Halmashauri ya wilaya ya Morogoro yapunguza maambukizi ya Malaria kwa asilimia nane

01

Nyumba ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Mkuyuni ambayo imefunguliwa  na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Ndugu Juma Khatib Chum ili watumishi hao waweze kuishi karibu na Kituo hicho.

Na Andrew Tangazo Chimesela – Morogoro

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, imefanikiwa kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria kwa  asilimia 8 ukilinganisha na maambukizi ya ugonjwa huo mwaka 2014.

Hayo yamebainishwa hivi karibuni na Dkt. Mwanahamisi Yahya ambaye ni Kaimu mganga wa kituo cha Afya cha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

Ripoti ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria hapa Nchini, inaonesha Kupungua kwa Maambukizi ya Maradhi Malaria Kwa Wastani wa asilimia 50 tangu Mwaka 2000.

Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.

 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert   Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo  Jijini Dar es Salaam amesema pamoja...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mikoa ya Manyara na wilaya ya Morogoro zatajwa kuwa vinara wa maambukizi mapya ya ugonjwa wa kipindupindu

ummy-4

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa tamko kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu nchini. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya (WHO) nchini, Dkt.Rufaro Chatora.(Picha na Maktaba).

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPUNGUZA TOZO YA ARDHI KWA ASILIMIA 5


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuanzia mwaka huu wa fedha, Serikali imepunguza gharama za malipo ya awali ya thamani ya ardhi iliyopimwa kutoka asilimia 7.5 hadi asilimia 2.5.

“Serikali inaendelea kupunguza gharama za umilikaji wa ardhi nchini na katika mwaka wa fedha 2017/2018, imepunguza tozo ya awali ya ardhi iliyopimwa (premium) kutoka asilimia 7.5 ya thamani ya ardhi hadi asilimia 2.5 tu. Natoa wito kwa wananchi kuchangamkia punguzo hili na kujitokeza kupimiwa na ...

 

2 years ago

Michuzi

WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo ndg John Lipesi Kayombo akiwa ameambatana na timu ya wakuu wa idara wa Manispaa ya Ubungo, walitembelea na kujionea maandalizi ya Nanenane katika eneo la Itungi Mkoani Morogoro.
Akiwa katika eneo hilo la Manispaa ya Ubungo, maalum kwa maonesho ya Nanenane,Mkurugenzi na timu yake wamejionea aina mbalimbali za mazao ambayo tayari yamepandwa zikiwemo mboga mboga za kila aina.

Pia Manispaa tayari imetengeneza bwawa la kisasa la samaki aina ya Tilapia, na...

 

2 years ago

Ippmedia

Serikali yaziagiza halmashauri za wilaya kutenga asilimia 5 ya mapato kwaajili ya mfuko wa maendeleo

Serikali imeziagiza halmashauri za wilaya hapa nchini kuhakikisha wanatenga asilimia tano ya mapato yake kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya wanawake, ambazo zina wasaidia katika kuwawezesha kupata mikopo na kujiletea maendeleo.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Channelten

Takwimu zinaonyesha maambukizi ya virusi vya UKIMWI umeendelea kupungua kutoka asilimia 7 hadi kufikia asilimia 5.1

1-1

Takwimu zinaonyesha kuwa kiwango cha maambukizi ya virus vya ukimwi kimeendelea kupungua kutoka asilimia 7 mwaka 2003 hadi kufikia asilimia 5.1 mwaka 2012 huku watu elfu 72 wakipata maambukizi mapya mwaka 2013 kiwango ambacho kimeshuka hadi watu elfu 48 mwaka 2015.

Takwimu hizo zimetolewa jijini dar es salaam na mwakilishi anayeshughulikia masuala ya ukimwi tume ya kudhibiti Ukimwi Tanznia – TACAIDS Dk.Hafidhi Ameir wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani alipokuwa akizungumza na...

 

5 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 33


Na Rose Masaka na Lorietha Laurence-MAELEZO 
TANZANIA ni miongoni mwa Nchi ambazo zimeweza kupunguza maambuzi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 33.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. William Lukuvi wakati akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukimwi Duniani uliofanyika Melbourne nchini Australia Julai mwaka huu.
Amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kuanza zoezi la kuzuia maambukizi kutoka kwa mama...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani