Haji Manara amewasikia wanaoibeza Simba kutoka sare ya 2-2 vs Mwadui FC

Baada ya wekundu wa msimbazi Simba kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu jana dhidi ya Mwadui FC katika uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga na kutoka sare ya kufungama magoli 2-2 maneno yamekuwa mengi na watu wameanza kukosoa kuwa Simba imepunguza kasi ya Ubingwa. Kupitia ukurasa wake wa instagrama afisa habari wa Simba Haji Manara ameamua […]

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)

Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]

The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Mwananchi

Haji Manara afurahia kurudishwa Simba SC

Wakati Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikimfungulia Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara jana, huku aliyekuwa mwakilishi wa klabu, wakili Damas Ndumbaro akiendelea kutumikia adhabu yake ya kufungiwa miaka saba.

 

3 years ago

Global Publishers

Haji Manara wa Simba atembelea Global Publishers

IMG_4462

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia) akiongea jambo na Msemaji Mkuu wa Simba,  Haji Manara alipotembelea Ofisi za Global, Bamaga -Mwenge jijini Dar.

HAJI MANARA GPL (24)

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akiongea jambo na Haji Manara.

IMG_4439

Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally (wa pili kutoka kulia) akiwatambulisha wahariri wa Magazeti ya Championi, Philip Nkini (wa kwanza kushoto) na Ezekiel Kitula (wa kwanza kulia).

HAJI MANARA GPL (4)

Haji Manara akifuatilia kwa...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara kuhusu kuondoka Simba

 

Kufuatia ujumbe tata aliopost Msemaji wa Timu ya Simba Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram hapo jana usiku ambao umezua mjadala miongoni mwa watu, mapema leo  May 2, 2018 Haji Manara, amewatoa hofu mashabiki wa Simba kwa kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuondoka katika timu hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Manara amesema kuwa “Siondoki Simba na naomba muelewe hvyo..ninafanya kazi sehemu sahihi na wakati sahihi….rafiki zangu na washabiki wa klabu muelewe...

 

4 years ago

Michuzi

Haji Sunday Manara ndie msemaji mpya wa Simba

UONGOZI  wa Simba umemtangaza mwandishi wa habari wa siku nyingi,Haji Sunday Manara kuwa msemaji mpya wa klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi.
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally ameiambia Globu ya Jamii kuwa Manara atachua nafasi ya Humphrey Nyasio ambaye atapangiwa majukumu mengine.
"Kamati ya Utendaji ya Simba  imemkabidhi jukumu Manara baada ya kujiridhisha pasi na shaka uzoefu wake katika masuala ya michezo na pia uzoefu wake katika mambo mbalimbali ya kiutawala, hivyo kuwa na imani kwamba...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Msemaji wa Simba Haji Manara afunguliwa mashtaka na TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF) lamfungulia mashtaka ya kinidhamu Msemaji wa Simba Haji Manara kwenye Kamati ya Maadili.

Hatua hii imechukuliwa kwa mujibu wa Katiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kila mwanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania analazimika kuheshimu na kufuata kanuni za maadili za shirikisho kama zilivyoainishwa kwenye kanuni zake mbali mbali.

TFF inaendelea kutoa rai kwa wadau wa mpira kuwa pamoja ni kwamba ni haki yao kushauri, kupendekeza, kukosoa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani