Habari za Global Newsbeat 1500 16/04/2018

Nyota wa Wrestling John Cena na mpenzi wake Nikki Bella wametangaza kuachana. Nikki aliandika kwenye Twitter kwamba uamuzi huo ulikuwa mgumu lakini bado wanapeana heshima.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 04/01/2018

Mkongwe ameshiriki kwenye mashindano ya kututumua misuli kwa lengo la kuwa mjenga misuli mkongwe wa kwanza duniani.

 

1 year ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 09/01/2018

Kwenye Global Newsbeat: Bitcoin na sarafu nyingine za dij itali zimezidi kulishika soko. Je, wafahamu jinsi ya kutumia Bitcoin? Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com

 

1 year ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 15/01/2018

Ryan Giggs anatarajiwa kuwa meneja mpya wa timu ya Wales kwa mkataba wa miaka minne.

 

1 year ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 16/01/2018

Watoto 13 wenye umri kati ya miaka miwili na 29, wamegunduliwa wakiwa wanyonge huku wamefungwa kwa minyororo kwenye vitanda vyao katika jimbo la California nchini Marekani.

 

1 year ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 17/01/2018

Muigizaji wa kipindi cha televisheni cha Home and Away, Jessica Falkholt amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata alipokumbana na ajali ya gari wiki tatu zilizopita.

 

1 year ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 18/01/2018

Je, Alexis Sanchez atahama Asenali na kujiunga na hasimu Man United? #GNBSwahili

 

1 year ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 19/01/2018

Mwanamuziki Katy Perry wa Marekani anasema kuwa yeye ni ‘mhanga’ wa mitandao ya kijamii. Perry ana wafuasi milioni 68 Instagram na milioni 108 Twitter. #GNBSwahili.

 

12 months ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 22/01/2018

82% ya pesa zote zilizozalishwa ulimwenguni mwaka jana ziliwaendea matajiri ambao ni asilimia 1% pekee. #GNBSwahili

 

12 months ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 24/01/2018

Pep Guardiola aliadhimisha mechi 500 kama kocha mkuu baada ya Man City kuinyuka Bristol na kuingia fainali ya dimba la Carabao. #GNBSwahili.

 

12 months ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 25/01/2018

Utafiti umeonyesha kwamba wanaovuta sigara moja kwa siku wamo na asilimia hamsini ya kupata ugonjwa wa moyo kulinganishwa na wasiovuta.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani