Hakuna mtu atakayenipangia muziki wa kufanya – Nay wa Mitego

Huenda sumu ya adhabu ya BASATA kwa Nay wa Mitego ikawa haikukolea vyema.

14099565_292841217749567_582359073_n

Ni sababu rapper huyo ameibuka na kudai kuwa, hakuna mtu anayeweza kumpangia aina ya muziki wa kufanya, na kwamba hivi karibuni ataachia wimbo uitwao ‘Utakula Jeuri Yako’ ambao ni makavu kwa kwenda mbele na huenda ukazua ‘sheshe’ jingine.

“Nobody can stop me,” alisema Nay katika mahojiano kipindi cha Extra Fleva, cha Uplands FM ya Njombe kinachoendeshwa na Ergon Elly. “Muziki wangu uko pale pale, kitu ninachowaahidi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Audio: BASATA imemfungia Nay wa Mitego, hakuna kufanya muziki….

AWSE3444

Kama utakuwa unakumbuka mnamo July 16, 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego PALE KATI kutokuwa wa kimadili. Sasa leo July 27, 2016 millardayo.com imepata taarifa nyingine iliyotolewa na BASATA kuhusu kumfungia msanii huyo kwa muda usiojulikana kutokana na makosa matatu. ‘Ni […]

The post Audio: BASATA imemfungia Nay wa Mitego, hakuna kufanya muziki…. appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego asema hawezi kuacha kufanya muziki anaofanya kwa kuogopa nyimbo zake kufungiwa

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego licha ya kuwa kwenye kikao kizito na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya kufungiwa kwa wimbo wake ‘Pale Kati’ kwa kigezo cha maadali, rapper huyo amesema bado ataendelea na muziki wa aina hiyo kwa kuwa mashabiki wake ndiyo mabosi wa muziki wake.
Nay wa Mitego

Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Nay amesema kila msanii ana njia yake ambayo ameitafuta ili aweze kueleweka na mashabiki wake ambapo akidai ni ngumu kumbadilisha msanii wa namna hiyo ili afanye kitu...

 

5 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA NAY WA MITEGO

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akilonga na Global TV Online katika kipindi chake maridadi cha Mtu Kati. Ungana na presenta wako Pamela Daffa 'The Mic Queen' kujua undani ya mahojiano…

 

5 years ago

CloudsFM

NAY WA MITEGO:MAFANIKIO YANGU YAMETOKANA NA MUZIKI

Kati ya wasanii wakubwa hapa Bongo waliopata mafanikio makubwa kupitia muziki ni Emmanuel Elibarik a.k.a Ney Wa Mitego,muziki wake umempa shoo nyingi na dili za matangazo ambazo hulipa vizuri wasanii.Hivi karibuni msanii huyo kupitia mtandao wake wa instagram alipost picha ya nyumba yake mpya iliyopo maeneo ya Kimara Korogwe ,kwa mujibu wake alikaririwa akisema nyumba hiyo ina thamani ya shs milioni mia na themanini.Ney wa mitego alisema alianza kujenga nyumba hii toka mwaka jana na ni...

 

4 years ago

CloudsFM

NAY WA MITEGO: SITAKI WATOTO WANGU WAFANYE MUZIKI

Staa wa Bongo Flava ambaye ana tuzo ya wimbo bora wa Hip hop, Nay Wa Mitego amefunguka kuwa hataki watoto wake wawe wanamuziki kama yeye. ‘’Mimi ni mwanamuziki na nimepata mafanikio kupitia kazi hii lakini sitaki watoto wangu wawe wanamuziki’’,alisema Nay Wa Mitego.

 

3 years ago

Bongo Movies

Sifanyi Muziki kwa Ajili ya Tuzo-Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nay wa Mitego ambaye alisumbua sana na wimbo wake ‘Shika adabu yako’ ambao ulifungiwa na Baraza la Sanaa (BASATA) na sasa ameachia wimbo wake mpya ‘Saka hela’ amefunguka na kusema kuwa yeye hafanyi muziki ili kupata au kushinda tuzo.

nay62

Nay wa Mitego aliyasema haya alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha eNEWS na kuwataka mashabiki wa muziki wake watambue kuwa yeye hafanyi muziki ili kupata tuzo au kushinda tuzo bali yeye anafanya muziki kutoa burudani,...

 

1 year ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego: Naangaikia Kuupeleka Mziki Mbele Siwezi Kujibishana na Mtu

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na kibao chake kipya kilichopewa jina la ‘Mikono Juu’ amefunguka na kudai hawezi kujibishana na mtu yeyote kwa sasa kwani yeye anachokihangaikia ni kupeleka mbele muziki wake ili watu wake waweze kuupata.

Nay ameeleza hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo ‘PB’ inayorushwa na East Africa Radio na kusema kwa sasa amejikita katika kufanya kazi zake zaidi na sio kutafuta kiki kama wanavyofanya wasanii wengine.

“Sasa hivi sitaki...

 

5 years ago

Bongo5

Uchambuzi: Kwenu Vipi ya Stamina na Nay wa Mitego ni Part 2′ ya Muziki Gani

Muziki Gani ya Nay wa Mitego na Diamond Platnumz iliwakilisha majibizano kati ya wasanii wanaofanya hip hop na wale wanaofanya Bongo Flava. Lakini kwakuwa majibizano kama hayo yanaendelea kila siku baina ya wale wanaofanya hip hop ambayo sasa imegawanyika pia, Stamina na Nay wameamua kuyaweka kwenye wimbo mpya ‘Kwenu Vipi’. Katika ngoma hii Stamina anawakilisha […]

 

3 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego adai muziki wa sasa ni ‘ujanja ujanja’ sio uwezo

hhh

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego amesema muziki wa sasa hivi ukileta ufundi na kujifanya unaweza sana kuchana na kuandika hautafika popote.
hhh

Akizungumza na Bongo5 Alhamisi hii, Nay wa Mitego amedai ili kwenda kibiashara msanii unatakiwa kubadilika ili kwenda sambamba na mahitaji ya soko.

“Muziki wa kipindi cha nyuma ulikuwa wa serious sana, ulikuwa unahitaji uumize sana kichwa ili ufanye kitu kizuri japo ulikuwa hauna hela, lakini muziki wa sasa hivi ni muziki wa ujanja ujanja...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani