Hatima kesi ya Murunya na wenzake kujulikana leo

murunyaNa JANETH MUSHI – ARUSHA

HATIMA ya aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Benard Murunya na wenzake watatu kama wana kesi ya kujibu au  hawana, inatarajiwa kutolewa leo na Mahakama ya Wilaya ya Arusha.

Murunya ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ameshtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia NCAA upotevu wa dola za Marekani 66,890 sawa na Sh milioni 133.7.

Washtakiwa wengine katika kesi hiyo, ni aliyekuwa Meneja wa Utalii NCAA,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

HATMA YA KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUJULIKANA MEI 15

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia May 15,2018 kutoa uamuzi wa kesi ya kufanya maandamano na mkusanyiko usio halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe kama iende Mahakama Kuu ama laa.

Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Katika majibu yake Wakili Nchimbi ameiomba mahakama hiyo kutupilia...

 

5 years ago

Mwananchi

Hatima ya Rage kujulikana leo

>Hatma ya Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage itajulikana leo wakati kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake Jamal Malinzi atakapokutana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

2 years ago

Mwananchi

Hatima ya mbunge kujulikana leo

Mbunge wa Mbarali (CCM), Haroon Pirmohamed leo atajua mbivu au mbichi za kubaki kwenye wadhifa wake baada ya Jaji Rehema Samitende wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kusoma  hukumu  ya kesi  iliyofunguliwa na  aliyekuwa mgombea kupitia Chadema, Liberatus Mwang’ombe kupinga ubunge wake. Kwa mara ya kwanza Mwang’ombe  alifungua kesi ya kupinga ubunge wa Pirmohamed baada ya kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, 2016.

 

4 years ago

Mtanzania

Hatima ya Mrema TLP kujulikana leo

mrmNa Michael Sarungi, Asifiwe George,Dar es Salaam
HATIMA ya Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema kuendelea kuongoza chama hicho inatarajiwa kujulikana leo baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuingilia kati.
Hatua hiyo imekuja baada ya kundi la wanachama wa TLP kuandika barua ya malalamiko kutaka kufanyika kwa uchaguzi wa ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Malalamiko hayo yamemlazimu msajili kuingilia kati na kuziita pande mbili...

 

3 years ago

Mtanzania

Hatima rufaa ya Zombe kujulikana leo

 Abdallah Zombe

Abdallah Zombe

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Rufaa leo inatarajia kutoa hukumu dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, ACP Abdallah Zombe na  wenzake.

Hukumu hiyo ya mahakama itatolewa na jopo la majaji watatu, Benard Luanda, Sauda Mjasiri na Semistocles Kaijage baada ya kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwaachia huru maofisa hao.

DPP anapinga wajibu rufani hao kuachiwa katika kesi ya mauaji...

 

2 years ago

Mwananchi

Hatima ya dhamana ya Lema kujulikana leo

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, leo, anatarajia kujua hatima ya dhamana ya kesi ya uchochezi inayomkabili.

 

1 year ago

Michuzi

UAMUZI KESI MBOWE, WENZAKE KUPELEKWA MAHAKAMA KUU AU LAA KUJULIKANA MEI 15


Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
UAMUZI wa kesi inayowakabili viongozi 9 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) akiwemo Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ya kufanya maandamano/mkusanyiko usio halali unatarajiwa kutolewa Mei 15 mwaka huu kama iende Mahakama Kuu au laa.
Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu...

 

3 years ago

Dewji Blog

Hatima ya mwili wa Mawazo kuagwa ama kutoagwa Jijini Mwanza kujulikana leo

Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imeahirisha kesi ya madai ya kuomba ridhaa ya kufanya ibada ya Mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani Geita Marehemu Alphonce Mawazo iliyowasilishwa na Mchungaji Charles Lugiko ambae ni baba mlezi wa marehemu Mawazo

Katika kesi hiyo, mlalamikaji anaiomba mahakama kuondoa zuio la jeshi la polisi Mkoani Mwanza la kutoruhusu shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Mawazo...

 

3 years ago

Habarileo

Kesi ya akina Murunya Septemba

KESI ya aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Berbard Murunya na wenzake watatu imeshindwa kusikilizwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Arusha kwa sababu Hakimu anayesikiliza kesi hiyo yuko likizo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani