Hapa Ngoma, kule Tchetche hapatoshi

Baada ya mapumziko ya kupisha michezo ya kimataifa, Yanga itawakaribisha Azam Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa ikijivunia ubora wa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Mzimbabwe Donald Ngoma na Mrundi Ammis Tambwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

Hapa Yanga, kule Azam hapatoshi

‘Cheche cheche... Simizi kambeba Tembo,’ huo ni wimbo utakaotawala leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wakati kocha wa Yanga, Marcio Maximo atakapoonyesha kazi kijana wake Mecky Mexime wa Mtibwa Sugar.

 

3 years ago

MillardAyo

Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni

IMG_0079

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, vilabu vya Azam FC na Dar Es Salaam Young Africans, vilishuka dimbani kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara. Takwimu zinatajwa kuwa Yanga na Azam FC kabla ya mchezo wa leo wamekutana jumla ya michezo 15 kila timu […]

The post Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Mwananchi

Hapa Real BBC, kule Barca MNS

>Miaka 85 ya uhasama, pambano la 261 baina ya Real Madrid na Barcelona ‘El Clasico’ leo kutashuhudiwa ushindani wa aina yake baina ya washambuliaji bora zaidi duniani kwa sasa.

 

4 years ago

Mwananchi

Kiiza, Ngoma hapatoshi

Wakati miamba ya soka nchini Simba na Yanga zitakutana Jumamosi hii, pambano hilo linaonekana litanogeshwa zaidi na vita ya wachezaji wa kigeni kwa timu zote mbili.

 

5 years ago

Bongo Movies

Hatari tupu! Utajiri wa MSANJA MKANDAMIZAJI UNATISHA! Diamond, Jide tupa kule. Tazama hapa

UTAJIRI wa komediani maarufu nchini  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.

Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake.

HABARI MEZANI

Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Matokeo Ligi kuu Zanzibar haya hapa, leo hapatoshi Taifa ya Jang’ombe na kipanga

Michezo mengine ya ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja imeendelea tena kwa kusukumwa michezo mitatu.

Mapema saa 8 za mchana katika Dimba la Amaan timu ya Chwaka Stars imefanikiwa kuongoza ligi hiyo baaa ya kuifunga Miembeni mabao 3-1.

Mabao ya Chwaka yamefungwa na  Bakar Thani dakika 34, Kassim Suleiman dakika ya 57 na 83.

Bao pekee la Miembeni limefungwa na Khalid Ramadhan dakika ya  33.

Mchezo mwengine uliopigwa saa 10 za jioni katika uwanja wa Amaan kati ya Chuon na Mafunzo wanaume...

 

2 years ago

Mtanzania

HATIMA YA NGOMA, BOSSOU YANGA HII HAPA

Na ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

ngomaKOCHA mpya wa timu ya Yanga, George Lwandamina, ameweka wazi juu ya hatima ya mwanandinga ndani ya Yanga kwa kuahidi kuzungumza nao ili wabaki iwapo ataridhishwa na viwango vyao.

Uamuzi huo unatokana na kuwepo kwa minong’ono ya straika wa kimataifa wa klabu hiyo, Mzambia Donald Ngoma na kiungo Vincent Bossou, kugomea kuongeza mkataba mpya baada ya  kupata  dili la kwenda kucheza timu nyingine.

Ngoma na Bossou walijiunga na Yanga kwa mikataba ya miaka miwili kila...

 

3 years ago

Global Publishers

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani