Harambee stars yataja kikosi dhidi ya Angola

Kenya inashikilia nafasi ya 78 kwneye orodha mpya iliyotolewa na shirikisho la soka duniani FIFA

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Dewji Blog

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshuka dimbani dhidi ya Harambee Stars leo

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kushuka dimbani jioni ya leo  kucheza mchezo wa kirafiki wakimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars)  Jijini Nairobi, Kenya. Awali vikosi vyote vilikuwa kwenye mazoezi yha kujiandaa na mchezo huo.

Vikosi vitakavyoshuka dimbani katika mchezo huo jioni ya leo ni kama ifuatavyo:

The post Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshuka dimbani dhidi ya Harambee Stars leo appeared first on DEWJIBLOG.

 

1 year ago

Dewji Blog

Kikosi cha Stars chatangazwa kuingia kambini kujiandaa dhidi ya Kenya, Misri

Kikosi kilichotangazwa leo Mei 18 cha Taifa Stars kinaundwa na:

Makipa

Deogratius Munishi (Dida)-Yanga

Aishi Manula-Azam

Ben Kakolanya-Prison

Mabeki

Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Mwinyi Haji, Juma Abdul-Yanga

Aggrey Morris, Erasto Nyoni, David Mwantika-Azam

Mohammed Hussein ‘Tshabalala’-Simba

Andrew Vincent-Mtibwa Sugar

Viungo

Himid Mao, Farid Mussa-Azam

Mohammed Ibrahim, Shiza Kichuya-Mtibwa Sugar

Mwinyi Kazimoto, Jonas Mkude-Simba

Ismail Issa Juma-JKU

Juma Mahadhi-Coastal Union

Hassan...

 

1 year ago

Michuzi

KIKOSI CHA TAIFA STARS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MAFARAO WA MISRI HIKI HAPA

KIKOSI CHA KWANZA
1. Deogratius Munish 'Dida'2.Juma Abdul 3. Mwinyi Haji4. Aggrey Morris5. Erasto Nyoni6. Himid Mao7. Thomas Ulimwengu8. Mwinyi Kazimoto9. Elius Maguli10.Mbwana Samatta11.Farid Mussa
Akiba
1. Aishi Manula2. Mohamed Hussein 3. David Mwantika4. Shiza Kichuya5. Jonas Mkude6. Deus Kaseke7. John Bocco
Benchi la ufundi
Kocha. Charles Boniface MkwasaKocha msaidiz. Hemed Morroco

 

2 years ago

BBCSwahili

Tanzania yataja kikosi cha tenisi .

Kwa mujibu wa viongozi wa chama cha tennis Tanzania (TTA), ushiriki wao utaleta tija katika maendeleo ya mchezo huo nchini.

 

3 years ago

BBCSwahili

Tanzania yataja kikosi kuikabili Rwanda

Kocha wa timu ya taifa ya soka Tanzania, Mdachi Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 26 kitakachoivaa Rwanda.

 

4 years ago

GPL

KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0

Kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!

 

2 years ago

BBCSwahili

Kriketi Tanzania yataja kikosi kuivaa Namibia

Chama cha Kriketi Tanzania kimetaja wachezaji 14 watakachocheza na Namibia kufuzu kombe la Dunia kwa wavulana waliochini ya miaka 19.

 

3 years ago

BBCSwahili

Zambia yataja kikosi cha AFCON 2015

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Zambia Honor Janza ameteua kikosi kipya ambacho kina jumla ya wachezaji 27 kwa mwaka 2015 .

 

1 year ago

Habarileo

Taifa Stars kujipima kwa Harambee Stars

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kucheza kujipima nguvu dhidi ya wenzao wa Kenya `Harambee Stars’, Mei 29 mwaka huu.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani