HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR


Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Kawawa Kata ya Hananasifu Elizabeth Masao akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, katika hafla ya kukabidhi vya kula kwa watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre vilivyotolewa na kikundi cha Hananasifu Jogging Club Kinondoni.
Mwenyekiti wa Jogging Club Kinondoni Majani Mrope akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, katika hafla ya kukabidhi vya kula kwa watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre.
Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Kawawa Kata ya Hananasifu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

VWG watoa msaada kwa yatima wa kituo cha chakuwama jijini dar

 KIKUNDI cha wakinamama kijulikanacho kwa jina la Victory Women Group (VWG) chenye makao yake makuu jijini Dar es salaam, mwisho mwa wiki, kilijumuika pamoja na kuwapatia msaada wa mahitaji mbali mbali watoto Yatima wanaolelewa kwenye Kituo cha CHAKUWAMA, kilichopo Sinza Mori jijini Dar es salaam.
VWG iliamua kutembelea kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho yake ya kutimiza mwaka mmoja toka kuanzishwa kwake.
Akizungumza katika hafla fupi iliyofanyika kituoni hapo, Mwenyekiti wa VWG, Bi....

 

10 months ago

Michuzi

WANAWAKE MSD WATOA MSAADA HOSPITALI YA TEMEKE NA MAKAO YA WATOTO YATIMA KURASINI DAR

 Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa MSD, Neema Mwela, akimkabidhi Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Amaani Malima,  Mfuko wenye vifaa vya kujifungulia akina mama (Delivery Pack)  Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa MSD, Neema Mwela, akimkabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine Kaimu Ofisa Mfawidhi wa Makao hayo, Happyness Nyange. Kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa MSD, Neema Mosha.Picha ya pamoja.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Na Dotto...

 

4 years ago

Michuzi

TCAA WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA HNEW HOPE FAMILY KILICHOPO MWASONGA KIGAMBONI JIJINI DAR

Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Ali Changwila akimkabidhi Peter Benard gunia la mchele kwaniaba ya wenzake wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo mafuta ya kupikia na madaftari kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha kuleta yatima cha New Hope Family chenye watoto 36. Kilichopo mwasonga kigamboni jijini kata ya kisarawe 2 ,Temeke jijini Dar es Salaam.Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha New Hope family ...

 

4 years ago

GPL

HIGH CLASS NA MKUBWA NA WANAWE WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe Saidi Fella (kulia) akikabidhi sehemu ya misaada kwa Kituo cha Hisani. Sehemu ya misaada iliyotolewa na High Class Look na Mkubwa na Wanawe.…

 

3 years ago

Michuzi

UMOJA WA WANAMLAWA WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA MKOANI TANGA.

UMOJA wa wanamlalo, Wealfare Associastion waishio Dar es Salaam (MLAWA) wametoa msaada kwenye kituo cha watoto yatima cha Nyumba ya Furaha kilichopo mkoani Tanga wametoa shuka 20 vitene 8 na fedha taslimu shilingi laki tano (500,000).Mwakilishi wa UMOJA wa wanamlalo, Wealfare Associastion waishio Dar es Salaam (MLAWA), Rose Mbelwa akitoa zawadi mbalimbali kwa Sista Irene Kapuka ambaye ni mwakilishi wa kituo cha nyumba ya Furaha kilichopo mkoani Tanga.Watoto wakiwa katika picha ya pamoja...

 

4 years ago

Michuzi

MKOA WA IDARA ZA SERIKALI NA MABALOZI WA NSSF WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii JAMII imetakiwa kutambua mahitaji ya watoto wanaoishi katika vituo vya kulelea  katika kubaini  changamoto zao katika maisha wanayoishi na kuweza kuguswa kutoa msaada. Hayo ameyasema leo Mhasibu Mwandamizi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Idara za Serikali na Mabalozi,Wema Mbaga wakati akitoa msaada wa kituo Khilati Kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam,amesema kuwa wanatambua umhimu wa kutoa msaada kwa makundi maalumu wakiwemo watoto...

 

4 years ago

Michuzi

Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) watoa msaada kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA-SINZA jijini Dar

 Picha ya kwanza ni dada Edith Masuki, Cheyzo Uliza na Scola wakiwasilisha zawadi kwa watoto,Wanawake wanaowakilisha na kuunda kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) walipotembelea kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Pichani ni Dada Cheyzo Uliza na Dada Fatma Mgembe wakionesha upendo kwa watoto wadogo zaidi waliopo kituoni hapo.Baadhi ya watoto wa kituo hicho wakipokea zawadi za Eid zilizoletwa na akina Dada hao wa kundi la MMAA.

 

5 years ago

GPL

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  akiwakabidhi  msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya  ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto) akiwa na...

 

2 years ago

Michuzi

COMFORT ZONE WATOA MSAADA KWA YATIMA WA KITUO CHA HUSENE MJINI DODOMABaadhi ya wanachama wa Comfort Zone waliopo Dodoma wakitoa misaada mbalimbali kwa watoto yatima wanaoishi katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Hasene kilichopo eneo la Chang'ombe wilaya ya Dodoma mjini.

Misaada iliyotolewa ni vitu mbalimbali ikiwemo mifuko 20 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ukamilishaji wajenzi wa madarasa na bweni la kulala watoto.
Wanachama wa Comfort Zone wakiwa wamebeba baadhi ya Misaada kabla ya kuikabidhi kwa Watoto yatima wa kituo cha Hasene kilichopo eneo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani