Hatari tupu! Utajiri wa MSANJA MKANDAMIZAJI UNATISHA! Diamond, Jide tupa kule. Tazama hapa

UTAJIRI wa komediani maarufu nchini  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.

Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake.

HABARI MEZANI

Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Jay Z Utajiri wa cocaine tupa kule

jay-z

Na BADI MCHOMOLO

WASANII wengi nchini Marekani wamekuwa na mafanikio makubwa ndani na nje ya muziki huku wakidaiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Hii ni biashara ambayo haikubaliki duniani kote, lakini watu wanafanya kwa kujificha, wengine wanashindwa kufika mbali kwa kuwa wanakamatwa na kuchukuliwa hatua.

Mbali na wasanii hao kujulikana kuwa wanajihusisha na uuzaji wa madawa hayo, lakini wapo wengine ambao hujulikana kuwa ni watumiaji wa madawa hayo.

Jay ni miongoni mwa...

 

3 years ago

Global Publishers

Kwa Simba hii; Yanga na Azam tupa kule

ajibWachezaji wa Simba wakishangilia goli.

Omary Mdose na Nicodemus Jonas
KIKOSI cha timu ya Simba kwa sasa ndicho kinaongoza Ligi Kuu Bara kikiwa na pointi 57 ikibakiwa na michezo sita tu ili kuhitimisha msimu huu ambao wamedhamiria kufanya kweli tofauti na misimu miwili nyuma.

Simba iliuanza msimu huu kwa kasi ikiwa chini ya Kocha Muingereza, Dylan Kerr, mpaka sasa inanolewa na Mganda, Jackson Mayanja Mia Mia’ inaonekana kasi yao hiyo imekolea kwani tangu kocha huyo akabidhiwe timu hiyo...

 

2 years ago

Malunde

SHERIA MPYA YAPITISHWA...SASA MARUFUKU MAKINIKIA KUCHENJULIWA NJE YA NCHI,TMAA TUPA KULE


Bunge  limepitisha sheria mpya ambayo sasa itatambua haki na dhamana ya serikali katika makinikia ambayo itakuwa ni marufuku kuchenjuliwa nje ya nchi na serikali itashiriki kwa asilimia kuanzia 16 hadi 50 katika shughuli zote za uchimbaji, uchakataji na uchejuaji madini na ununuzi wa hisa katika kampuni ya uchimbaji madini.
Aidha, Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) umefutwa rasmi na sasa kunaanzishwa Kamisheni ya Madini, na kwamba kuanzia sasa umiliki wa leseni mbalimbali zinazotolewa kwa...

 

3 years ago

Bongo5

Tazama show ya One Africa Music Fest aliyotumbuiza Diamond hapa

Kwa mara ya kwanza show kubwa inayohusisha wasanii wa Afrika kwenye ukumbi wa Barclays Centre nchini Marekani imefanyika jana. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Diamond, Wizkid, Davido, Tiwa Savage, Flavour na wengine. Show hiyo ilikuwa ikiruka live kupitia mtandao wa Tidal.

Tidal

Bonyeza hapa kuitazama yote.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

2 years ago

Malunde

2 years ago

Malunde

DIAMOND AMTAMBULISHA MSANII MWINGINE LEBO YA WASAFI...TAZAMA PICHA YAKE HAPA

Jana  tarahe 21, Diamond alitangaza kuwa atamtambulisha msanii mpya kutoko lebo ya Wasafi akifanya mahojiano kwa Clouds FM.

“Panapo majaaliwa siku ya jumatatu kesho, ntakuwepo kwenye LEO TENA ya Clouds fm na familia nzima ya @Wcb_wasafi tukimtambulisha Kijana mwenzetu Mwingine Mpya toka Mtaani, ndani ya @Wcb_Wasafi….. Sisi ni vijana ambao tumekulia kwenye umaskini na bado tupo kwenye kupambana namna ya kujikwamua kwenye umasikini… na ndiomaana tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kila tukiona...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Hatari tupu TFDA

UZEMBE wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wa kutochukua hatua stahiki dhidi ya mmiliki wa duka la dawa baridi la Core Pharmacy, Sohil Lalani aliyelalamikiwa na Mkurugenzi wa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Kundi A hatari tupu Gabon

FAINALI za Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17, zitaanza Jumamosi hii zikishirikisha nchi nane lakini kundi A ndilo linaloonekana kuwa gumu ikilinganishwa na kundi B.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani