Habari za Mastaa Irene Uwoya awatolea uvivu wanawake wa kibongo

Kupitia kwenye ukurasa wa instagram wa muigizaji Irene Uwoya ameamua kuyaanika ya moyoni kuhusu wanawake ambao hawatoi ushirikiano kwa wanawake wenzao na hupenda kuona wenzao wakianguka au kufeli kimaisha ambapo hufurahishwa na jambo hilo.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Irene Uwoya ameandika

“Hivi kwanin wanawake tunakuwa hatupendani???yani najiulizaga sana badala sisi tushirikiane ndo kwanza tunarudishana nyuma…mtu akifanya kitu kizuri au biashara ndo wa kwanza kuponda na kurudishana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Pichaz: Mastaa Walivyopendeza Usiku wa Irene Uwoya Valentines’ Special Party

Linah akitumbuiza stejini

Mose Iyobo na mpenzi wake Aunt wakiwa wamepozi wakati wa hafla hiyo.

Uwoy akielekea stejini.

Uwoya akijiselfisha na mwigizaji mwenzake, JB.

Mose na Aunt kwenye Red Carpet.

Mambo yalikuwa hivi.

PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

The post Pichaz: Mastaa Walivyopendeza Usiku wa Irene Uwoya Valentines’ Special Party appeared first on Global Publishers.

 

4 years ago

Habarileo

Shein awatolea uvivu CUF

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema hakuna kundi au mtu mwenye uwezo wa kuipindua Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) au ile Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na atakayethubutu kuwaza au kupanga jambo hilo atakiona cha moto.

 

5 years ago

GPL

MZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII

Na Brighton Masalu
MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku itawaponza. Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni katika mahojiano maalumu, Chilo aliyejizolea heshima na umaarufu mkubwa katika fani hiyo, alikiri kuwa wasanii wengi...

 

3 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AWATOLEA UVIVU WANAOMBEZA MITANDAONI


MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameamua kuwavulia uvivu wale wote wanaosambaza ujumbe wa tofauti juu ya maagizo yake katika mitandao ya kijamii.

Makonda ambaye aliamua kutenga muda na kueleza maswala kadhaa yausuyo jiji la Dar es Salaam kupitia kipindi cha Power Breakfast ya Clouds Fm na 360 ya Clouds Tv juu ya watu ambao wanaotengeneza account feki za mitandao mbalimbali kupitia jina lake.

“Kwanza wanapaswa kujua kuwa sina account ambayo inaanza na cheo changu hivyo account...

 

3 years ago

Habarileo

Pluijm awatolea uvivu wachezaji Bara

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm amesema wachezaji wengi wa Tanzania hawako tayari kucheza soka la kulipwa barani Ulaya na nchi nyingine zilizopiga hatua katika mchezo wa soka.

 

2 years ago

Mwananchi

Masauni awatolea uvivu wakuu wa magereza

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yusuph Masauni amewaonya wakuu wa magereza nchini kuwa watapoteza nafasi zao kama hawataongeza ufanisi katika magereza yao ikiwamo uzalishaji mali.

 

2 years ago

Mwananchi

Kairuki awatolea uvivu waliopoteza majimbo

Kuna uwezekano safu ya uongozi wa CCM kwa upande wa wanawake ikabadilika kabisa kutokana na waliopoteza majimbo kutoruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

 

1 year ago

Bongo Movies

Shamsa Ford Awatolea Uvivu Wasioolewa

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kuwachana baadhi ya wasanii wa kike na watu maarufu ambao hawataki kuolewa au wanasubiri waje kuolewa na watu wenye fedha zao na kudai kuwa watasubiri sana mpaka sura zao ziote sugu.

Shamsa Ford amesema hayo wakati akimpongeza msanii Shilole baada ya kuolewa

“Hongera sana mamy. Umefanya maamuzi sahihi ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.Cha muhimu uwe mke bora wa kitanzania kwa mumeo na ustar uweke pembeni. Mumuweke Mungu mbele, uvumilivu na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani