HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA: Wajumbe wapya watano wachaguliwa Baraza la Usalama UN

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA LAIJADILI BURUNDIMatthew Rycroft, Mwakilishi wa Kudumu wa Uingereza katika Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa,  kwa mwezi  Novemba, akizungumza na waandishi wa habari   hawapo pichani, mara baada ya  Baraza Kuu la Usalama kumaliza kikao chake kilichojadili hali ya  Burundi, kikao ambacho pia kilipitisha azimio ambalo pamoja na mambo mengine linamuunga mkono  Rais wa Uganda  Yoweri Museven ambaye aliteuliwa na  Viongozi  wenzie wa Jumuiya ya Afrika  Mashariki kuwa msimamizi...

 

3 years ago

Channelten

Matumizi ya Silaha za Nyuklia Baraza la usalama la umoja wa mataifa launga mkono azimio la zuio

_88552116_88538743

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kuunga mkono azimio lenye lengo la kuizuia Korea Kaskazini kutumia silaha za nyuklia.

Maafisa wamesema azimio hilo limepitishwa kwa kauli moja, kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini, ambavyo ni vikali zaidi kuwahi kuwekwa dhidi ya nchi hiyo katika kipindi cha miongo miwili.

Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya biashara ya silaha ndogo ndogo na bidhaa za kifahari  ambapo vimewekwa baada ya nchi hiyo kurusha roketi la masafa marefu mwezi...

 

2 years ago

Channelten

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limemtolea wito Rais wa Gambia, Yahya Jammeh, kukubali kushindwa

Gambia's Al Hadji Yahya Jammeh attends the plenary session of the Africa-South America Summit on Margarita Island September 27, 2009.  REUTERS/Jorge Silva/Files

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limemtolea wito Rais wa Gambia, Yahya Jammeh, kukubali kushindwa kufuatia uchaguzi wa Desemba mosi uliofanyika nchini humo.

Kiongozi wa upinzani wa Gambia, Adama Barrow, ambaye anatarajiwa kushika wadhifa wa urais mwezi Januari – amesisitiza kuwepo utulivu ndani ya nchi, na kusema Jammeh hana haki ya kikatiba ya kukataa matokea ya uchaguzi yaliyomaliza uongozi wake wa miaka 22.

Ijumaa iliyopita, kiongozi huyo anayemaliza muda wake alibadili kauli na...

 

1 year ago

Channelten

Matumizi ya makombora ya Nyuklia,Baraza kuu la Usalama la umoja wa mataifa kukutana kikao cha dharula

37848954_401

Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kurusha kombora la masafa marefu la ICBM lililoruka juu zaidi na kupongeza jaribio lake hilo.

Wakati huo huo Marekani kupitia Waziri wake wa Ulinzi James Mattis imesema Korea Kaskazini inaendelea kurusha makombora yanaoonekana kuhatarisha usalama duniani.

James Mattis amesema kuwa kombora hilo liliruka juu ikilinganishwa na kombora jingine lolote lile hapo awali.

Kwa mujibu wa maafisa wa jeshi la Korea Kaskazini, kombora hilo liliruka kwa urefu wa...

 

5 years ago

Michuzi

UHISPANIA NA UTURUKI WACHUANA VIKALI NAFASI YA UJUMBE USIO WA KUDUMU WA BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa , jana Alhamisi waliwapigia kura ya siri wajumbe watano wasio wa kudumu watakaojiunga na Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa kuanzia January Mosi 2015.  Mataifa yaliyokuwa yanawania nafasi hizo kwa kuzingatia mgawanyo wa Kikanda ni nafasi moja kutoka nchi za Afrika, ambayo kwa sasa inashikiliwa na Rwanda, nafasi moja kwa kundi la nchi za Asia na Pacific ambayo kwa sasa inashikiliwa na Jamhuri ya...

 

2 years ago

Michuzi

UJERUMANI YAIOMBA TANZANIA KUIUNGA MKONO KATIKA UCHAGUZI WA NAFASI YA MJUMBE WA BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA.


Na Immaculate Makilika- MAELEZO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Augustine Mahiga amefanya mazungumzo na mjumbe maalum wa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, Balozi Harro Adt, ambapo alipokea, niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ujumbe maalum kutoka kwa Kansela Markel.
Akizungumzia ziara ya Balozi Adt nchini, Balozi Dk. Mahiga alisema kuwa "Kansela Merkel amemtuma Balozi Adt, kuleta ujumbe maalum ambao ni ombi kwa...

 

2 years ago

Channelten

Baada ya North Korea kurusha makombora ya Masafa marefu, Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa lafanya kikao cha dharura

37848954_401

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litafanya kikao cha dharura kuhusu Korea Kaskazini baada ya nchi hiyo hapo jana kutangaza imefanikiwa kurusha kombora la masafa marefu.

Marekani ambayo imethibitisha kuwa Korea Kaskazini ilirusha kombora hilo pamoja na Japan na Korea Kusini zimeitisha kikao hicho cha dharura cha Baraza la Usalama.

Wataalamu wanasema kombora hilo ambalo lilisimamiwa na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un linaweza kuruka kutoka bara moja kwenda lingine na lina...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), pamoja na Balozi Walter Stevens (Kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa na Usalama ya Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa katika mkutano huo. Kushoto ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katika Mkutano huo, pamoja na mambo mengine, vyombo hivyo viwili vilikubaliana kuendeleza ushirikiana zaidi katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani