Hakimu aombwa kwenda kumsomea mashtaka kigogo wa MSD nyumbani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeombwa kwenda kumsomea mashtaka yanayomkabili, Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Kaskazini wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Sylvester Matandiko nyumbani kutokana na hali yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Hakimu aondoa mashtaka ya Kubenea mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeyaondoa mashtaka ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (46).

 

2 weeks ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA KIGOGO WA UDART

Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia mashtaka mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART) Robert Kisena (46) na mkewe Frolencia Mashauri nisha kukamatwa tena na kuunganishwa katika kesi moja yenye  mashitaka 19 ikiwemo kusababisha hasara kwa UDART ya Bil.2.41.

Awali washtakiwa hao  walikuwa wakishtakiwa  pamoja na wenzao watatu mbele ya Mahakimu Thomas Simba na Augustine. Mbali na Kisena na Mkewe, washtakiwa wengine katika kesi hiyo...

 

3 years ago

Bongo5

Diamond aombwa kufanya kazi na mume wa Alicia Keyz, Swizz Beatz, kwenda Marekani kushoot video ya collabo na Ne-Yo

Diamond and Swizz

Mwaka jana (2015) tulishuhudia producer na rapper Swizz Beatz wa Marekani ambaye ni mume wa muimbaji wa RnB, Alicia Keyz walidhihirisha hadharani kuwa wao ni mashabiki wa kazi za Diamond Platnumz kwa kupost video wakiwa wanasikiliza nyimbo zake (Ingia hapa).

Diamond and Swizz

Hiyo ilikuwa ni dalili kwamba kuna siku Swizz Beatz na Diamond wanaweza kuja kufanya kazi endapo itatokea wamekutana. Lakini kabla hata hawajakutana tayari mtayarishaji huyo ameonesha nia ya kutaka kufanya kazi na Simba.

Diamond amesema...

 

3 years ago

Habarileo

Kigogo mbaroni kwa kuhifadhi wahamiaji haramu nyumbani

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Simon Kagoli amefikishwa mahakamani kwa kosa la kuhifadhi wahamiaji haramu nyumbani kwake na kuwatumikisha mashambani.

 

2 years ago

Mwananchi

Bondia Matumla aruhusiwa leo kwenda nyumbani

Mwanamasumbwi  Mohamedi Matumla (30) ambaye  alifanyiwa upasuaji wa kichwa hivi karibuni katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili(MOI) leo Jumanne nchana ameruhusiwa kurudi nyumbani.

 

2 years ago

Channelten

Watu 15 waliokolewa ndani ya Mgodi wa RZ wameruusiwa na kwenda Nyumbani kwao


WATU 15 waliokolewa ndani ya Mgodi wa RZ ulioko katika kata ya Nyarugusu Wilaya na Mkoa wa Geita na kupelekwa katika Hospitali ya Mkoa kwa matibu zaidi wameruusiwa na kwenda Nyumbani kwao baada ya hali zao kuimalika.

Channel Teni imefika katika Hospiatali ya Mkoa wa Geita majira ya asubuhi na kukuta watu hao wakiwa wamebadilika taofauti na walivyokuwa siku ya jana wakati wanaokolewa kwenye shimo hilo walilokaa kwa siku nne.

Wakizunguma mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Msitaafu Ezekieli...

 

4 years ago

Bongo5

Darassa awataka wasanii kujiimarisha nyumbani kabla ya kufikiria kwenda kimataifa

Rapper Darassa amewataka wasanii kuacha kuiga njia aliyotumia Diamond Platnumz kwenda kimataifa na kuanza kwanza kujiimarisha hapa Tanzania pamoja na Afrika Mashariki. Darassa ameiambia Bongo5 kuwa wasanii wanatakiwa kukubalika kwanza ndani kabla ya kutaka kutoka nje. “Kila mtu anamwona Diamond alivyopata mafanikio zaidi baada ya kufanya kolabo na Davido na akaupeleka muziki wake Nigeria,” amesema […]

 

3 years ago

Bongo5

Nimeshafanya makubwa hapa nyumbani, nahitaji kwenda kimataifa – Dully Sykes

Msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva, Dully Sykes baada ya kufanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Inde’ amesema kilichobaki kwenye muziki wake ni kufungua milango ya kwenda kimataifa.
dully-12

Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Dullly amesema kufanya vizuri nyumbani kutamsaidia kutoboa zaidi kimataifa kwa kuwa mashabiki wa nyumbani ndio wenye nguvu ya kumpush kwenda kimataifa zaidi.

“Kwa sasa plan yangu ni kwenda kifataifa, tayari nimeshafanya kila kitu kwenye huu muziki,” alisema Dully Sykes...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani