HATIMAYE HATI YA KIWANDA CHA NYAMA CHA SHINYANGA YAREJESHWA SERIKALINIWaziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (mwenye miwani) akishuhudia utiaji saini wa hati ya makabidhiano ya Kiwanda cha nyama cha Shinyanga. Hati hiyo zilisainiwa na Mkurugenzi wa Ubinafsishaji na Ufuatiliaji Jones Mwalemba(aliyekaa upande wa kushoto) kutoka Hazina kwa upande wa Serikali na Balozi Fouad Mustafa (aliyeinama upande wa kulia) kwa upande wa Kampuni ya Albwardy Investment Group aliyemwakilisha mmiliki wa Kampuni hiyo bwana Ali Saeed Juma Albwardy.

Hati ya kiwanda cha...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

SERIKALI YATAIFISHA KIWANDA CHA NYAMA TRIPLE 'S' SHINYANGA

Miezi mitatu baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuuagiza uongozi wa mkoa wa Shinyanga kumfutia usajili mwekezaji wa Kiwanda cha Nyama, Kampuni ya Triple S na badala yake watafute mwekezaji mwingine,hatimaye leo Jumatano Aprili 5,2017,serikali mkoani Shinyanga imekitaifisha kiwanda hicho. 
Kiwanda cha nyama kilichopo Old Shinyanga kilikuwa chini ya mwekezaji wa kigeni Triple ‘S’ tangu mwaka 2007 ambaye alitarajiwa kukiendeleza lakini miaka 10 sasa...

 

2 years ago

Michuzi

TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA

Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini kupitia Jumuiya yake ya TSSA (Tanzania Social Security Association), wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Daud Msangi (wa pili kulia) wakiwa katika ziara ya kutembelea kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga jana ambacho hakikuwahi kufanya uzalishaji tangu kibinafisishwe. Ziara hiyo ya viongozi hao ilikuwa ni kwa ajili ya kuona hali halisi ya kiwanda hicho ambacho kwa ...

 

1 year ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATIA SAINI MKATABA WA UWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA MACHINJIO NA USINDIKAJI NYAMA CHA NGURU MKOANI MOROGORO

MFUKO wa Pensheni wa LAPF umefanya uwekezaji wa Dola za kimarekani  Milioni 3.90 katika kiwanda cha machinjio  na usindikaji nyama cha Nguru ‘Nguru Hills Ranch Limited’ kilichoko nje kidogo ya Morogoro Wilaya ya Mvomero.
Akizunguza katika  uwekaji wa saini kwenye mkataba wa uwekezaji, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliud Sanga, alisema uwekaji wa saini umefikiwa baada ya tathini ya kina iliyofanywa na mfuko huo.Alisema mfuko umejiridhisha  kuhusu usalama wa rasilimali za...

 

1 year ago

Malunde

Picha : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI CHA JOC SHINYANGA


Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha nyuzi za pamba cha JOC Textile Tanzania Company Limited kilichopo katika kata ya Kizumbi manispaa ya Shinyanga.
Akiwa katika kiwanda hicho Mheshimiwa Majaliwa amejionea shughuli za uzalishaji nyuzi za pamba katika kiwanda hicho kinachomilikiwa na raia wa China kabla ya kukutana na wadau wa pamba kutoka mikoa 16 inayolima zao la pamba nchin.
Mwandishi mkuu wa Malunde1 blog,Kadama Malunde...

 

2 years ago

Michuzi

RC SHINYANGA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA MCHELE KIZUMBI SHINYANGA

Ijumaa Julai 15,2017,Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack ametembelea kiwanda cha kutengeneza mafuta ya mchele kinachomilikiwa na kampuni ya Mwekezaji kutoka nchi ya China Jielong Holding kilichopo katika kijiji cha Nhelegani kata ya Kizumbi katika manispaa ya Shinyanga.
Mkuu huyo wa mkoa aliyekuwa ameambatana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Shinyanga na maafisa mbalimbali mkoa huo amejionea jinsi kampuni hiyo ilivyodhamiria kuzalisha mafuta ya kupikia yanatokana na...

 

3 years ago

Habarileo

Kiwanda cha Uvinza kurudishwa serikalini

WIZARA ya Nishati na Madini imetangaza azma ya kukitaifisha na kukirudisha kwenye miliki ya serikali sehemu ya kiwanda cha chumvi cha Uvinza kilichokuwa kikizalisha chumvi laini kwa kutumia mafuta mazito, kutokana na mmiliki wa kiwanda hicho Kampuni ya Nyanza Mining Ltd kukiuka masharti ya uwekezaji iliyoingia wakati ikinunua kiwanda hicho, ikiwemo kung’oa mitambo yote iliyokuwepo.

 

2 years ago

Mtanzania

Sekta ya mifugo yataka kiwanda cha nyama

nyamaNa  JANETH MUSHI-ARUSHA

SEKTA ya mifugo nchini inakabiliwa na tatizo la kukosekana kwa kiwanda cha kuchakata mazao yatokanayo na mifugo, jambo linalochangia sekta hiyo kushindwa kuchangia pato kubwa la taifa na kushindwa kuwanufaisha wafugaji.

Pamoja na hali hiyo, Serikali imesema iko tayari kushirikiana na wadau wa maendeleo hapa nchini ikiwemo mifuko ya hifadhi ya jamii katika kuanzisha kiwanda cha ngozi katika machinjio ya Sakina ( Arusha Meat), yaliyopo jijini Arusha.

Hayo yalisemwa juzi...

 

2 years ago

Mtanzania

Kiwanda cha nyama chalimwa faini mil 10/-

luhaga-mpinaNA RAMADHAN HASSAN-DODOMA

NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, Luhaga Mpina, amekitoza faini ya Sh milioni 10  Kiwanda cha Nyama cha Tanzania Meet Compay cha mkoani Dodoma, kwa kosa la kutokuwa na cheti cha mazingira pamoja na mfumo mzuri wa kutolea  majitaka kiwandani hapo.

Mpina alichukua uamuzi huo alipokitembelea juzi ambapo alisema faini ya Sh milioni tatu ni kutokana na kiwanda hicho kukosa mfumo mzuri wa kutolea maji taka. Kutokana na hali hiyo, amekipa siku 14...

 

2 years ago

Mwananchi

Kiwanda kikubwa cha nyama kujengwa Longido

Mkurugenzi Mkuu wa Halmashauri ya Longido, Jumaa Mhina alisema jana kuwa kiwanda cha nyama kitakachojengwa na Kampuni ya Eliya Foods Overseas Ltd, kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng’ombe 250, mbuzi 250 na kondoo 250 kwa siku.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani