Habari za hivi punde: Maandamano ya Ukuta yaahirishwa

CHADEMA yatangaza kuahirisha ‘Operesheni UKUTA’ hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya mazungumzo kati ya Rais na viongozi wa Dini.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema maandamano ya UKUTA yameahirishwa kwa mwezi mmoja hadi tarehe Oktoba Mosi.

Aidha Mhe. Mbowe amesema “Tumepata wakati mgumu kufikia uamuzi, sio kila wakati viongozi tutafanya mambo yatayowapendeza wanachama wetu. Viongozi wa dini awali walikuja na ajenda moja, kuomba wabunge wa UKAWA...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Nape avuliwa uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.

Katika Mabadiliko hayo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Aidan John Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Aidha, Mhe. Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

The post Habari za hivi punde: Nape avuliwa uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Bw. Hassan Abbas ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa idara ya Habari (Maelezo)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimtangaza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas (kushoto) anayechukuwa nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Assah Mwambene aliyehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (Maelezo) Bi. Zamaradi Kawawa.

Mkurugenzi wa Idara ya Habar i(Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas akieleza mikakati...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Bosi Tanesco atenguliwa

The post Habari za hivi punde: Bosi Tanesco atenguliwa appeared first on Zanzibar24.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Kafulila ajiondoa Chadema

Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini (2010-2015), David Kafulila amejivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa madai ya kutokuwa na imani tena na upinzani katika kupambana na ufisadi.

Mbunge wa Zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila

 

The post Habari za hivi punde: Kafulila ajiondoa Chadema appeared first on Zanzibar24.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Habari za hivi Punde: Boti yazama Pemba

Boti ya mzigo iliokua imebeba mifuko ya saruji 900 na watu watano akiwemo na nahodha inaripotiwa kuzama katika bahari ya hindi wakati ikisafiri kutoka Tanga kwenda Pemba.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Haji Khamis Haji amesema leo Alhamisi Novemba 30,2017  wamepokea taarifa kutoka kikosi cha KMKM ambacho ndicho chenye dhamana ya kufanya msako na doria katika Bahari ya Hindi eneo la Zanzibar.

“Wenzetu wa KMKM wameanza utafutaji wa boti hiyo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Jeshi la polisi limewakamata majambazi 14

Jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamata Majambazi 14 wengi wao wakiwa ni Askari wastaafu wakiongozwa na Kanali Mstaafu wa Jeshi.

Polisi wamefanikiwa kuwakamata majambazi hao baada ya mapigano makali kati ya jeshi la polisi na majambazi hayo huko Mkuranga mkoa wa Pwani.

 

 

 

The post Habari za hivi punde: Jeshi la polisi limewakamata majambazi 14 appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Makonda aitwa kujieleza Bungeni

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja limewaita mbele ya Kamati yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, na DC wa Arumeru Alexander Mnyeti kwa madai ya kudharau Bunge.

Maamuzi hayo ni sehemu ya maazimio manne ya  Bunge yaliyopishwa usiku huu dhidi ya viongozi wanaoteuliwa na Rais hasa wakuu wa mikoa na wilaya, ambapo azimio lingine ni kumtaka Waziri wa TAMISEMI kutoa maelekezo kwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

HABARI ZA HIVI PUNDE: Kesi ya Scorpion yahamishiwa mahakama kuu

Shauri la kesi ya jinai inayomkabili mtuhumiwa Salum Henjewele maarufu kwa jina la Scorpion,limeondolewa katika mahakama ya wilaya ya Ilala na kuhamishiwa katika Mahakama kuu jijini Dar es Salaam, kutokana na ombi lililowasilishwa katika mahakama hiyo na wakili upande wa Mashtaka Munde Kalombora, ambapo Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo Mhe. Adelf Sachore ameridhia.

11Mtuhumiwa Salum Henjewele almaarufu kwa jina la Scopion (mwenye kanzu) akitoka katika viunga vya mahakamani Ilala leo

The post...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Askari Polisi azama Kibonde Mzungu

Askari polisi wa kituo cha Unguja Ukuu aliyejulikana kwa jina la Abasi Anasi ametumbukia katika eneo la Fuoni Kibonde mzungu wakati akipita na vespa saa tano asubuhi ya leo.

Mpaka sasa askari huyo bado hajaonekana ila vespa aliyokuwa akiendesha tayari imeokolewa na kikosi cha zimamoto na uokozi.

Tunaendelea kufuatilia kitakachojiri huko.

The post Habari za hivi punde: Askari Polisi azama Kibonde Mzungu appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani