Hapa Yanga, kule Azam hapatoshi

‘Cheche cheche... Simizi kambeba Tembo,’ huo ni wimbo utakaotawala leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wakati kocha wa Yanga, Marcio Maximo atakapoonyesha kazi kijana wake Mecky Mexime wa Mtibwa Sugar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Hapa Ngoma, kule Tchetche hapatoshi

Baada ya mapumziko ya kupisha michezo ya kimataifa, Yanga itawakaribisha Azam Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa ikijivunia ubora wa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Mzimbabwe Donald Ngoma na Mrundi Ammis Tambwe.

 

3 years ago

MillardAyo

Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni

IMG_0079

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, vilabu vya Azam FC na Dar Es Salaam Young Africans, vilishuka dimbani kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara. Takwimu zinatajwa kuwa Yanga na Azam FC kabla ya mchezo wa leo wamekutana jumla ya michezo 15 kila timu […]

The post Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Global Publishers

Kwa Simba hii; Yanga na Azam tupa kule

ajibWachezaji wa Simba wakishangilia goli.

Omary Mdose na Nicodemus Jonas
KIKOSI cha timu ya Simba kwa sasa ndicho kinaongoza Ligi Kuu Bara kikiwa na pointi 57 ikibakiwa na michezo sita tu ili kuhitimisha msimu huu ambao wamedhamiria kufanya kweli tofauti na misimu miwili nyuma.

Simba iliuanza msimu huu kwa kasi ikiwa chini ya Kocha Muingereza, Dylan Kerr, mpaka sasa inanolewa na Mganda, Jackson Mayanja Mia Mia’ inaonekana kasi yao hiyo imekolea kwani tangu kocha huyo akabidhiwe timu hiyo...

 

3 years ago

Channelten

Azam Fc Vs Yanga hapatoshi leo Uwanja wa Taifa

Azam-vs-Yanga-5

Azam FC na Yanga wanakutana jioni ya leo katika Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania nchini kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Yanga inashuka uwanjani leo ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kuizidi kete Azam FC katika mataji mawili, kwanza Ngao ya Jamii Agosti 22, mwaka jana waliposhinda kwa penalti 8-7 baada ya sare ya 0-0 na baadaye katika Ligi Kuu, ingawa timu hizo zilitoa sare mechi zote mbili, kwanza 1-1 Oktoba 17, mwaka jana na baadaye 2-2 Machi 5, mwaka huu.

Mchezo mwingine...

 

3 years ago

Dewji Blog

Simba SC vs Azam FC uwanja wa Uhuru Dar, Yanga vs Mwadui uwanja wa Kambarage hapatoshi leo

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2016/2017 inatarajiwa kuendelea tena leo Jumamosi Septemba 17, 2016 kwa michezo sita ambayo itazikutanisha timu pinzani 12 katika viwanja sita tofauti.

Michezo ya leo ni Mwadui FC itakayoikaribisha Young Africans kwenye Uwanja wa CCM Kambarage. Mwadui ambayo inaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Stand United wakati Young Africans ina makali ya kuilaza Majimaji ya Songea mabao 3-0.

Mechi nyingine yenye mvuto...

 

5 years ago

Mwananchi

Hapa Real BBC, kule Barca MNS

>Miaka 85 ya uhasama, pambano la 261 baina ya Real Madrid na Barcelona ‘El Clasico’ leo kutashuhudiwa ushindani wa aina yake baina ya washambuliaji bora zaidi duniani kwa sasa.

 

3 years ago

Dewji Blog

Viingilio fainali ya FA, Yanga vs Azam kesho Jumatano Mei 25 hivi hapa

Fainali za Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zinatarajiwa kufanyika kesho Mei 25, 2016 kwa kuzikutanisha timu za Young Africans na Azam FC; zote za Dar es Salaam katika mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini.

Sherehe za mchezo huo zitaanza rasmi saa 8.00 mchana kwa mchezo wa awali wa kuburudisha kuzikutanisha timu za soka za kituo cha Televisheni cha Azam ‘Azam Tv’ na wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kurushwa live na kituo hicho...

 

3 years ago

MillardAyo

Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa

we

Azam FC na Yanga March 5 2016 zilicheza mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu na kutoka sare ya goli 2-2. Huu ni mchezo wa 16 kwa Yanga na Azam FC kukutana, timu hizo zimefungana mara tano kila mmoja na mara sita kutoka sare. Yanga na Azam FC hazijawahi kutoka sare ya kutofungana. […]

The post Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani