‘Hadi sasa Tanzania tunanunua umeme toka Uganda, Zambia na Kenya’ – Prof. Muhongo

Ni waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo akiongelea yaliyozungumzwa kwenye kikao cha ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki ambao lengo lake ni kusaidia nchi hizi kupata umeme mwingi wa uhakika na wa bei nafuu. ‘Sasa ili tuyapate hayo matatu tunalazimika kuwa kama nchi nyingine duniani ambazo zinauziana umeme, ndugu zangu Watanzania hadi sasa […]

The post ‘Hadi sasa Tanzania tunanunua umeme toka Uganda, Zambia na Kenya’ – Prof. Muhongo appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

BOMBA LA MAFUTA KUTOKA UGANDA HADI TANGA KUKAMILIKA 2020 - PROF. MUHONGO

Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga  litakuwa limekamilka kufikia 2020 hivyo kilichobaki ni kuanza utekelezaji wa kuanza kujenga bomba hilo.
Profesa Muhongo ameyasema hayo  leo jijini Dar es Salaam wakati alipokutana na waandishi wa habari  juu ya mikakati walioweka katika kutekeleza ujenzi wa bomba hilo, amesema kuwa wataalam katika sekta mbalimbali kutoka Uganda na Tanzania wamekutana leo...

 

5 years ago

Dewji Blog

Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya

unnamed27

Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.

Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano  wa Kumi...

 

3 years ago

Michuzi

UMEME WA MAKAA YA MAWE LAZIMA : Prof. Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akizungumza na baadhi ya watendaji wa Mgodi wa Makaa ya Mawe ya Ngaka mara baada ya kuwasili katika mgodi huo wakati wa ziara yake ya kikazi mkoa wa Ruvuma. Wengine ni ujumbe aliofuatana nao pamoja na Mbunge wa Mbinga vijijini, Martin Msuha, Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Senyi Ngaga, Kamishna Msaidizi wa Madini, anayeshughulikia Leseni John Nayopa, Watendaji toka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Taifa...

 

2 years ago

Mtanzania

PROF. MUHONGO AJISAFISHA KUTOHUSIKA BEI YA UMEME

Prof Muhongo

Na MWANDISHI WETU

-DAR ES SALAAM

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amekanusha taarifa za kushiriki vikao vya kupandisha bei ya umeme.

Taarifa ya Wizara ya Nishati na Madini iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari imefafanua kwamba kikao alichokifanya Profesa Muhongo na wajumbe wa Benki ya Dunia, Septemba 28 mwaka jana, kilikuwa na mrengo wa kuboresha uendeshaji wa Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco) na si kupandisha bei ya umeme.

Pia taarifa hiyo ilieleza kwamba,...

 

2 years ago

Michuzi

Sitakubali Tanesco Kupandisha Bei ya Umeme - Prof. Muhongo.

Na: Lilian Lundo – MAELEZO - Dodoma
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo amesema kuwa msimamo wake juu ya  Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) kutopandisha gharama za umeme kwa wateja wake upo palepale.
Prof. Muhongo ameyasema hayo leo Bungeni, Mjini Dodoma alipokuwa akijibu hoja zilizowasilishwa na wabunge  juu ya zuio la upandishaji bei ya umeme kwa shirika hilo wakati wa uwasilishwaji wa taarifa ya shughuli za Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini katika kipindi cha...

 

5 years ago

Michuzi

TAKWIMU ZA MTANDAO WA UMEME NCHINI TOKA 2005 HADI MACHI 2014


 Takwimu zinaonyesha kwamba  kwa sasa asilimia 36% (kutoka  asilimia 10% ya mwaka 2005)  Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa. Waziri wa Nishati na Madini  Sospeter Muhongo

 

2 years ago

Michuzi

Prof. Muhongo azindua Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu mkoa wa Pwani

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati), Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (wa kwanza kushoto), Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa pili kushoto), Mbunge wa Kibaha Vijijini, Mhe.Hamoud Jumaa (wa nne kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Gissima Nyamo-hanga wakifurahia uzinduzi wa mradi wa Usambazaji Umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Pwani. Hafla ya Uzinduzi huo ilifanyika katika...

 

2 years ago

Michuzi

PROF. MUHONGO AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA PWANI.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa Tatu kushoto), Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (wa kwanza kulia), Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia), Mbunge wa Kibaha Vijijini, Mhe.Hamoud Jumaa (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Gissima Nyamo-hanga (wa kwanza kushoto) wakifunua Jiwe la Msingi kuashiria uzinduzi wa mradi wa Usambazaji Umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani