Habari za Umoja wa Mataifa leo: Tanzania yapokea medali ya ulinzi wa amani Umoja wa Mataifa

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TUTENDELEA KUSHIRIKANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI-TANZANIA

Na Mwandishi Maalum Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeihakikishia Jumuiya ya Kimataifa kwamba itaendelea kushirikiana na Umoja wa Mataifa na Jumuiya za Kikanda katika jitihada za urejeshwaji na uimarishaji wa mazingira ya amani na usalama katika nchi zenye migogoro.   Kauli hiyo imetolewa na Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi, Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja iliyoandaliwa...

 

5 years ago

GPL

TUTANDELEA KUSHIRIKANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI - TANZANIA

Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza wakati wa  ufunguzi wa semina ya siku moja kuhusu ujumuishwaji katika mchakato wa  uboreshaji wa  taasisi za usalama (SSR), semina hiyo ya siku moja  ilifanyika siku ya jumanne katika  Uwakilishi wa Kudumu wa  Japan katika Umoja wa Mataifa na iliandaliwa kwa ubia kati ya Japan, Tanzania na Slovakia...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA LIKALOTUNZA KUMBUKUMBU ZA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA ZA MAUAJI YA RWANDAMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa sherehe fupi za ufunguzi wa jengo la ofisi za Umoja wa Mataifa litakalotumika kutunza kumbukumbu mbalimbali za Mahakama ya Umoja wa Mataifa Kuhusu Mauaji ya Rwanda (MICT) katika eneo la Laki Laki nje kidogo ya mji wa Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa jengo la ofisi za Umoja wa Mataifa litakalotumika...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AONGOZA KUAGA MIILI YA ASKARI 14 WA JWTZ WALIOUAWA WAKIWA KWENYE OPERESHENI YA ULINZI WA AMANI CHINI YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI DRC

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa askari 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania  (JWTZ) waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC, kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es salaam akimwakilisha Rais John Pombe Magufuli, Desemba 14, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani