HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA

Leo ni Siku kubwa kwa mchezo wa mpira wa miguu nchini hususan washabiki na mchezo huo murua, baada ya kamati ya nidhamu kuitengua adhabu yangu ya kufungiwa mwaka mmoja,kujihusisha na masuala ya kandanda ndani na nje ya nchi. 
Adhabu hii ilikuwa inaiumiza sana klabu yangu na kuiondolea haki yake muhimu, ya kuwapa habari kwa wakati watanzania juu ya kinachoendelea kwenye klabu. 
Kiukweli niishukuru kamati ya nidhamu chini ya Mwenyekiti wake Tarimba Abbas kwa kuiondoa adhabu hii, kiukweli...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

KAULI YA JERRY MURO BAADA YA TFF KUMFUNGIA HAJI MANARA KUTOJIHUSISHA NA MAMBO YA SOKA MWAKA MMOJA

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemfungia Haji Manara (Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba) kutojihusisha na masuala ya soka kwa mwaka mmoja na pia anatakiwa kulipa faini ya Shilingi  Milioni tisa.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu, Jerome Msemwa amesema hatua hiyo imefikiwa baada ya Manara kukutwa na makosa matatu dhidi ya TFF ambao ni walalamikaji.
Makosa hayo ya Manara dhidi ya mlalamikaji TFF ni kuituhumu na kuidhalilisha TFF, kueneza...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Adhabu aliyopewa Haji Manara wa Simba na kamati ya nidhamu ya TFF

Leo April 23 2017 hukumu ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara imetangazwa rasmi na kamati ya maadili ya TFF, baada ya mtuhumiwa Haji Manara kushindwa kufika katika kamati ya maadili kujieleza kwa madai amepata dharura na kusafiri kwenda Zanzibar katika matatizo ya kifamilia. Manara wa Simba aliitwa na kamati […]

The post VIDEO: Adhabu aliyopewa Haji Manara wa Simba na kamati ya nidhamu ya TFF appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Ombi la Haji Manara kwa Rais wa TFF kuhusu Jerry Muro

haji

December 25 2016 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Club ya Simba Haji Manara alitumia ukurasa wake wa instagram kuandika ujumbe kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi kumuomba asamehewe afisa habari mwenzake wa Yanga Jerry Muro ambaye amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka. Kwako Rais wa TFF Kwanza nikutakie heri na baraka ktk […]

The post Ombi la Haji Manara kwa Rais wa TFF kuhusu Jerry Muro appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

HAJI MANARA AMUOMBEA MSAMAHA JERRY MURO KWA RAIS WA TFF

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara amejitokeza kwa mara ya kwanza kumuombea msamaha mtani wake Jerry Muro ili kuifufua upya hamasa na kuongeza ushindani katika ulimwengu wa soka la Bongo.Jerry Muro ambaye ni Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga amefungiwa na TFF kwa muda wa mwaka mmoja kutojihusisha na soka kutokana na matumizi mabaya ya kauli zake kupitia vyombo vya habari mwezi Julai mwaka huu.Manara katika ujumbe aliouweka kwenye...

 

3 years ago

MillardAyo

Haji Manara katoka TFF anaelekea kwa waziri Nape, kisa Yanga na Azam FC

haji

Klabu ya soka ya Simba March 23 kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu yao Haji Manara wamethibitisha kukabidhi barua yao ya malalamiko kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, inayowatuhumu TFF kuwapendelea Yanga na Azam FC katika ratiba ya Ligi. Manara ameweka wazi barua hiyo na kueleza kuwa baada ya hapo […]

The post Haji Manara katoka TFF anaelekea kwa waziri Nape, kisa Yanga na Azam FC appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Dewji Blog

Haji Manara amwombea msamaha Jerry Muro kwa Rais wa TFF amruhusu kuendelea na kazi

Katika hali isiyotarajiwa na wadau wengi wa soka nchini Msemaji wa Simba, Haji Manara amemwombea msamaha msemaji mwenzake na Mkuu wa Kitengo cha Mawasliano wa Yanga, Jerry Muro kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi amruhusu kuendela na majukumu yake baada ya kufungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka.

Manara amemwomba Malinzi kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kuandika kuwa anafahamu kuwa Jerry Muro alifanya makosa lakini kwa muda ambao amekuwa kifungoni anaamini...

 

2 years ago

Mwananchi

TFF yampa likizo Haji Manara - VIDEO

Dar es Salaam. Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limemfungia kwa mwaka mmoja Afisa Habari wa Simba, Haji Manara kutojihusisha na masuala ya soka ndani na nje ya nchi pamoja na kulipa faini ya Sh 9 milioni.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Msemaji wa Simba Haji Manara afunguliwa mashtaka na TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF) lamfungulia mashtaka ya kinidhamu Msemaji wa Simba Haji Manara kwenye Kamati ya Maadili.

Hatua hii imechukuliwa kwa mujibu wa Katiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kila mwanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania analazimika kuheshimu na kufuata kanuni za maadili za shirikisho kama zilivyoainishwa kwenye kanuni zake mbali mbali.

TFF inaendelea kutoa rai kwa wadau wa mpira kuwa pamoja ni kwamba ni haki yao kushauri, kupendekeza, kukosoa...

 

2 years ago

MillardAyo

Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF

Saa kadhaa baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya nidhamu ya TFF kutangaza kumfungia mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara kwa utovu wa nidhamu na kukutwa na makosa matatu. Afisa habari wa zamani wa Yanga ambaye nae alifungiwa mwaka mmoja Jerry Muro ametumia ukurasa wake wa instagram […]

The post Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani