HABARI ZA HIVI PUNDE: Rais Magufuli alifungua rasmi daraja la Nyerere

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli hivi punde tu amelifungua rasmi Daraja la Nyerere ambalo lilikuwa likijulikana kama daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI, ALIBATIZA JINA LA DARAJA LA NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016. Rais wa...

 

2 years ago

Habarileo

HABARI ZA HIVI PUNDE: Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe kutokana na matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni tatu.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Habari za hivi Punde: Rais Magufuli ateua IGP, Mangu kupangiwa kazi nyengine

Rais wa Jamhrui ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Mei, 2017 amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP)

Kabla ya uteuzi huo IGP Simon Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

IGP Simon Sirro anachukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine.

The post Habari za hivi Punde: Rais Magufuli ateua IGP, Mangu kupangiwa kazi nyengine appeared first on Zanzibar24.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Matokeo ya Uchaguzi nchini Kenya kutangazwa rasmi mchana wa leo

Macho na masikio ya karibu Dunia nzima yameelekezwa huko Bomas Nairobi Kenya kuweza kufatilia matokeo yanayoendelea kutangawa na Tume ya Uchaguzi na mipaka ya nchini Kenya IEBC kufuatia uchaguzi uliofanyika August 08, 2017.

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa kazi ya uhakiki wa fomu 34A inatarajiwa kukamilika mchana huu hivyo tume hiyo inatarajiwa kumtangaza mshindi wa uchaguzi huo mchana huu wa leo.

Aidha mpaka kufikia saa sita mchana huu tayari matokeo ya vituo 40543 kati ya vituo...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Mahakama yafuta Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Kenya

Mahakama ya Juu nchini Kenya imefutilia mbali matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika mapema mwezi uliopita katika uamuzi kuhusu kesi iliwasilishwa na muungano wa upinzani National Super Alliance.

Jaji Mkuu David Maraga ameagiza: Uuchaguzi wa urais uliofanyika 8 Agosti, 2017, haukuandaliwa kwa mujibu wa katiba na sheria, hivyo matokeo yake ni batili.

“Natangaza hapa kwamba Bw Kenyatta hakuchaguliwa na kutangazwa kwa njia inayofaa.

“Agizo linatolewa, kuagiza Tume ya Uchaguzi kuandaa na...

 

3 years ago

Dewji Blog

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: Muhammad Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria

Buhari

Pichani ni Jenerali Muhammadu Buhari akiwa katika wakati wa kampeni muda mfupi kabla ya kupiga kura.

Kiongozi wa wa chama cha upinzani cha Nigeria jenerali Muhammadu Buhari ameshinda kura za urais na kumuondoa rais aliyeko Goodluck Jonathan mamlakani.

Tayari rais anayeondoka madarakani Goodluck Jonathan amekwisha mpigia simu mpinzani wake Jenerali Buhari na kumpongeza kwa ushindi huo wa kihistoria.

Hii ndiyo mara kwanza katika historia ya taifa hilo kwa rais wa nchi hiyo kung’olewa...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Hivi punde: Rais Magufuli atengua uteuzi wa wakurugenzi wawili leo

The post Hivi punde: Rais Magufuli atengua uteuzi wa wakurugenzi wawili leo appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Nape avuliwa uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.

Katika Mabadiliko hayo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Aidan John Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Aidha, Mhe. Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

The post Habari za hivi punde: Nape avuliwa uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Bw. Hassan Abbas ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa idara ya Habari (Maelezo)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimtangaza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas (kushoto) anayechukuwa nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Assah Mwambene aliyehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (Maelezo) Bi. Zamaradi Kawawa.

Mkurugenzi wa Idara ya Habar i(Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas akieleza mikakati...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani