HAJI MANARA AMUOMBEA MSAMAHA JERRY MURO KWA RAIS WA TFF

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara amejitokeza kwa mara ya kwanza kumuombea msamaha mtani wake Jerry Muro ili kuifufua upya hamasa na kuongeza ushindani katika ulimwengu wa soka la Bongo.Jerry Muro ambaye ni Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga amefungiwa na TFF kwa muda wa mwaka mmoja kutojihusisha na soka kutokana na matumizi mabaya ya kauli zake kupitia vyombo vya habari mwezi Julai mwaka huu.Manara katika ujumbe aliouweka kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Haji Manara amwombea msamaha Jerry Muro kwa Rais wa TFF amruhusu kuendelea na kazi

Katika hali isiyotarajiwa na wadau wengi wa soka nchini Msemaji wa Simba, Haji Manara amemwombea msamaha msemaji mwenzake na Mkuu wa Kitengo cha Mawasliano wa Yanga, Jerry Muro kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi amruhusu kuendela na majukumu yake baada ya kufungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka.

Manara amemwomba Malinzi kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kuandika kuwa anafahamu kuwa Jerry Muro alifanya makosa lakini kwa muda ambao amekuwa kifungoni anaamini...

 

2 years ago

MillardAyo

Ombi la Haji Manara kwa Rais wa TFF kuhusu Jerry Muro

haji

December 25 2016 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Club ya Simba Haji Manara alitumia ukurasa wake wa instagram kuandika ujumbe kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi kumuomba asamehewe afisa habari mwenzake wa Yanga Jerry Muro ambaye amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka. Kwako Rais wa TFF Kwanza nikutakie heri na baraka ktk […]

The post Ombi la Haji Manara kwa Rais wa TFF kuhusu Jerry Muro appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF

Saa kadhaa baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya nidhamu ya TFF kutangaza kumfungia mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara kwa utovu wa nidhamu na kukutwa na makosa matatu. Afisa habari wa zamani wa Yanga ambaye nae alifungiwa mwaka mmoja Jerry Muro ametumia ukurasa wake wa instagram […]

The post Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA JERRY MURO BAADA YA TFF KUMFUNGIA HAJI MANARA KUTOJIHUSISHA NA MAMBO YA SOKA MWAKA MMOJA

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemfungia Haji Manara (Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba) kutojihusisha na masuala ya soka kwa mwaka mmoja na pia anatakiwa kulipa faini ya Shilingi  Milioni tisa.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu, Jerome Msemwa amesema hatua hiyo imefikiwa baada ya Manara kukutwa na makosa matatu dhidi ya TFF ambao ni walalamikaji.
Makosa hayo ya Manara dhidi ya mlalamikaji TFF ni kuituhumu na kuidhalilisha TFF, kueneza...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Haji Manara amkumbuka Jerry Muro

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Club ya Simba Haji Sunday Manara ametumia ukurasa wake wa instagram kuandika ujumbe kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi kumuomba amsamehe Mtani wake afisa habari wa Yanga Jerry Muro ambaye amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka.

Haya ndio aliyoyaandika:

Kwako Rais wa TFF

Kwanza nikutakie heri na baraka ktk sikukuu hii kubwa kabisa duniani kote. Nnakuandikia ujumbe huu mfupi na wa wazi
kwako, nikiamini wewe ni mtu mwelewa na mwenye huruma na upendo,...

 

3 years ago

Global Publishers

Haji Manara: Nampeleka Jerry Muro polisi

manaraOfisa Habari wa Simba, Haji Manara.

Nicodemus Jonas,Dar es Salaam
KATIKA kile kinachoonekana kuwa ni zaidi ya upinzani wa jadi, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ametangaza kumfikisha Polisi Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro kwa kile alichobainisha kuchoshwa kudhalilishwa, kushutumiwa na kutukanwa.
Manara ametoa kauli hiyo jana huku akidai Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limekuwa kimya na halimchukulii hatua Muro, pamoja na kuwa kimya kutotolea majibu madai kadhaa ya Simba hasa...

 

3 years ago

Global Publishers

Jerry Muro amuomba radhi Haji Manara

Jerry Muro (38)-001Jerry Muro

Na Wilbert Molandi

MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro amewaomba msamaha wapinzani wao, Simba na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Hajji Manara.

Kauli hiyo, aliitoa jana ambapo alisema amefuta majina yote aliyokuwa akiwaita Simba kama vile; Wazee wa Mchangani, Wazee wa Youtong, Wahapahapa, Chura na Wamatopeni baada ya Ligi Kuu Bara kumalizika na wao kutwaa taji hilo la ubingwa.

Muro alisema alifikia hatua hiyo kwa ajili ya kulinda...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Maneno ya Jerry Muro baada ya TFF kumfungia manara

Baada ya kamati ya nidhamu ya TFF kutoa hukumu ya kumfungia kwa muda wa miezi 12, adhabu iliyoenda sambamba na faini ya Tsh. Milioni 9 kwa msemaji mkuu wa Simba kutokana na makosa matatu.

Afisa habari wa zamani wa Yanga ambaye nae alifungiwa mwaka mmoja Jerry Muro ametumia ukurasa wake wa instagram kuandika “Mtuache sasa tupumzike, tuliyofanya kwa taifa hilo haswa kwenye mpira nadhani yametosha, Waswahiba karibu kijiweni @hajismanara“

The post Maneno ya Jerry Muro baada ya TFF...

 

2 years ago

MillardAyo

Utani wa Manara kuhusu Jerry Muro kupungua kilo 4 kwa kufungiwa (+ video)

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ya Simba Haji Manara leo January 27 2017 kuelekea mchezo wao wa Simba dhidi ya Azam FC ametumia muda huo pia kumuombea msamaha msemaji wa Yanga Jerry Muro huku akitania kuwa amepungua kilo nne toka afungiwe. “Nimemuona kusema kweli rafiki yangu Jerry Zanzibar tulikuwa nae, mimi namuomba Rais […]

The post Utani wa Manara kuhusu Jerry Muro kupungua kilo 4 kwa kufungiwa (+ video) appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani