HAJI MANARA AJITAPA BAADA YA USHINDI WA SIMBA WA GOLI 2 1 DHIDI YA YANGA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Dakika 14 za Haji Manara akizungumza kuhusu ushindi wa Simba dhidi ya Yanga

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara jumatatu ya Februari, 27 amefanya mkutano na waandishi wa habari, ikiwa ni siku mbili tangu Simba na Yanga zilizokutana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, mchezo uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.

Katika mkutano huo Manara alizungumza mambo mbalimbali kuhusu mchezo huo lakini pia kuwataka mashabiki wa Simba kuendelea kuisapat timu yao ili waweze kutimiza malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya...

 

2 years ago

Global Publishers

GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Baada ya Simba Kuiadhibu Yanga, Msikie Haji Manara Akifunguka

The post GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Baada ya Simba Kuiadhibu Yanga, Msikie Haji Manara Akifunguka appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Alichokizungumza kocha wa Simba baada ya ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Taifa Jang’ombe

screen-shot-2017-01-02-at-12-48-03-am

January 1 2016 timu ya Simba ilicheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2017 dhidi ya timu ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa Amaan Zanzibar, katika mchezo huo Simba walifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1. Baada ya mchezo kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja aliongea na waandishi wa habari. ALL GOALS: JKT Ruvu vs […]

The post VIDEO: Alichokizungumza kocha wa Simba baada ya ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Taifa Jang’ombe appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

TFF yatoa huku dhidi ya msemaji wa Simba SC Haji Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Sports Club, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka nje na ndani ya mipaka ya nchi ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja.

Hukumu hiyo iliyotolewa na kamati ya nidhami ya Shirikisho la Soka Nchini Tanzania (TFF) pia imemuamuru pia kulipa faini ya shilingi milioni 9.

Kamati hiyo imemfungia Haji baada ya kumkuta na hati ya makosa matatu aliyokuwa akituhumiwa nayo ya kukashifu, kudharau na kutuhumu viongozi wa TFF kinyume na kanuni ya 41, kosa la pili kuchochea chuki...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara baada ya kuwachapa Yanga bao 1-0

Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha bao 1-0 ni cha heshima kutokana na wao kuwa mabingwa watetezi hivyo isingekuwa vizuri kuwadharaulisha mbele ya umati wa mashabiki.

Manara ametoa kauli hiyo mara baada ya ‘Kariakoo Derby’ kumalizika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam huku timu yake ikiwa imetoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa ndani ya dakika 38 kupitia Erasto...

 

2 years ago

MillardAyo

Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF

Saa kadhaa baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya nidhamu ya TFF kutangaza kumfungia mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara kwa utovu wa nidhamu na kukutwa na makosa matatu. Afisa habari wa zamani wa Yanga ambaye nae alifungiwa mwaka mmoja Jerry Muro ametumia ukurasa wake wa instagram […]

The post Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani