Hali ya Mzee Majuto Kwasasa

Baada ya kulazwa hospitali kwa muda wa siku tatu , muigizaji wa filamu za vichekesho Mzee Majuto ameruhusiwa na kurudi nyumbani kwake baada ya kufanyiwa upasuaji wa hernia (ngiri) mkoani Tanga.

Akizungumza kwa njia ya simu mke wa Mzee Majuto Bi. Aisha Majuto amesema kwamba tatizo lililokuwa likimsumbua mumewe lilianza siku nyingi ingawa  kwa wiki iliyopita hali ilibadilika na kuwa mbaya zaidi hadi kufikia kulazwa.

“Ni kweli tulikuwa tumelazwa lakini mume wangu amesharuhusiwa na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Michuzi

Waziri Ummy amjulia hali Mzee Majuto Muhimbili

 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza jambo na Mchekeshaji mkongwe almaarufu kwa jina la Mzee Majuto mapema jana,alipokwenda kumjulia hali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili,anakopatiwa matibabu

 

1 year ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIVUKONI SHARIK CHOUGHULE AMJULIA HALI MZEE MAJUTO

 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni Sharik Choughule akimsalimia Msanii maarufu nchini wa vichekesho, Mzee Majuto alipokwenda kumjuulia hali hospitali, leo
 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni Sharik Choughule akizungumza na Msanii maarufu nchini wa vichekesho, Mzee Majuto alipokwenda kumjuulia hali hospitali, leo

 

3 years ago

Bongo Movies

Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga Wakitisa Ndani ya ‘Pauka na Pakawa’ (Video)

mzee majanga562

Wakali wa ‘comedy’ kwenye tasnia ya Bongo Movies, Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga wamefanya kweli kwenye filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Pauka na Pakawa inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ambapo unaambiwa “Zama za kale  Paka na Mbwa walipendana sana, hawakuona tofauti iliyopo kati yao. Na siku walipojuzwa tofauti zao, ndipo vita ikaibuka…”

Jionee ‘Trailer’ ya Filamu hiyo hapa:

 

5 years ago

Tanzania Daima

JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya Shikamoo Mzee

MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...

 

4 years ago

GPL

MZEE MAJUTO ATAPELIWA

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
CHANGA! Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutapeliwa shilingi milioni mbili alizopaswa kulipwa kwenye shoo ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Posta, jijini Dar. Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wiki moja kabla ya shoo...

 

2 years ago

Michuzi

4 years ago

GPL

MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA

Gladness Mallya BAADA ya kutokea vifo vya mahujaji zaidi ya mia saba waliokuwa wakishiriki Hija karibu na mji mtakatifu wa Waislam wa Makka, staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman Mzee Majuto au King Majuto amesimulia alivyonusurika kwenye tukio hilo la kukanyagana. Staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman Mzee Majuto au King Majuto akiwa na mahujaji wenzie. Akizungumza na gazeti hili mke wa Mzee Majuto, Aisha alisema baada...

 

1 year ago

Bongo Movies

Uganga Basi – Mzee Majuto

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mzee Majuto amefunguka na kuweka wazi kwamba sinema ndio kitu pekee kinachomfanya aweze kutamba mjini ‘kuishi’ huku akidai ana kazi nane ameshazifanya ameziweka ndani tu, na uganga basi ndio imetoka.

Mzee Majuto amesema hayo wakati alipokuwa akipiga stori mbili tatu alipotembelewa na wasanii wenzake Jacob Stephen ‘JB’ pamoja na Single Mtambalike ‘Richie’, katika hospitali ya Tumaini Jijini Dar es Salaam alipolazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani