Hali ya Kisiasa Nchini Kenya, Serikali yapiga marufuku maandamano baadhi ya maeneo

bomet_university_title_deed_legal_says_cs_matiangi_29089_L

Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku maandamano ya wafuasi wa upinzani NASA katikati ya miji nchini humo.

Waziri wa Usalama na Mambo ya ndani Fred Matiang’i, amesema maandamano hayo hayataruhusiwa katikati ya jiji la Nairobi, Mombasa na Kisumu.

Matiang’i ameongeza kuwa hatua hii imechukuliwa baada ya baadhi ya waandamanaji wa upinzani kupora mali ya watu katika miji hiyo siku ya Jumatano.

Aidha, Waziri huyo amefafanua kuwa serikali haiwezi kuzuia maandamano kwa sababu ni haki ya...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Polisi yapiga marufuku maandamano, mikutano ya kisiasa nchini

Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepangwa kufanyika kwa nyakati tofauti kwa madai ya kuwepo na hali tete ya  kisiasa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Kenya yapiga marufuku maandamano

Serikali ya Kenya imepiga marufuku maandamano ya aina yoyote nchini humo, kufuatia vifo vya watu kadhaa, baada ya ghasia kukumba taifa hilo la Afrika Mashariki

 

11 months ago

VOASwahili

Serikali Kenya yapiga marufuku maandamano

Wakati vyama vya upinzani nchini Kenya vikiahidi kufanya maandamano wakidai kuwepo mabadiliko kabla ya marejeo ya uchaguzi wa urais kufanyika, serikali imepiga marufuku maadamano katika miji mikuu mitatu.

 

11 months ago

BBCSwahili

Serikali Kenya yapiga marufuku maandamano miji mikuu

Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu.

 

11 months ago

RFI

Serikali ya Kenya yapiga marufuku maandamano ya upinzani katikati ya miji

Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku maandamano ya wafuasi wa upinzani NASA  katikati ya miji  nchini humo.

 

1 year ago

Channelten

Hali ya Kisiasa nchini Congo,Upinzani kuitisha maandamano makubwa

160526113421_drc-protests_640x360_bbc_nocredit

Upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeitisha maandamano kote nchini humo siku ya Jumatatu wiki ijayo, lakini pia inawataka watu kutokwenda kazini ili kumshinikiza rais Joseph Kabila kutekeleza mkataba wa kisiasa uliotiwa saini mwishoni mwa mwaka 2016.

Muungano huo wa Rassemblement umesema kuwa utahakikisha kuwa shughuli za kila siku katika miji yote nchini humo zinasimama siku hiyo ya jumatatu.

Aidha, umeushutumu rais Kabila kwa kushindwa kutekeleza mkataba huo na kuongeza...

 

10 months ago

VOASwahili

Kenya yapiga marufuku matangazo ya moja kwa moja ya mikutano ya kisiasa

mamlaka ya mawasiliano ya Kenya, imetangaza kupigwa marufuku kwa upeperushaji wa matangazo ya moja kwa moja wa mikutano ya kisiasa, katika kile ilichokiita “kusaidiA kupunguza hali ya taharuki nchini.”

 

1 year ago

Channelten

Mgogoro wa Kisiasa Nchini Kenya, Baadhi ya wabunge wa chama tawala wawasilisha ombi lao

Jubilee-in-Afraha-e1501947781571

Mbunge wa chama tawala cha Jubilee nchini Kenya amewasilisha ombi la kutaka kufutwa kazi kwa jaji mkuu David Maraga.

Mbunge huyo wa Nyeri, Njiri Wambugu amewasilisha ombi lake mbele ya tume ya huduma za majaji akidai kwamba jaji Maraga alihusika katika kufanya makosa.

Akihutubia vyombo vya habari, mbunge huyo anadai kwamba Jaji huyo ”aliwashinikiza” wenzake kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa rais Uhuu Kenyatta wakati alipotoa uamuzi wa kihistoria mnamo tarehe 1 Septemba.

Wambugu...

 

8 months ago

RFI

Bunge la Ulaya kujadili hali ya kisiasa nchini Kenya

Bunge la Ulaya litajadili hali ya kisiasa nchini Kenya siku ya Jumanne, baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2017 na hasa baada ya waangalizi kutoka Umoja huo kutoa ripoti kuhusu walichokithathmini katika Uchaguzi huo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani