Hatimae Rais Trump aitambua Yerusalem kuwa mji mkuu wa Israel

Akiongea katika Ikulu ya Marekani, Rais Trump ameutambua mji wa Yerusalem kama mji mkuu wa Israel, maamuzi ya kihistoria yanayopindua sera za miaka mingi za Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Zanzibar 24

Trump kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Maafisa wa serikali ya Marekani wamesema kuwa rais Donald Trump, leo atautambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Ikulu ya White House imethibitisha kuwa rais Donald Trump pia atazungumza kuhusu juu ya kutangaza rasmi kuhamishia kwa ubalozi wa Marekani Jerusalem.

Kwa mujibu wa msemaji wa ikulu ya white house sarah sanders amesema kuwa Trump alizungumza na baadhi ya viongozi siku ya jumanne kuhusu mpango yake ya kuhamishia ubalozi huo kutoka Tel Aviv kuupeleka Jerusalem.

”Amezungumza...

 

11 months ago

BBCSwahili

Trump kutambua Jerusalem ni mji mkuu wa Israel

Maafisa nchini Marekani wanasema kuwa Rais Trump anatarajiwa kutangaza wiki ijayo kuwa Marekani inatambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel

 

11 months ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yalaani hatua ya Trump kuutambua Jerusalem kuwa mji mku wa Israel

Saudi Arabia imelaani hatua ya Marekani ya kuutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel huku pia shutuma zikizidi kuongezeka kufuatia hatua hiyo.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Marekani yaombwa isiutambue Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel

Jordan yaitaka Marekani isiutambue Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel. Ayman Safadi  alimuambia waziri wa mashauri wa nchi za kigeni wa Marekani Rex Tillerson kuwa hatua kama hiyo inaweza kuzua ghadhabu kubwa kwa nchi za kiarabu na ulimwengu wa kiisalmu.

Kuna uvumi kuwa Rais Donald Trump atatangaza hilo hivi karibuni na kutimiza ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni.

Jared Kushner, mkwe wa Trump alisema kuwa bado hakuna uamuzi uliofanywa.

Katika mtandao wa Twitter, Bw Safadi alisema:...

 

11 months ago

BBCSwahili

Jordan yaionya Marekani ikiitaka isiutambue Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel

Kuna uvumi kuwa Rais Donald Trump atatangaza hilo hivi karibuni na kutimiza ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni

 

11 months ago

BBCSwahili

Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa wapalestina ni lazima wakubali kuwa Jurusalem ndio mji mkuu wa Israel ili amani iweze kupatikana.

 

11 months ago

Michuzi

RAIS WA PALESTINA: HAKUNA AMANI BILA YA KUTAMBULIKA JERUSALEM KUWA NI MJI MKUU WA PALESTINA

 Rais wa Palestina Mheshimiwa Mahmuud Abbas
Na Kituo cha Habari cha Palestina (Tanzania)Mkutano wa dharura wa Kiislamu umefanyika mjini Stambul-Uturuki, kujadili azimio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuitambua Jerusalem kuwa ni mji mkuu wa Israeli.  Katika hotuba ya Rais wa Palestina Mheshimiwa “Mahmuud Abbas”,  ametahadharisha ya kwamba  hakuna amani  wala utulivu utakayopatikana katika eneo la mashariki ya kati bila ya kuwa Jerusalem ni mji mkuu wa dola ya Palestina.Aidha, Rais Abbas ...

 

1 year ago

Channelten

Rais Trump amteua waziri mpya wa Usalama wa ndani kuwa mkuu wa shughuli za Ikulu ya White House

static.politico

Rais wa Marekani Donald Trump amemteuwa Waziri wa Usalama wa Ndani John Kelly kuwa mkuu wa shughuli za Ikulu ya White House baada ya kumfuta kazi Reince Priebus aliyehudumu katika wadhifa huo kwa miezi sita.

Baada ya miezi kadhaa ya uvumi kuhusu hatima ya Priebus, Trump alitangaza uamuzi wake kwenye mtandao wa Twitter wakati alipowasili mjini Washington baada ya kutoa hotuba jijini New York ambapo alimmwagia sifa Kelly kwa kazi anayofanya katika wizara ya Usalama wa Ndani.

Gazeti la...

 

2 years ago

Dewji Blog

Kigoma kuwa mji mkuu wa mawese Afrika

Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma imesema inampango wa kuufanya mkoa wa Kigoma kuwa mji mkuu wa mawese barani Afrika ifikapo mwaka 2020.

Hayo yameelezwa na Meya wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji Hussein Ruhava Juma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mpango wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji Serikalini (OGP) ambapo mji wa Kigoma umechaguliwa kushiriki katika mpango huo unaoshirikisha miji 15 duniani.

“Kama mjuavyo mawese ni zao kuu la biashara la wakulima mkoa wa Kigoma, kwa kipindi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani