazi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMS

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kama ifuatavyo:-

1. Muhandisi Ujenzi (Civil Engineering) “Nafasi 1” – Pemba na “Nafasi 1” – Unguja.

Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Civil Engineer’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. Soro Veya Survey Engineer “Nafasi 1” – Unguja

Sifa za Waombaji:
• Awe ni...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za kazi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kama ifuatavyo:-

1. Afisa Mapato Msaidizi Daraja la III “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya ‘Uhasibu’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. Afisa Manunuzi Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani