HATIMAYE MDAU WA GLOBU YA JAMII NDG. ALLY NYAMBI AMVIKA PETE MCHUMBA WAKE BI.EUNICE MWAKANG’ATA

 Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi  akifurahia  baada ya kumvika Pete mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata huko maeneo ya Jacaranda jijini Mbeya.

  Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete  Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete. Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MDAU WA GLOBU YA JAMII ALA NONDOZZZ

Mkulima wa Korosho kutoka Mtwara ambaye pia ni shabiki mkubwa wa Globu ya jamii,Bazil Lyakinana amejinyakulia nondo yake ya Shahada ya Umahiri wa Sayansi katika Menejiment ya Rasilimali watu (Masters of Science in Human Resource Management)  Chuo kikuu Mzumbe Dsm.

 

4 years ago

Michuzi

taswira za jiji la tanga toka kwa mdau wa globu ya jamii

 Ankal pokea taswira hizi kutoka jiji la Tanga ushee na wadau. Hapa ni Tanga Yatch Club ambayo mandhari yake ni tamu kweli kama unavyojionea Mandhari ya ufukwe wa jiji la Tanga Tanga Yatch Club Bustani mwanana inayofadhiliwa na  Mkonge hotel ndiyo Kilimanjaro hotel yetu Karibu Tanga Moja ya shule kongwe na maarufu sana jijini Tanga Gereji yetu kuu.
Globu ya Jamii inamshukuru na kumpongeza sana mdau huyu kwa taswira hizi nzuri. Bahati mbaya hapendi jina lake  lijulikane. Pia tunakaribisha aina...

 

3 years ago

Michuzi

mdau mkongwe wa globu ya jamii UK mariam mungula alamba nondozzzzz...

 Mdau mkongwe wa Globu ya Jamii nchini Uingereza Mariam Mungula leo kalamba nondozzzz yake ya Masters of Science (MSc Public Policy and Management) ya Chuo Kikuu cha Birbeck University of London Mariam akifurahia nondozzz yake Familia ilikuwepo kumshangilia Mariam kwa kulamba nondozzzzSelfie kwa wingi 

 

2 years ago

Michuzi

Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani adaka Nondozzz ya uzamivu UDSM

 Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akipongezwa na mama yake mzazi baada ya kudaka nondozzz  ya  uzamivu ya utawala wa umma  (PhD in Public Admnistration) Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Wikiendi hii.  Mdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akivishwa shada la maua kwa kudaka nondozzzMdau wa Globu ya Jamii Dkt. Ramadhani Marijani akipozi na familia yake baada ya kudaka nondozzzz UDSM

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO:Masanja Mkandamizaji amvisha pete mchumba wake.

masanja

Miongoni mwa vitu vinavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na picha zinazomuonyesha Masanja Mkandamizaji akimvisha pete msichana anaedaiwa kuwa mchumba wake,kwenye picha hizo Masanja na mchumba wake huyo wanaonekana wakiwa kanisani na baadhi ya waumini akiwemo Mc Pilipili na Emanuel Mbasha. Nimezinasa video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli […]

The post VIDEO:Masanja Mkandamizaji amvisha pete mchumba wake. appeared first on...

 

3 years ago

Bongo5

Video: Masanja Mkandamizaji amvalisha pete mchumba wake huyu

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake mpya akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha.
Masanja akiwa na mchumba wake aitwae Monica
Masanja akiwa na mchumba wake aitwae Monica

Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa moja, aliweza kumvalisha pete mchumba wake huyo aitwae Monica.Source: MC PilipiliTV

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

4 years ago

Bongo5

Rick Ross aeleza jinsi alivyomvisha pete kibabe mchumba wake bila kupiga goti

Wiki hii rapper Rick Ross alifanyiwa mahojiano na kipindi maarufu cha The Breakfast Club kupitia Power 105 na aliongozana na mchumba wake Lira Galore aliyemvisha pete hivi karibuni. Miongoni mwa mambo aliyoyagusia katika mahojiano hayo ni pamoja na kumchumbia Lira. Rozay ambaye ni boss wa MMG aliweka wazi kuwa katika lile tendo la kumvisha pete […]

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani